Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,153
- 13,223
kituo cha Buguruni kwenda Muhi 2muhimbili sehem gani maeneo ya pale ?
kituo cha Buguruni kwenda Muhi 2muhimbili sehem gani maeneo ya pale ?
Jamani hali ni mbaya hapa dar kama vile buguruni maeneo ya kimboka, kituo cha muhimbili n.k. hivi police hawaoni
Hao wapo "world wide" ww mtoa mada unaishi dunia gani???
Pale hakuna madanguro labda kituo cha pili cha Rozana ndio usipime.
Kituo jirani na Mwananyamala Hospt
Hulazimishwi kuangalia wala kununua,waache tu hao,
hayo ni ya zamani sana!!!jamani hali ni mbaya hapa dar kama vile buguruni maeneo ya kimboka, kituo cha muhimbili n.k. Hivi police hawaoni
Elekeza vizuri bwana,baridi lishaanza