Madaktari kuuza damu kwa wagonjwa mahututi ni ubinadamu?

Jamani hizo ni discrepancies katika fani ya afya.. Ambazo ziko hata kwenye idara nyingine. Na hao si madaktari,ni wafanyakazi wa maabara. Si kila anayevaa koti jeupe hospitalini ni Daktari...

Na TRA kuna discrepancies,Idara ya Mahakama kuna discrepancies,hata Usalama wa Raia,Polisi,n.k kote kuna discrepancies za hapa na pale..
 
wakubali wasikubali ukweli unabaki kuwa udaktari ni wito!
kinachotusumbua kwa sasa ni kwamba madaktari wengi wameitikia au wamekubali kufanya kazi ya udaktari kama sehemu ya mshahara

mkuu wewe mjinga kweli yaani unataka uwe unawapita ukiendesha gari waowako kwa mguu kuelekea ofisini eeeee! then akikupa fenegan badala ya Alu utawalaumu?

Irudie akili yko kule ulikoiacha mkuu
 
Kwani ulilazimishwa kufanya kazi serikalini? si ungeenda kuomba kazi Agha Khan kama ulikuwa unataka maslahi?
N wewe mjinga ondoa matapishi yako hapa! Kama huna cha kuchangia si ukae kimya tu. Huwezi kuitetea serikali kwa mawazo duni hivi. ebooo.
 
Kaka mkubwa,

Ukiendesha gari ukapita taa nyekundu trafiki akikumata akiomba 10,000 kama huna utaandikiwa kulipa notification au gari italala kituoni. Lakini daktari akitaka 50,000 wakati mkeo mjamzito anatakiwa operation na hiyo pesa huna hapo unapoteza mke na mtoto chance kubwa sana. Kagoda, EPA nk pamoja na kuwa mabilioni ya shillingi lakini bado hazitishii maisha yangu moja kwa moja kama huyu daktari anayeniomba sh 5000 wakati mimi nipo hoi bin taaban nimepata ajali nimefikishwa hospitali na wasamaria wema saa 7 usiku.
Ama kweli kwa mpumbavu kama wewe hakuna dawa! hujui kuwa hizopesa za EPA na Kagoda zinge boresha huduma za afya na hivyo haya malalamiko yako ya kipumbavu dhidi ya madaktari yasigekuwepo.
 
Back
Top Bottom