Mkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.Mkuu muuza ubuyu hebu tupe mrejesho tena umevuka mwaka na kuingia 2019 na hiyo Harrier bado nzima na ulaji wa mafuta ni huo wa 10Km/litre?
Kluger haitaki hela ya VICOBA bumper la nyuma la kluger inafika 168 USD (likiwa japan) bado kusafirisha na TRA.Natarajia kumiliki Toyota Kluger wenye uzoefu nayo njooni mnipe dondoo
#bamia_ndefunene
Mkuu unamaanisha ni gari ya gharama kulihudumiaKluger haitaki hela ya VICOBA bumper la nyuma la kluger inafika 168 USD (likiwa japan) bado kusafirisha na TRA.
Nina option mbili ya kuchukua moja wapo ipi yenye unafuuKluger haitaki hela ya VICOBA bumper la nyuma la kluger inafika 168 USD (likiwa japan) bado kusafirisha na TRA.
Hili ni RAV 4 new model? Mimi nilichukua xtrail nikaja kufunga engine ya RAV 4 mwaka wa tano sasaNina option mbili ya kuchukua moja wapo ipi yenye unafuuView attachment 1000526View attachment 1000527
#bamia_ndefunene
Kwa iyo Rav 4 new model ni rahisi kuihandleHili ni RAV 4 new model? Mimi nilichukua xtrail nikaja kufunga engine ya RAV 4 mwaka wa tano sasa
Kwa rav4 siijui vzr Nitakudanganya chief. Mm nilinunua xtrail nikabadilisha injini nakula kiyoyozi Mapinga 2 Posta Mpya daily.Kwa iyo Rav 4 new model ni rahisi kuihandle
#bamia_ndefunene
Sahihi kabisa-mimi natunia lexus Rx400 ambayo ilikua ni hybrid bahat mbaya generators zake zilikufa, kabla hazijafa nikikua naenda 14-16km kwa lita town trip highway ilikua inakula 16-18km kwa lita. Kwa sasa inakamua km 6-7km kwa lita town trip-highway 9-10km kwa litaTown trip ni 6km/l. Highway ni 10km/l AC ikiwa imewashwa.
Ni kweli Mkuu nimeingia Google nikakuta upo sahihi na hata hizi za piston 4 zitumiazo 2.4 hazijaachana zinakula 11km kwa lita mojaMkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.
weka tu Mkuu Petrol aina yoyote kituo chochote gari (Harrier itawaka)
Hahahah we jamaa kiboko, kwahio watu wanaona upo kwenye xtrail kumbe unatembelea 2AZHili ni RAV 4 new model? Mimi nilichukua xtrail nikaja kufunga engine ya RAV 4 mwaka wa tano sasa
Mkuu Nissan inakausha mainiHahahah we jamaa kiboko, kwahio watu wanaona upo kwenye xtrail kumbe unatembelea 2AZ
Highway ukiwasha AC ni afadhali ukifungua madirisha wese linaenda ova tank linavuja.
Mkuu, unaposema hybrid na vvit utofauti upoje?kama ni 3000cc hybrid chukua maana wese ni kama vits ila kama ni vvti kimbia, maana wese lake kwa mwaka unajenga apartent mbili unakula kodi yako ya 450000
Hybrid inatumia umeme.Mkuu, unaposema hybrid na vvit utofauti upoje?
Kuna Vits hybrid nataka kuivutaa, sasa sijui tofauti na hizi vvti....
Je spare zinapatikana?
Sent using Jamii Forums mobile app