Madaktari Waamua Kutangaza Mgomo Rasmi Kuanzia Kesho tarehe 24/01/2012

Sekta ya afya haiongozwi na Madaktari tu ni upuuzi wa Madaktari kutusemea sisi watumishi wa kada zingize za afya ambao hatujashiriki mikutano yao kifupi wamechumka na kesho watafanya kazi tu hao ni wababaishaji wanadanganywa na Madaktari waliokimbia kazi zao kama Kingwangala na mpiga domo wa clouds fm maroo

hata kama hutagoma u can not clac a patient, u are not a prescriber n u can nt do surgery. Kazi yako ni kutoa dawa au kuzoa mavi ya wagonjwa. If u a real health personel at the end utaunga mkono tu!
 
usalama wa taifa hamuwashauri viongozi kumaliza migogoro kama hiyoau nyie mnasubiri kusindikiza viongozi tu?
Wiki ilopita nilikuwa na jamaa la usalama wa taifa nika-overheard akiongea na mwenzake kuhusu kupeana shavu ya kwenda msafara wa rais maerekani kabla ya vifo vya wabunge vilivyotokea.
 
kibonzo 9 and 10 jan 2012.jpg kibonzo 9 and 10 jan 2012.jpg
 
As usual: They are not serious, sijawahi ona Mgomo Tanzania ukifanikiwa;do you know why sijaona madai yao hadharani ya kwamba wanataka kulipwa kitu gani bila facts plus figures then its the wrong foot:Kama ni huyo Nyoni iliyokuwa something ya mkulu au hao akina Deo na shekhe ubwabwa Mponda nothing will happen hao interns they can continue with mikutano yao na pia kwa kuwa hawatapewa posho watachoka sasa hivi.Tanzanians are so disunited when it comes to their rights na hii ni ajabu na kweli. If you don't believe me let us see ngoma ya kitoto haikeshi hatafika ijumaa.

Ndugu inaelekea huna historia kamili kuhusu migomo,mwaka 1995 madaktari na wauguzi wote nchini waligoma kwa siku tatu na aliyekuwa waziri wa afya wakati huo Bi Zakia Meghji aliachia ngazi na ilibidi mh. Rais Mwinyi wakati huo awafuate kwenda kuwasihi warudi kazini na mara moja maslahi yao yalishughulikiwa yote kama walivyotaka, maiti zilinuka mawodini kulikuwa hakufai usifanye mzaha na migomo yao!
 
Hongera madaktari kwa kuonyesha ukomavu,gomeni labda serikali itashtuka kutoka kwenye hang-over ya kulipana posho...kama wewe ni mtanzania unayeogopa kuona wajawazito wanakufa wakati wa mgomo hebu soma kisa kifuatacho kilichotokea tar.8 Jan. mwaka huu uone jinsi vifo vya mama zetu vinavyotokana na uzembe wa serikali hii...NiPM nikupe majina ya marehemu na sehemu msiba ulipotokea.

Mama huyu ambaye ilikuwa ni mimba ya tatu alijifungulia nyumbani umbali wa km 2 tu kutoka kituo cha afya A,baada ya kujifungua mara damu zikaanza kumtoka kwa wingi kitaalamu wanaita PPH,alifikiswa kituo A akiwa in shock...kituo hakikuwa na hata BP mashine kwa ajili ya kumpimia 'mapigo ya moyo'hivyo hata jinsi ya kufahamu kwa uhakika hali aliyokuwa nayo yule mama ilikuwa vigumu. Ndugu wa mama yule waliambiwa wakanunue drip za maji,dawa ya kuzuia kutoka damu, milija ya kupitishia drip,gloves,bomba la sindano,plaster bandage,kwasababu vitu hivyo havikuwepo kituoni(kumbuka kituo hiki kina hadhi ya health centre) ndugu wakachangishana pesa kwenda kutafuta vitu hivyo,baada ya dk.kama 40 hivi(kwa wanaofahamu management ya PPH muda huo unatosha kwa mama kuondoka sayari hii)vifaa vililetwa lakini mganga akaona ni vyema mama yule apewe rufaa kwenda hosp.ya mkoa,pia ikumbukwe kile kituo hakina mtungi wa hewa ya oksigeni,mirija ya kupitishia haja ndogo(urinary catheter) watu wa afya wanafahamu jinsi bei ya vitu hivi ilivyo ndogo kulinganisha na umuhimu wake.

Maskini mama yule akapakiwa kwenye gari la wagonjwa ambalo nalo ni jina tu kwani hata vifaa muhimu vya dharula halina...njiani mama akakata roho,walifikisha hospitali mwili wa marehemu...nifupishe katika vifo vya wajawazito ambavyo ni rahisi sana kuvizuia hiki ni hiki cha huyu mama...skills na resourse kidogo tu huyu mama asingewaacha wanae 3 yatima...madaktari komaeni hali ya huduma za afya na wahudumu wa afya ni mbaya sana.
 
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.

inawezekana akili yako haina akili ndugu
 
tatizo la hawa watu hawachelewi kufyata mkia. Walimu walianzaga hivi hivi baadae wakageuka na kunywea hadi leo, wameendelea kufinyangwa finyangwa kama watoto wadogo
 
Ee Mungu nlinde na uniponye bila ku2mia mkono wa dktar huyu! Ktk jina la Kuu la BWANA wetu YESU KRISTO naomba! Semen wote.... Amen!
 
Madaktari onyesheni mfano, then umma utafata. TISS kama amuwashauri vizuri hawa 'mwabana' zenu, jiandaeni kuona serikali ikianguka. Kwanza, amuongozi kialali, si mlituibia kura zetu? MUNGU ataendelea kuwalaani. There is something big to happen. Afu si tu madaktari ndo wana hali mbaya, watumishi wengi wa uma wako hoi.
 
Tusubiri kauli ya serikali!!itakuwa ni ya kutojali na vitisho ila wakumbuke kuwa madaktari ni tofauti na walimu,wao hawatishiwi nyau nakumbuka kuna mwaka waligoma muhimbili tu badala ya kutatua tatizo wakakimbilia wanajeshi eti kwenda mujimbili kuokoa jahazi ambapo na wao walichemsha!!!

Na si ajabu utasikia mtu anasema wanachochewa na wanasiasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nimeikumbuka ile, wale wanajeshi walikuwa wanakutana na case ambazo hawajawahi kuziona zaidi ya kuona kwenye vitabu na mara nyingine anakutana na mtu ana document kibao za rufaa na historia ya ugonjwa wake kiasi kwamba dk anashindwa aanzie wapi. It was somehow interesting!
 
Natamani mgomo huu ufanikiwe, then walimu waige mfano.
Tunataka wataalamu wetu, wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu ndio walipwe zaidi, kuliko wabunge ambao ni raia wakawaida, wenye kazi tu ya kujitolea.

Mie kati ya utabibu au siasa, siasa ndio ingekuwa kazi ya wito zaidi, hivyo malipo yalitakiwa yawe madogo zaidi.

Lakini jamani kwa kweli wizara yeu ya afya imelega sana, kupindukia,
kila mtu yuko binafsi zaidi, kujali anajiunganisha na mradi gani wa kimataifa, kupata hela za semina ai training, basi, kufikiria kazi ngumu ya kuboresha huduma za afya, bila msaada wa Wamarekani, ni ndoto, Kuboresha maabara au theater ni ndoto ya mchana.
Wamelewa misaada ya wamarekani na nchi zinigne, wanatia aibu.
 
Amini usiamini, ndani ya siku yao ya kwanza tu ya kugoma kwao, Watanzania wengi masikini watakufa!...na watakufa kabla ya wakati, na wala si kwa mapenzi ya Mungu!
Kudai maslahi kwa kubadilishana na maisha ya binadamu wenzako ni kitendo cha uuaji!....Madaktari hawanyimwi mshahara, all they want ni nyongeza.
Je gharama ya kudai nyongeza inafikia maisha ya Binadamu mwenzako?...Je kuondolewa kazini kwa Blandina kunashinikizwa kwa kuua Watanzania masikini?...tuache mizaha jamani!...Madaktari acheni mikutano ya kuzimu ya mauaji, are you guys Devil agents?


Wewe PakaJimmy, is this Monday, a Blue Monday to you? Mbona leo umemiss point? Serikali, ndiyo agents of the Devil, wao ndiyo wana wa kuzimu! Serikali, ndiyo accountable, kwa vifo vitakavyotokea!

Kumbe, unajua, na Serikali inajua kwamba Madaktari wakiacha kazi siku moja tu, watakufa watu wengi! Kama ni hivyo, ebu sasa tujadili!

Unajua kwamba Mbunge Sumari tangu achaguliwe na watu wa Jimbo lake, huko Arumeru, hakuweza kufanya lolote huko, kwa sababu ya ugonjwa? Je, ni watu wangapi walikufa katika Jimbo lake, kutokana na kukosa huduma ya Mbunge wao?

Vivyo hivyo, ni nani amekufa katika Wizara ya Maji, kutokana na kukosa huduma ya Waziri wa Maji, Profesa Mwandosya, ambaye hajaweza kufanya kazi, kwa miezi mingi? Kwa zaidi ya mwaka mmoja, wilaya nyingi, hazina Wakuu wa Wilaya. Nani amekufa, kwa kukosa huduma za Wakuu hao wa Wilaya?

Kama Jibu ni HAKUNA, basi Tanzania tujifunze kuwaheshimu Madaktari, kama wanavyowaheshimu, nchi nyingine. Serikali iache kutoa mishahara na posho nzuri, kwa wanasiasa wapiga porojo; na kupuuza maslahi ya Madaktari. Madaktari huko Marekani, wanalipwa kati ya 60 - 100$ kwa saa moja, kulingana na fani zao! Sawa, sisi hatuwezi kulipa mishahara hiyo; lakini Serikali iwalipe vizuri zaidi, kuliko wanasiasa. Madaktari msirudi nyuma katika mgomo wenu. Nchi hii, haki haitolewi katika kisahani, bila fight!
 
Hapana mkuu kuhusu waalimu sahau kabisa hakuna watu legevu kama hao maskini wasipoenda kufundisha vikaranga vyao vitavunda hawa waache kabisa mkuu

acha hizo mkuu. Kuna walimu tuna msimamo sema tu cwt inatuangusha mkuu. Ila ipo siku wataisoma namba.
 
una sound kama blandina nyoni mwenyewe
kwani hawana haki ya kudai maslahi yao?
kwa hivo hata kama ni proffession wanyanyasike bila hiyana?
wana haki na ndio wanaotutibu kwann wasilipwe na wakaheshimiwa?
ndio maskini tutakufa kwa vile magamba hawataki kuwasikiza huku wao wakijiongezea posho lukuki bungeni
ngekuwa daktari akija mbunge kutibiwa au waziri namchoma lisindano kama la ngombe ili ajue kuna kuheshimu taaluma
akivimba masaburi yake siku tatu atajifunza kuwatetea wengine.
hivi mahakimu na askari magereza nao wakigoma mtaani kutakalika? je walimu wote nao wakiamua nchi nzima?.
wana haki kugoma kama serikali itajidai kuziba masikio.soon tutaamka na sisi afu tuone nchi kama itakalika
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.
 
Yaani wewe akili zako ni sawa na shuzi lako kubwa hilo kwani wewe hujasomeshwa na serikali,
Inamaana ukisomeshwa na serikali ndio familia yako ilale njaaa mbuzi mkubwa hivi sijui hata kama unaelewa kitu wewe lazima utakuwa kiazi sanaa
Do u know the risk hawa wafanyakazi wa afya r subjected to? have u ever even thought of it? because ur dumb and selfish i doubt!!!
Ukitaka kujua just volunteer for a day Hospitalini kuhudumia wagonjwa then utapata picha
Afu bado unataka huyu mtu ashindwe kupeleka watoto wake xul kujirisk na hali ya hatari tu it not enough for u ,
Unataka tena na njaa alale nayo huyu daktari/nurse etc
Njoo siku moja nikuvalishe gloves afu nikwambie
shika damu hii ya mtu mwenye vvu .......
Njoo ukusanye matapishi ya mtu aliyekongoroka hajiwezi
Njoo umsafishe mtu aliyejinyea hajiwezi na hata nduguze wanamkimbia...
Wewe ni moja wa maadui wetu wa kubwa

Well Said Doc, mijitu mingine naona ndio ile inayotumia mananiliu kufikiria!
We Mshiiri unajua ni wafanyakazi wa afya wangapi wanapata maambukizi ya VVU wakiwa kazini wakihudumia wagonjwa? unajua kwamba hawalipwi hata compensation??
mazafaka! solidarity forever..mgomo mpaka kieleweke.
 
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.
msaliti
 
Back
Top Bottom