Madaktari Bingwa nao wagoma

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Sasa ni official hawa jamaa madaktari bingwa wagoma, amesema eet, hawawez kuendelea na kazi kwa kua hawana wasaidizi. Ni hatari sana.

Mimi ni Mzalendo bado.

SOURCE: ITV
 
Duh, moto unazidi kushika kasi!! Ninauhakika kesho utakuwa nchi nzima! Pinda kaonyesha njia "Liwalo na liwe". Bado wananchi kuingia barabarani. Tutarudi kule kule kwenye drawing board, chezea watu wasioogopa umande! Usione watu wanakaa kimya ukadhani wanafurahia kila utendalo.The Great Dictator - speech - YouTube
 
Sisi walipa kodi ndo tuna athirika, ila mafidi wata enda kwenye hospital zao wanazo miliki kwa kuzombea huko dawa zetu..ILA ipo siku tu yataisha kwani hamna marefu yasiyo na mwisho..
 
Sisi walipa kodi ndo tuna athirika, ila mafidi wata enda kwenye hospital zao wanazo miliki kwa kuzombea huko dawa zetu..ILA ipo siku tu yataisha kwani hamna marefu yasiyo na mwisho..
Hapo sielewi, hao ni watu gani?
 
Si walikuwa wamewatanguliza wadogo zao sasa wameamua wajitokeze na wao.kimsingi huu mgomo ni wa hao wanaojiita mabingwa na wanajua kabisa kinachoendelea na walikuwa wanawachochea kichinichichini kwa sababu kama serikali ingekubali mapendekezo yao basi hao mabingwa ndio wangenufaika zaidi.kama dactari anayeanza kazi angefanikiwa kupata milioni saba hao mabingwa wangepata zaid ya milioni 12.kwa uchumi gani Tanzania?au wanataka idara zingine zionekane hazina umuhimu?hili halikubaliki najua wengi wana hospitali zao ninafsi sasa wanapanga mgomo ili watu wajae kfwenye hospitali zao.naiomba serikali iombe nchi marafiki kama china watue na manoari zao zenye vifaa na wazuie mtu yeyoje aliyegoma serikalini asionekane kwenye hospitali binafsi
 
Utaratibu wa madaktari kutoka nchi za nje kuja kufanya kwetu wanahitaji usajili hapa nchini na lazima MAT pia washiriki kwa hiyo kuna kazi hapo
 
Kwangu natafakari namna wachina na wahindi watavyotibu ndugu zangu kule Majita-Makojo na Kibati wakati hawajui hata Kiswahili....... Aggghhhh....
 
Utaratibu wa madaktari kutoka nchi za nje kuja kufanya kwetu wanahitaji usajili hapa nchini na lazima MAT pia washiriki kwa hiyo kuna kazi hapo
Kama itatangazwa dharura hakuna kitu kinachoita MAT wala matairi kitazingatiwa.the doctrine of necesity shall apply
 
Tuombe Mungu mgomo uishe kwa madaktari kukubali kushindwa kwa hoja zao;lakini wakivuta uzi nawahakikishia kabla ya bunge la bajeti kwisha wananchi tutatembea barabarani kuiondoa serikali dhaifu ya Jk
 
Kama itatangazwa dharura hakuna kitu kinachoita MAT wala matairi kitazingatiwa.the doctrine of necesity shall apply
ndipo na sisi wananchi tutakaposema hatuwezi kuguswa miili yetu kama midoll lazima tujue hao wanaqualify kudiagnose na kuprescribe
 
Back
Top Bottom