Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

jaman kwa tuliosoma dploma engineering twahtaj kuendleza shahada in engneering vgezo vpoje kupata mkopo?
 
HUU NI WIZI KWANINI MDA WA KUOMBA MKOPO UNAFANYIKA KABLA YA MATOKEO? Huu ni wizi kabisaaaa. sijui kwanini selikali inaruhusu hili, kwa sbb wapo ambao watakuwa wameomba na wakafeli alafu licha ya hela ya maombi bado unaweza jinalako likapata mkopo na ukabaki kwao nahisi kitu kama hiki. lazima selikari itazame vizuri hapa wanaumiza watu bure halafu wao ndo wananufaika ,akha!!!


Lakini hawajaforce uombe kabla ya matokeo.Kama una wasiwasi utafeli subiri kwanza hadi yatoke na kitu kizuri zaidi ni kuwa sio kwamba ukiwahi kuomba ndio unajihakikishia kupata ,hapana
 
Nimejaza form ya mkopo na kuprint nakuja kugundua baadae nakuta nimejaza wilaya tofauti na niliyozaliwa na iliyokwenye hati ya kuzaliwa kwa ss naishi wilaya nyngne tofauti na nyumban kufuta na jaribu inashindikana
 
Haha deadline ni tarehe 30 June na matokeo yatakua bado unaaply unaambatanisha vyeti vya form four ,form six wewe utaandika namba tu matokeo yakitoka yanatumwa bodi moja kwa moja .... Wahi nawala usiogope maana hata tulioka first year tumeaply hivo...tofauti na 2nd year baada ya mihula kubadilishwa....:::swali lingine??
 
Habari zenu wakuu nilikuwa nikiulizia kuhusu hizi transaction ID ni kwa nini ungiingiza kwenye OLAS inakataa inasema invalid transaction id wakati wao wenyewe ndio walionipatia naombeni msaada wenu wakuu
 
Angalia hapa
 

Attachments

  • 1431949438077.jpg
    1431949438077.jpg
    61.4 KB · Views: 408
  • 1431949491260.jpg
    1431949491260.jpg
    61.6 KB · Views: 355
Masters/PhD kuna makundi matatu wanaweza kunufaika kulingana na vigezo vya 2015/2016:
1. Wahadhiri: wa tassisi za elimu ya juu,
2. Watanzania waliopata skolashipu kupitia Wizara ya Elimu kwenda kusoma nje ya nchi, na
3. Watumishi wa taasisi za serikali waliopata udahili (admission) Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela- Arusha
* Kama hukidhi vigezo vilivyotajwa huwezi kupat amkopo kwa Masters/PhD
 
Mhitimu wa Diploma (sifa linganishi) anaomba kama mhitimu wa Kidato cha VI au wa NTA Level 6 (waliosoma Ufundi) na kuhitimu mwaka 2013, 2014 au 2015. Kama anaenda kujiunga na progeamu za kipaumbele ukomo wa miaka tangu amehitimu Diploma yake hautaangaliwa.
 
Vyeti unavyotakiwa kuambatanisha ni:
1. Cheti za kuzaliwa
2. Cheti cha Form IV/Diploma/NTA Level 6
3. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini wako, na
4. Vyeti vingine kulingana na ulivyojaza form yako; mfano kama wewe ni yatima unapaswa kuambatisha vyeti vya kifo vya wazazi wako.


**
 
vipi kuhusu tuliomaliza form six miaka 3 nyuma Kuhusu kupata mikopo?#bibi mikopo...
 
Bibi Mikopo VIP kwa waliokosea kujaza form online(Olas) AF tayar wameshaprint wafanyeje
√√√√√√•••••ushauri••••••√√√√√√
Jinsi ya kufanya
 
Last edited by a moderator:
Najua utaratibu unaandaliwa ili wao wenyewe wawe na rights za ku-amend then uprint uwasilishe. Ila jaribu kuhakiki taarifa zako kabla ya kusubmit Mkuu...muhimu sana. Itaondoa usumbufu wote huo. Piga +255 22 2772432 utasaidiwa
 
Ulimaliza lini Mkuu? Umesoma vigezo lakini? Mimi nina ndugu alimaliza form iv 1988, form vi 1991 na diploma 1995....lakini alipata mkopo wa B.A Education na amemaliza a few years ago. Soma mwongozo na angalia programu za kipaumbele...
 
Back
Top Bottom