Madame Rita, Irene Iranga and Seven in pictures

Huyu mwanamke ana nini ujamani..maana sioni uzuri wake halafu anajitahidi kkweli kuweka mwili wake humu..hebu nitoke kabla sijakutwa huku
 
mbona kama mwingine anamtambulisha chakula wake......
Huyo Fide wanaomsifiaga mi hata siwaelewi kwani namuona kama mdoli vile, dudedude tu la kutisha watoto lol, na hayo marangi anayojipakaga basi shida tupu.
 
Back
Top Bottom