Madam Rita Mfano wa kuigwa!

Solita

Member
Nov 29, 2010
47
4
Nimefurahishwa na ubunifu wa maadam Rita kwani kupitia bongo star search vijana wanapata ajira, zaidi sana anaonekana ni mama mwenye huruma kwani hii imeonekana pale anapolia kila mshiriki anapochapa lapa, hongera Maadam.
 
U mean idea ya BSS sio ya kwake?

Of Course not idea hii ilianza England kwa kina Simon Cowell na wenzake...... ilianzia kwenye Pop Idol na baadae Simon akajiengua wakaanzisha X - Factor..... ila bado sifa ziende sio kwa ubinifu bali kwa kuweza kuimanage......
 
Mshenzi kabisa,anatuibia pesa zetu . Anatuambia tutume sms kwa wingi 'kumchagua mshindi,kumbe mshindi,anampa amtakae yeye,kitendo cha Master J Kuita washabiki eti washamba wanampapatikia Joseph Payne eti kisa ni mzungu ,na madam Rita kusema mzungu kitu gani,kimenichafua .Nimemdharau sana ule mama .Ameonyesha ni jinsi gani Busara na Hekima kwake ni F.
 
sasa jitu si uzalendo jamani!
 
Walilewa sana siku ile na matusi yao pamoja na dharau sidhani kama wanastahili hayo mnayowamwagia
 
KWELI MKUU.LAKINI NGOZI NYEUSI INA MATATIZO GANI,HAIJI NA KITU KIPYA YANI NI COPY and PASTE.

Alafu hatuchoki kupeana misifa kuliko hata wale wenyewe walioanzisha......, bora hata tungeiga na kufanya some changes na kuboresha, lakini hapana sisi ni watu wa kuhamisha kila kitu.
 
Back
Top Bottom