Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,239
- 113,612
Mzee naona hapo umemnukuu asiye!NN, mbona hiki nilichosema bado ni kweli na kila neno bado nalisimamia. Mbona sijabadilika chochote. Binafsi naona fahari kuwa nilichokisema bado kinasimama na tulikuwa na nafasi ya kukifutilia mbali mwaka jana lakini ndiyo hivyo tena... Lakini siwezi kuimba wimbo tu ilimradi ijulikane naijua tune.
Hata hivyo unajua nini? Kwa haya yanayoendelea sasa hivi na hii 'radio silence' toka kwako, unawapa watu mawazo ya labda unaunga mkono kila kitu.
Ndo maana unaona unakuwa hueleweki.
Si lazima ukubaliane na Magufuli kwenye kila jambo kwa asilimia 100.
Sasa kama hukubaliani na hizi habari/ visingizio vya uchochezi, kwa nini huo ukimya ilhali zamani hukuwa mkimya hivyo? Kwanza ukimya si hulka yako kivile....kwa kadri nijuavyo!
So why this radio silence my man?
Do you lend countenance to everything that's going on?