Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 350
- 31
Wenzio wamefanya mradi wa kuendesha maisha yao.
Kumbe! nimekumiss Maria Roza uko powa/
mmh!hivi mzee Mengi kazaa nae au ilikuwa kula raha tu. mwenye kujua anihabarishe.
Nampa big up kwa jitihada zake
Hawakuwa siriaz kabisa siku ile!Walilewa sana siku ile na matusi yao pamoja na dharau sidhani kama wanastahili hayo mnayowamwagia
Hakuna neno... basi usimsifu kwa ubunifu bali kwa enterpreneurship.... sababu hajabuni kitu... ila all the best amesucced, hapo sikatai ni jinsi tu ulivyoweka neno ubunifu. Merry XmassHapana mtu wangu mimi ni mpenda maendeleo tu na mwenye kusifu pale ninapoona mtu anafanya vizuri.
Hajabuni kitu,,amekopi na kupesti.
Let call a Spade a Spade; Kamsifu kwa ubunifu..... Hapo amekosea sababu hajabuni; Ila kwa enterpreneurship na kumanage kitu anachokiendesha hakuna anayepinga anahitaji pongeziMpeni sifa zake huyu mama kama kukopi na kupesti mbona hakuna aliyejaribu hiyo copy and paste.she deverves let us appreciate for what she has done.that is all.