Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Alichoandika Peter Madeleka.

Hakuna “PANYA ROAD” anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo.

Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa MADINI kutoka MAHENGE mwaka 2006 halafu wakasema ni “MAJAMBAZI” kumbe ni UONGO.
1000006572.jpg
 
Madeleka ni Polisi na yuko kwenye Payroll ya mishahara, kama ikitokea kesi ambayo Jamhuri ina maslahi, huwa anatumika kuivuruga, na kuwatoa kwenye mstari wahusika.

Ni mtu wa kazi maalum, ila anatakiwa ajifanye kama raia
Madeleka hayupo kwenye pay roll ya Police.
Aliacha kazi mara baada ya kutoka kozi ya G.O hakukaa sana kuitumikia nyota3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom