sauti ya wana nchi
Member
- Aug 30, 2022
- 5
- 4
Wajasiriamali wanaumia wanaangaika wananyanyaswa nani awasemee vilio vyao ni juu ya Serikali, wamekuwa wakilia kwani wakuu wa idara hawalioni hili
Viongozi wa machinga wao hawalioni hili au wamelidhika kuona wajasiriamali wadogo wadogo na wamachinga wakiumia kila siku ni vilio vya wafanyabiashala kwani havisikiki au hakuna uongozi wa kuongea juu yao
Tizama machinga mjini wananyanganywa biashara zao, wamekuwa watu wa kukimbia kimbia. Haitoshi mpaka na huku mtaani watendaji na wenyeviti nao wanahusika kunyang'anya biashara zao
Tizama MWANZA MABATINI mjasiriamali ilivyonyanganywa biashara yake na kupelekwa ofisini ikawekwa chini nje ya ofisi na kisha ikapelekwa jiji. Maisha gani haya jamani kwanini haya yatendeke? Viongozi njooni mkague soko la MWANZA MABATINI, viongozi njooni mzungumze na wajasiriamali na machinga wa kata ya MABATINI mjue changamoto wanazopitia, pia tuondoe uvyama katika shughuli za kijamii maana zinawaumiza wananchi, tuondoe usiasa kwenye shughuli za kijamii.
View attachment 2340583