Machangu Wala Bakora Mwezi Mtukufu

Napingana na hoja kwamba kuna mtu aliharibiwa swaumu yake na hapo ndo kuwa chanzo cha kuwachapa bakora hawa kinadada.Huu ni mwaka wa 3 mfululizo mimi mwenyewe kama shahidi nikishuhudia haya mavarangati ya hawa wavaa suluari fupi na chips funga.Wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na dalili pasipo kutaka kutafakari na kujua nini chanzo as hata hawa chips funga wengi ni wavaa hijabu mida ya mchana na usiku ndo wanaenda kutafuta rizki yao hapo.
 
Hizi dini hizi..........
.
"Marry off the single among you and those of your male and female slaves who are fit [for marriage]. If they are poor, God will provide for them from His bounty: God's bounty is infinite and He is all knowing. Those who are unable to marry should keep chaste until God gives them enough out of His bounty. If any of your slaves wish to pay for their freedom, make a contract with them accordingly, if you know they have good in them, and give them some of the wealth God has given you. Do not force your slave-girls into prostitution, when they themselves wish to remain honourable (that is if they are willing go ahead!), in your quest for the short-term gains of this world, although, if they are forced, God will be forgiving and merciful to them." [Qur'an 24:32-33]

And the slaves by that time were us.....BLACKS!!!
 
Biashara za hawa madada zinaathiri nini katika mfungo wao?? Naamini kuwa MFUNGO WAKO UNAKUWA KAMILI ZAIDI UKIWEZA KUVISHINDA VISHAWISHI na KUHESHIMU WATU WOTE (hata wasiokuwa na imani sawa nawewe)....

Kwani wasiofunga si wanaruhusiwa kula chakula? Kuvuta sigara? Haya mengine walifounga wawaachie wasiofunga waendelee na maisha yao.
 
Wamewezaje kutofautisha machangu na wasio machangu? naona wapo ambao wamevaa suruali ndefu tu ambao wamewaadhibu pia.
 
Ubinafsi uliokithiri, wanataka wao tu ndio wafaidi, si wafungulie kama wanaona wamefunga hawawezi tena kwenda kuchukua changu.

Wanynyasaji wakubwa....na waroho wakubwa.
 
Unyanyasaji wa kijinsia huu,wanatake advantage ya udhaifu wao wa kimaumbile,mbona vibaka,wavuta bangi wanaendelea kama kawaida au mwezi mtukufu dhambi ni moja tu.
Ningependa nione wakiwaendea mateja na hizo bakora zao,halafu tuone kati yao na mateja nani uamsho.



Kwani wao hawaogopi..?? Mateja wana msemo wao niguse nikuchanechane na viwembe..
 
huu ni uonezi kwa hao kina dada poa, ni afadhali wangewachapa wateja wanao nunua hiyo bidhaa inayouzwa, bila kuwa na wateja hao machangu wasinge kuwepo barabarani, na ni afadhali wake wa hao maustaadhi ndio waingie barabarani kuwachapa hao madada poa kwa kuwaalibia swaumu(njaa) waume zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom