Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Jamani nimekuwa nikukutana na machangudoa wengi sana maeneo ya mjini, kuna watu wanasema kuwa wengi wao wanaishi katika mageto huko Kinondoni na Buguruni, kuna wengine wanasema kuwa machangu wengi wako wengi Magomeni lakini kuna madai kuwa machangu wanaishi Mabibo, jamani hebu tusaidiane machangu hususan katika jiji la Dar Es Salaam wanaishi kwa wingi katika kitongoji gani? (Tafadhali sina mpango wa kuhamia huko teh teh teh).