Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,476
Wanamama wameanza kudai haki zao kwa stahili Mpya.
Soma Biramu. I DIDN'T COME FROM YOUR RIB.... YOU COME FROM MY VAGINA. Kwa wenzangu na miye maana yake. SIKUTOKA KATIKA MBAVU ZAKO.... UMETOKA KATIKA K#M@ YANGU.
Soma Biramu. I DIDN'T COME FROM YOUR RIB.... YOU COME FROM MY VAGINA. Kwa wenzangu na miye maana yake. SIKUTOKA KATIKA MBAVU ZAKO.... UMETOKA KATIKA K#M@ YANGU.
- Sijui wanaelekea wapi, na wanataka nini.
- Kila siku wanalia na kudai haki zao.
- Haki gani wanazotaka zaidi ya kupendwa na kutendewa kwa haki na usawa.
- Kama biramu lao ni sawa na kweli, Je siye mimi niliyeingia mwenyewe katika k#m@ na kukaa ndani kwa miezi tisa kisha kutoka (ni mtazamo tu).
- Tunaelekea wapi? Kwa kweli Bazazi! hajui