Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,832
Hivi unajua watumia muda gani school kabla ya kufuzu!? 19yrsbila kuhesabu ile ya kukaririshwa nay a pre-schoo (chekechea). Hii ni ktkkusisitiza umuhimu wa fani yao! Afu www unakuja na akiri za kimatapishix2 tueti udaktari ni kama fani zingine, ebo!
Wangegoma fani zingine kungekuwa na kelele zote hizi!?
Wangegoma fani zingine kungekuwa na kelele zote hizi!?