Madagascar president steps down

Madagascar opposition leader Andry Rajoelina takes power after ousting president Madagascar's military chiefs handed power to the opposition leader Andry Rajoelina on Tuesday, completing the former disc-jockey's ousting of President Marc Ravalomanana after weeks of political violence on the Indian Ocean island.

Video

NEWS GENERIC ST_UIP

By Sebastien Berger Southern Africa Correspondent
Last Updated: 9:59AM GMT 18 Mar 2009

Mr Ravalomanana's decision to step down came a day after mutinous soldiers, equipped with tanks, stormed his offices in the capital Antananarivo and after he offered to hold a referendum on his rule, a move rejected by Mr Rajoelina.

Mr Rajoelina, 34, the mayor of Antananarivo, was put in charge of the impoverished island when military leaders rejected the president's attempt to pass control of the nation to the armed forces. They described it as an 11th-hour "ploy" by the president to leave power in the hands of his military allies.
 
Sidhani kama protest watu elfu 5 katika nchi ya watu milioni 20 tunaweza kuiita peoples power. Peoples' power ni ale watu wote waliposhirikishwa kuamua nani aongoze nchi kwa miaka ya awamu hiyo ya utawala mpaka uchaguzi unaofuata. Iwapo kuna haja ya kumtoa madarakani Rais, ni sawa kufanya maandamano, lakini maandamano hayo yawe na lengo la kumshinikiza kiongozi kutoka madarakani na akitoka basi utaratibu unaofaa kuchagua kiongozi mwingine ufanyike mara moja, sio hii ya mtu kujitangaza kuwa yeye ndio atakuwa Rais wakati hata umri wa kuwa Rais hajafikisha kikatiba. Hii ya mtu kuja na kutangaza kubadilisha katiba ili imsuite yeye kuongoza sijui mnaishabikia nini? Kweli mna uhakika hii kitu ndio mnatamani itokee kwenye ardhi tuliyorithi toka kwa Mkwawa aliyekubali kujiua kwa kulinda heshima ya watu wa aina yake?
Rais alitangaza referendum ili wananchi wote wapate fursa ya kutoa maoni yao, je kwanini huyu MUHUNI amekataa kufanya hivyo, well kwa sababu anajua ukitoka nje ya Antananarivo hakuna mtu anayemjua na hawezi kuwaconvince watu walio sober. Yeye anaweza kuongea na vijana wahuni wahuni wa mtaani, hao ndio wanaomuelewa. Na msishangazwe sana na maamuzi ya Jeshi kumsupport huyu DJ, kuna lobbying ya Rais aliyetolewa kwa kura mwaka 2006 akagoma kutoka Ikulu na sasa anarevenge kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi.
Huyu dogo endeleeni kumshabikia ila kuweni na uhakika kuwa muda utawapa jibu halisi. Fuatilieni kwa ukaribu nini kitatokea Madagascar in the next 3 years, ili muone kama huyu DJ ataongeza hicho kipato cha mwananchi. By the way msisahau kuwa huyu ni mfanyabiashara na biashara amezianza muda si mrefu na bado hajafikia level ya kuitwa tajiri ila matendo yake yote amekuwa ni mpenda utajiri na power, sasa anayo - ours are eyes!
Kwa kweli nimesononeshwa sana na maoni ya aina hiyo, hasa kwa vile wanaoyatoa ndio miongoni mwa watanzania wachache waliopata fursa angalau ya kuweza kutumia computer, nilitegemea watanzania kama hao wawe walimu kwa wale waliokosa fursa hizo, ila kama hii ndio ari ya watanzania wenye upeo basi inasononesha.

Upeo wa macho yako ni finyu na mdogo sana kuona umbali wa Mita moja tu. Hii ni kutokana na michango yako iliyojaa woga kupindukia. Ningekukuwa karibu ningekuchapa MIJEREDI pumba*********.

Wewe mwenye access ya mtandao uko mwoga hivi, aliyeko Maneromango itakuwaje?.

Kumbe ndio maana DSM inaongoza kwa kuichagua CCM.
 
Majambazi na Mafisadi wa CCM yanajua fika kwamba asilimia kubwa ya Watanzania ni waoga na mazumbukuku kupita kiasi ndio maana inakuwa rahisi kwao kuwalaghai kwa kutumia kigezo cha amani, kwenye ufisadi hakuna amani, kwenye uvunjwaji wa haki za binaadamu hakuna amani, kwenye ujambazi wa rasilimali za nchi hakuna amani, kwenye wizi wa pesa za kodi za wananchi hakuna amani, kwenye njaa na rushwa hakuna amani, kuna umuhimu wa kufanya mapinduzi pale Tanzania ili kuleta mabadiliko ya kweli. Hawa Majambazi wa CCM na wapambe wao ambao wengine wamejaa hapa hawatokubali kamwe mabadiliko yafanyike nchini mwetu. Tunataka wana mapinduzi kutoka jeshini wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu ambao wanapenda kuisogeza Tanzania mbele kimaendeleo, Kiuchumi, kimaadili na kuhakikisha hawa Majambazi na Mafisadi wote wa CCM wanakuwa EXTERMINATED.
 
Upeo wa macho yako ni finyu na mdogo sana kuona umbali wa Mita moja tu. Hii ni kutokana na michango yako iliyojaa woga kupindukia. Ningekukuwa karibu ningekuchapa MIJEREDI pumba*********.

Wewe mwenye access ya mtandao uko mwoga hivi, aliyeko Maneromango itakuwaje?.

Kumbe ndio maana DSM inaongoza kwa kuichagua CCM.

Naona umetoa mchango wenye upeo siokuwa finyu. Sasa huo uoga uko wapi? au kusema katiba iheshimiwe ndio uwoga? Unadhani kufanya gasia ndio kipimo cha ushujaa?
Hivi wewe jiruhusu kuona kilicho mbele ya macho yako, jaribu kufanya kama unaandaa hiyo ghasia unayoishabikia. Je, ni nani ungemka nafasi ya huyo DJ? Usisahau kuwa kila mtu ana kura yake moja, hivyo na wewe kura yako ni moja na waache wengine wapige kura yao wanavyotaka - usiwaamulie kuwa kiongozi hawafai kwa sababu huna haki ya kufanya hivyo.
Ila sipati shida kukuelewa, naona tayari ushaandaa mjeledi just because ninaonga mawazo tofauti na yako-hii hulka ya kupigana mijeledi ndio inayoliweka bara la Afrika kwenye machafuko.Msidhani nchi zilizoendelea watu wanakubaliana kila kitu au wanaridhika na yote yanayofanywa na viongozi wao au serikali zao, ila tofauti iliyopo ni kwamba wenzenu wanaheshimu taratibu za msingi za kuwatoa madarakani wale wasiowaridhisha, sio kwa mijeredi kama waliyopigana wakenya.Ukiendelea kufikiria aina nzuri ya mjeredi mwenzako anafikiria chombo kitakachofika Mars kwa speed kali na kufikiria dawa ya Alzheimer's disease.Na iwapo bado hufahamu, jinsi jamii zinavyounda utawala wa maeneo yao ni kipimo kikuu cha civilization ya jamii husika.
By the way, huo mjeredi umeshamtest nao mbunge wako asiyetembelea jimbo lake na kujikita kwenye ishu za kitaifa tu?
 
Kijana wa mtaa nakushukuru kwa maoni yako. NINA TATIZO MOJA huwa sipendi kuandika kwa kuchanganya lugha ila kwa sababu mawazo yangu nayatoa papo kwa papo (on line.) Nina maana muda kwangu hautoshi kwa hiyo ninapoishiwa maneno ya kishwahili nachapia na kingereza kweli hii ni tabia mbaya nisamehe bure dogo!!!! Ninapowaandikia watu wanaonijua jambo likinitibua huwa naandika lugha zote ninazozijua kwa Wanakijiji hawatanielewa ila najitahidi kutumia mbili tu. NARUDIA kuhusu mada demokrasia ni aghali mno kwa watu ambao wajinga ni asilimia 95% kama kina Marco POLO!! kATIBA iliyopo sio yetu kuna wababe fulani walichukua katiba ya watu fulani wakafanya (Copy and paste)
Suluhisho tunao muda tuandike katiba upya turuhusu irekebishwe kwa njia hiyo hiyo. Hapo ndipo patamu hata kuweka viraka tu CCM wanaona Noma sasa tupatie jibu Marco polo! Njia ya mpito ni hiyo ya MADAGASCAR . Kama unakumbuka historia kule GHANA walitumia mapinduzi ya kijeshi hivyo wana nafuu kidogo angalau Vumbi LA dhahabu wanaliona acheni utani vinginevyo umaskini hapa mapaka kiama. Rostam Aziz alinunua Mgodi wa Resolute pale Nzega uliachwa na wazungu wa AUSTRALIA akawamuru JK asibadili sheria ya madini ili aendelee kuchota madongo kama hamjui tumeliwa kwa hiyo sheria ikibadilishwa itawahusu wanokuja huo ni upuuzi mtupu!!! na wizi mtupu.!!!! Hao wanaotaka uchaguzi wale vichwa vya sangara na ngozi pale uwanja wa fisi mimi sikubali lazima pale Ikulu patachimbika tu na kwa wewe JK Mwitongo ya Chalinze iko barabarani mno labda aihamishie Kiwanga kama ana akili. Mkapa alijenga kule Lushoto milimani ili mtu akipanda amwone hataki mdundiko wa PWANI!!!!
 
Kijana wa mtaa nakushukuru kwa maoni yako. NINA TATIZO MOJA huwa sipendi kuandika kwa kuchanganya lugha ila kwa sababu mawazo yangu nayatoa papo kwa papo (on line.) Nina maana muda kwangu hautoshi kwa hiyo ninapoishiwa maneno ya kishwahili nachapia na kingereza kweli hii ni tabia mbaya nisamehe bure dogo!!!! Ninapowaandikia watu wanaonijua jambo likinitibua huwa naandika lugha zote ninazozijua kwa Wanakijiji hawatanielewa ila najitahidi kutumia mbili tu. NARUDIA kuhusu mada demokrasia ni aghali mno kwa watu ambao wajinga ni asilimia 95% kama kina Marco POLO!! kATIBA iliyopo sio yetu kuna wababe fulani walichukua katiba ya watu fulani wakafanya (Copy and paste)
Suluhisho tunao muda tuandike katiba upya turuhusu irekebishwe kwa njia hiyo hiyo. Hapo ndipo patamu hata kuweka viraka tu CCM wanaona Noma sasa tupatie jibu Marco polo! Njia ya mpito ni hiyo ya MADAGASCAR . Kama unakumbuka historia kule GHANA walitumia mapinduzi ya kijeshi hivyo wana nafuu kidogo angalau Vumbi LA dhahabu wanaliona acheni utani vinginevyo umaskini hapa mapaka kiama. Rostam Aziz alinunua Mgodi wa Resolute pale Nzega uliachwa na wazungu wa AUSTRALIA akawamuru JK asibadili sheria ya madini ili aendelee kuchota madongo kama hamjui tumeliwa kwa hiyo sheria ikibadilishwa itawahusu wanokuja huo ni upuuzi mtupu!!! na wizi mtupu.!!!! Hao wanaotaka uchaguzi wale vichwa vya sangara na ngozi pale uwanja wa fisi mimi sikubali lazima pale Ikulu patachimbika tu na kwa wewe JK Mwitongo ya Chalinze iko barabarani mno labda aihamishie Kiwanga kama ana akili. Mkapa alijenga kule Lushoto milimani ili mtu akipanda amwone hataki mdundiko wa PWANI!!!!

Mkereme sitapoteza muda kukujibu wa kirefu kwa sababu inadhihirika unajikanyaga kanyaga hata ujumbe unaoutoa hauko straight forward. Unaposema asilimia 95 ya watu ni wajinga unakuwa umeshasema kuwa maamuzi ya watu wengi ni wrong, na hapo umeshapinga democrasia. Sasa wewe huyohuyo unaipinga democracy na wewe huyohuyo unasema ina thamani kubwa!!!Sasa maamuzi ya watu wajinga yatakuwaje na thamani kubwa?
Kuhusu hili swala la Madagascar, wala sitaendelea kutumia jitihada nyingi kukuelewesha, muda utakuelewesha ipasavya. Fuatilia closely what is happening in Madagascar, then utapata jibu kama hicho ndicho unachotaka kitokee Tanzania.
 
ZeMarcopolo nadhani uwezo wako wa kuelewa ni mdogo kama nilivyokupima! Yule DJ Andrew Mmalagasy alikuwa Meya wa Antananarivo na alichaguliwa kwa katiba hiyo unayoitetea iliyomweka Marc Revolmanana madarakani. Baada ya TV ya DJ huyo kuonyesha kipindi cha RAIS wa Zamani Didier Ratsiraka amabacho Revolmanana hakikumfurahisha aliamuru TV ifungiwe na kumfukuza Umeya. Je hapo katiba ambayo haina tofauti na ya CCM unayoitetea ilisaidia nini? Watu wakamua kwenda mitaani kupinga yeye akatumia Jeshi matokeo yake waliuwawa zaidi ya wtau mia moja {kama Mukandara alivyotumia askari pale Chuo kikuu cha Mlimani mwaka jana na Chuo kikafungwa ila maprofesa wakaendelea kupokea mishahara huku chuo kimefingwa na JK anatabasamu tu japokuwa hakufa mtu} Matokeo ya ''peoples power'' {Nguvu ya Watu]wote tumeyaona jeshi lilipompa kisogo alibwaga manyanga na sasa AU na wengine kama wewe mnalia kwa kihoro. Kwa taarifa yako katiba yao hairuhusu mtu awe RAIS mpaka awe na umri wa miaka arobaini. Mahakama yao ya katiba inajua hilo laikini kwa kuzingatia matakwa ya jamii waliokuwa wanaandamana ameapishwa na utaandaliwa uchaguzi baada ya miaka miwili kwa wapenda Demokrasia kama wewe mimi simo. Kwa muono wangu ile ni njia mojawapo na nashauri kama hapa kwetu mambo hayaendi na ndio ukweli tujifunze kutoka kwa hawa Wangazija tusinganganie hiki tulicho nacho kibovu. Mimi sijikanyaji ninapoweka wazi chombeza ya kweli ya akina Rostam na Prof. Mukandara ambao ni marafiki wa Jakaya Kikwete ni njia tu ya kisanii kukuonyesha madhara ya kutumia ubabe na USWAHIBA kwenye kivuli cha KATIBA na Demokrasia. Watu wanagawana keki ya TAIFA kama njugu matokeo ndiyo haya tunaanza wenyewe kusutana hapa kijijini. USHAURI wangu hapa kijijini ni kwa watu wenye busara kupumua tu na kupeana habari kwa dhati kama unaona hapakufai funga mdomo Zemarcopolo ujifunze wewe dogo. Rudia post zangu ulinganishe na jazba na pumba zako. Ninachokiandika nimekifanyia utafiti muda mrefu!!!wa-Tz bwana matatizo matupu mpaka kiama!!!!
 
1. Katiba ya Tz naskia ni Msekwa?? alichukua katiba mbali mbali na kuongezae vifungu vya ile ya mkoloni.. ni cut and paste of some sort! na mabadiliko mengine yamefanyika na bunge. watu hawajawahi kuulizwa kama wananchi ni nchi ya namna gani watu wanapenda na kwa misingi ipi! Kuheshimu katiba Afrika??? Je M7 alibadili katiba ili atawale bila ukomo!

2. Uelewa wa watu juu ya wajibu na haki za raia Tz ni kidogo mno! Nguvu kubwa ingewekwa ktk kutoa elimu tosha kwanza..ili kuongeza huu uelewa ndo watu waunlizwe wanataka katiba ya namna gani?

Sasa mtu haoni umuhimu wa kuwa na choo chake na anajisaidia porini..haya mambo ya katiba naona ni kumchanganya tu!!

Ndo maana mtu yuko radhi kuuza kura yake kwa wali tu!

Taabu elites na mafisadi Tz wanajua yote haya!

Nchi inahitaji diktata mzalendo kwa miaka kama 15 hivi ili kuiweka jamii sawa na watu kuogopa serikali, kuheshimu kazi na kujenga uzalendo! Wakati hou watu wanapata elimu tosha ya (Universal Sekorary Education) na pia elimu ya uraia!

Baada ya hapo ndo unaingiza mambo ya demokrasia, vyama vingi, katiba mpya n.k
 
safi sana,umma umepindua serikali.nadhani hii ndo lugha sahihi kwa madikteta na wabaka demokrasia Africa.idumu madagascar!
 
Sikio la kufa halisikii dawa.
Umuhimu wa kisima huheshimiwa kiangazi.
Sio kila achekaye ana furaha na sio kia anayelia ana majonzi.
 
Haya wachangiaji, kama nilivyohint awali - muda ndio utatuwezesha kujifunza vizuri juu ya athari za alichokifanya kijana wa Antananarivo na kikundi chake. Sasa tuangalie developments, nini kinatokea huko, ili tujue kama kuandaa maandamano pekee kunafaa kuwa kipimocha kumkabidhi mtu nchi. Sasa mchezo umegeuka, mitaa ya Antananarivo imejaa wandamanaji wa kila siku wanaopinga utawala wa DJ and guess what, wanaondamana sasa ni wengi zaidi ya wale elfu tano walioreportiwa kuwepo kwenye maandamano aliyoandaa DJ. Sasa tuseme nini? Je, tuendeleze peoples' power na kumtoa madarakani???
Habari iko hapa BBC NEWS | Africa | Ousted Madagascar leader defiant
 
Madagascar president steps down

ANTANANARIVO, Madagascar

Madagascar's president handed over power Tuesday — but not to the rival who plunged this Indian Ocean island nation into weeks of turmoil with his bid for power.

In a radio address Tuesday, President Marc Ravalomanana said he was ceding power to the military.

"After deep reflection, I have decided to dissolve the government and give up power so that a military directorate can be established," he said. "This decision was very difficult and very hard, but it had to be made. We need calm and peace to develop our country."

An aide to Ravalomanana said the military directorate would be made up of veteran, high-ranking military leaders who would organize a national conference that would be responsible for holding elections within two years. Ravalomanana's term would have ended in 2011.

The members of the directorate were not named.

There was no immediate reaction from opposition leader Andry Rajoelina, who has led weeks of anti-government protests.

Rajoelina accuses Ravalomanana of misspending public funds and undermining democracy in Madagascar — an impoverished Indian Ocean island of the coast of Africa known both for its natural beauty and its history of political infighting and instability.

Over the weekend, Rajoelina declared himself president of a transitional government and promised new presidential elections within two years. On Monday, he called on the army to arrest the president, but soldiers refused.

The president says Rajoelina is seeking power by unconstitutional means. A breakaway army faction had claimed it was neutral and interested only in restoring order, but the split in the military has greatly weakened the president.

Earlier Tuesday, Rajoelina entered one of the capital's presidential palaces, welcomed by mutinous soldiers who apparently support him. That could set the stage for further impasse. The soldiers had seized the deserted palace, usually used for ceremonial purposes, on Monday night.

The president was in his official residence, surrounded by supporters and army guards.

In addition to soldiers, Rajoelina had been greeted by mpiandry, traditional healers who specialize in exorcism. The palace had been the site of a deadly clash between anti-government supporters and troops last month.

Edmond Razafimanantena, a newsstand owner in the capital, said he didn't want the president, his rival or the military in charge.

"You can't expect anything from these politicians, the opposition is as bad as the government. And you can't accept mutinous soldiers running the country," he said.

Tensions have been rising since late January, when the government blocked an opposition radio station's signal. Rajoelina supporters set fire to a building in the government broadcasting complex as well as an oil depot, a shopping mall and a private TV station linked to Ravalomanana. Scores of people were killed.

Days later, soldiers opened fire on anti-government protesters, killing at least 25. The incident — at the same palace seized Monday — cost Ravalomanana much of the support of the military, which blamed him for the order to fire at demonstrators.

Angele Ramaromihanta, a secretary living in the capital, said a peaceful solution must be found.

"I don't understand why the politicians don't want to talk," she said Tuesday. "I'm afraid of the army seizing power — donors won't want to help us."
The case of Madagascar may look so sad but remaining at the level of sympthy and sanctions will not do justice to the people. I was not shocked that the President was pushed to this level since the writting were clearly on the wall following the events in the that island's capital. I have a feeling that the writings are on the wall too for many African leaders. The litmus would be on how the have performed and behaved. Those leaders who make a mockery of elections and democracy as if it were some circus. Yes, the leaders who turn their people into puppetts and siphon millions of the tax payers' hard earned cash and stush in their foriegn offshore accounts, those corrupt inept and dictators who should be help them cry foul?

Should we appreciate the response of the AU and even SADC by slapping the entire pop[uilation with sanctions? The question that begs itself is that with constitition beinfg the base, how many of the members of thesews clubs AU and SADC care in the highest office of land constitutionally? God forbid.. how many are seeking room to change the same constitutions the vow to protect to remain PRESIDENTS for LIFE. I see here alot of hypocrisy. Did these guys not know that trouble was brewing in Madagascar? And what was the immediate response?

We should thank God that the boats these leaders are in are still calm. However calmness wshould not be mistakened to mean that peoplee are happy with their leadership. How can the people be happy when they can hardly afford basic needs of adequate and quality food, health care, shelter and clothing?

With the unfolding of events in Africa, with no respect to the the will of the people these Madagascar scenarios will be common. It is amazing and puzzling to see who is casting the blames. Why wait to cast blames? A stitch in time saves nine. Most africa citizens are very people. What ouyr laeders forget that we are crying to dine like queens. no...all we seek is what is basic and due to us.
 
Eddy Ouma,

the problem very rarely you have a peaceful exit like that of Madagasca! In other situtions it would led to civil war! Inmany cases the army take sides with dictators..the Madagasca case is a bit unique!

so for the sake of peace we tolerate dictators like M7, Mugabe, Biya, Nguema, Bongo etc.

African leaders..do they even learn?

I dont know.. may be a few of them!
 
"After deep reflection, I have decided to dissolve the government and give up power "

What a joy kama JK ANGEKUWA NDIYO ANATUAMBIA NAMNA HIIIIIII?

That could be fantastic men, and surely we could open up a new page of real politics and governance
 
Kumbe Ravolamanana aliwekewa Mtutu wa Bunduki kichwani na wanajeshi akaambiwa aachie madaraka?

SADC imempa Rajioline mda mfupi aachie ngazi ampe Spika Uraisi na Spika ampe Ravolamanana uraisi wake tena kwa haraka!

Kama Rajioline hatakubali..basi SADC itampiga na kumwondoa kwa nguvu kama Bakar wa Comoro!

Bernard Member: Akihojiwa na BBC toka Mbabane- Swaziland
 
Huyu DJ naona kama ni jamaa tu mhuni,

Naye pia hatadumu: watamtoa tu!

SADC na AU wako nyuma ya Ravalomanana!
 
Back
Top Bottom