Elections 2010 Madaktari wa wa rais acheni usanii

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Kwa nin hawa madaktari wanaoshughurika na afya ya JK wanapenda kutoa majibu mepesi, kila anapoanguka tunaambiwa sukari ilikuwa imeshuka, uchovu wa safari, tulimshauri apumzike akagoma, na vijisababu vingine ambavyo ni very minor, if JK's moto is Kasi zaidi, nguvu zaidi, can these doctors assure us that Jk is goin to cope? wasifanye kazi kwa mazoea uwazi ni mzuri zaidi kuliko kukaa mnafichaficha, kuficha kwenu mnasababisha watu waanze ku-predict vitu tofauti kabisa
 
dio msanii.....kaambiwa asifunge yeye anafunga...Kinana anasema kufunga au kutokufunga ni suala binafsi....:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom