Madada poa kupewa mikopo ili wajiepushe na biashara ya kuuza miili yao

Tuagize

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
238
548
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amewataka wadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao kuunda vikundi vitakavyowezesha kuomba mikopo wezeshi ili kufanya biashara zitakazowasaidia kujiepusha na biashara hiyo haramu.

IMG_9315.jpg
 
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amewataka wadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao kuunda vikundi vitakavyowezesha kuomba mikopo wezeshi ili kufanya biashara zitakazowasaidia kujiepusha na biashara hiyo haramu.

View attachment 2534282
biashara sio mchezo kwani haomalaya wana shida ya mkopo? biashara ni kuuza kichwa kula faida kutunza mtaji kisha kila mwezi marejesho,hali yakuwa malaya kazi yake atumii mtaji aangaishi akili yake sijui faida sijui kutafuta wateja sijui kwenda kununua kutafuta seiti ya kuafanyia kazi kahaba kazi hiyo hawezi tusidanganyane
 
Ukahaba, ukibaka, uteja sio ishu ya uchumi bali ni suala la mvurugiko wa akili. Hawa tiba zao zaidi ni masuala ya kiroho na kiakili.
Wanahitaji zaidi msaada wa kiroho na kiakili Ili kuziweka SAwa saikolojia zao.
Hawa ni zao la upweke kwenye malezi na sio ishu ya uchumi. Kama ni uchumi pana watu Wana maisha magumu kuliko hata hao makahaba wenye uhakika wa kuingiza kipato kwa siku na hawafanyi ukahaba wala kuiba.
 
Watanzania hatujui tunataka nini.

Hawa wadada wakikamatwa tunakuja hapa kupiga kelele kuwa hao ni zao la kutokuwepo kwa ajira ndomana wanajiuza.

Wanapewa mikopo ili wafanye biashara hii pia hatutaki tunataka wasipewe.
Wateja wao ndo wanalalamika
 
Mkazo iwe kuwasaidia mabint wasiingie huko maana wakishazama huko ni ngumu kuwatoa

Halafu sisi wateja wao wanatusaidiaje kupata hiyo huduma ya utelezi
 
Back
Top Bottom