Machali, mshauri Mbatia afute kesi dhidi ya Mdee - Kafulila

February

Member
Nov 15, 2011
90
21
Nimesoma kwenye mtandao wa tanuru la fikra. David Kafulila anasema mh Machali anafanya kazi ya kuhamisha mjadala kutoka hoja ya wajumbe kukosa imani na Mbatia kama mpinzani.

Katika maelezo yake Kafulila anasema mfano mdogo wa kupima kama mbatia sio mpinzani ni kesi ya kawe. Kwamba alimshauri afute kesi kwa maslahi ya chama lakini akagoma kwa hoja kuwa Mdee alimchafua sana. Kafulila anaendelea kusema kuwa walimwambia Mbatia kama hoja nikuchafuliwa afungue kesi ya kudhalilishwa badala ya kesi ya kupinga matokeo. Lakini Mbatia amegoma.

Hapa kwakweli ndipo naona Machali anapomtetea mwana ccm Mbatia bila kujijua. Kafulila kwenye ujumbe huo anasema Mbatia akishinda kesi hiyo na ikatokea CCM wanapora jimbo wao NCCR wataweka wapi sura zao? Watajiteteje kuwa sio sisiemuB?

Naomba mh Machali ufunguke macho. Hata hapa huoni mbatia anafanya kazi ya CCM? Kwa mazingira haya ni mgonjwa wa akili pekee atashindwa kuamini kuwa kesi hii ya Mbatia katumwa na CCM.
 
Ngoja tumsubiri machali kwa kesi hii ya kawe. Inafafana na ile waliofungua zanzibar na kusababisha cuf ipoteze majimbo kama sita vile mwaka 2003?
 
Huyu bwana hajawahi kuwa mpinzani wa kweli, amakua kinara wa kuwasafishia njia magamba. Binaafsi nna mashaka kama Mh. Machali hajaingia kweny mkumbo. Si mara ya kwanza Mbatia kuwa kikwazo kwa wapinzani. Mh Machali na wengine wanaomtetea Mbatia watwambie wanamaoni gani juu ya kesi ya Kupinga matokeo ya kawe wakati mtu mwenyewe alikua wa tatu.
 
lakini bado hajajibu kama anataka kumpa zitto uwenyekiti wa NCCR!Mbatia ni pandikizi,lakini kafulila ni kinyonga.bado namsupport machali.hadi ukweli ujulikane.
 
sisi chadema tulimfukuza chadema baada ya kafulila kumchukulia zitto fomu ya kumpinga mwenyekiti wake na akaitwa sisimizi, lakini kwa hili nipo naye mbatia siyo mpinzani na vile vile maneno aliyoyasema mdee ni kweli tupu, mbatia ni bwabwa kama siyo wali
 
nikiunganisha matukio naanza kupata picha kwanini NCCR mageuzi ilisambaratika kipindi fulani.Nakumbuka bifu la kina Mrema,Marando,Lamwai,Mbatia jinsi lilivyoua upinzani.Nadhani sasa wapinzani wa kweli wameshaeleweka na wanaotumiwa kudhoofisha upinzani wanajulikana.Sielewi kwanini Machali ameamua kumtetea Mbatia kwa nguvu zote wakati Mbatia amekuwa mtetezi wa serikali siku hizi bila kificho
 
Mbatia kwanini anafia njaa pale nccr asiende tu ccm maaana yeye ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo
 
Nimeona kuna mtu kasema Mbatia ni bwabwa! Bwabwa manake nini kwani?

Mi nitakusaidia tu kutafsiri Bwabwa,
Wajua linatokana na neno Ubwabwa,
Sasa Ubwabwa haupatikani bila mchele ambao chanzo chake ni Mpunga.
Sasa kwakua herufi "u" imeondolewa katika neno ubwabwa na kubaki bwabwa, hivyo herufi "m" lazima nayo iondolewe katika neno mpunga ili kwenda sawa, so inabaki "Punga",
So kama jamaa ni "bwabwa" means jamaa ni "Punga",
Umeelewa sasa mkuu???
 
Bravo Daudi!!
20[SUP]th[/SUP] november 2011:
Najua nccr chama bado pengine ndio maana kafulila alikuwa akisisitiza iunganishwe nguvu kwa vyama kama chadema na wanaharakati nje ya siasa.

25[SUP]th[/SUP] November 2011: Mbunge wa kigoma kusini na katibu mwenezi wa nccr mageuzi david kafulila amesema chama chao hakihitaji kukutana na Rais JK kwakuwa CCM, Serikali na hata Rais mwenyewe haina dhamira ya kweli ya kuleta katiba mpya.

3[SUP]rd[/SUP] December 2011: Inakuwaje ameshindwa kura na mdee kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu30 afu anakwenda mahakamani? Hivi akimshinda mdee na uchaguzi ukarudiwa afu ccm wakapora jimbo nccr kitaweka wapi sura yake? Kama mdee alimchafua kwenye uchaguzi si rafu za kawaida hizo kisiasa. Lakini pia kama hoja ni kuchafuliwa kwann aisifungue kesi ya kuchafuliwa jina badala yake anafungua kesi kupinga matokeo?
4[SUP]th[/SUP] November 2011: Kafulila kwenye ujumbe huo anasema Mbatia akishinda kesi hiyo na ikatokea CCM wanapora jimbo wao NCCR wataweka wapi sura zao? Watajiteteje kuwa sio sisiemuB?
 
Nimesoma kwenye mtandao wa tanuru la fikra. David Kafulila anasema mh Machali anafanya kazi ya kuhamisha mjadala kutoka hoja ya wajumbe kukosa imani na Mbatia kama mpinzani.

Katika maelezo yake Kafulila anasema mfano mdogo wa kupima kama mbatia sio mpinzani ni kesi ya kawe. Kwamba alimshauri afute kesi kwa maslahi ya chama lakini akagoma kwa hoja kuwa Mdee alimchafua sana. Kafulila anaendelea kusema kuwa walimwambia Mbatia kama hoja nikuchafuliwa afungue kesi ya kudhalilishwa badala ya kesi ya kupinga matokeo. Lakini Mbatia amegoma.

Hapa kwakweli ndipo naona Machali anapomtetea mwana ccm Mbatia bila kujijua. Kafulila kwenye ujumbe huo anasema Mbatia akishinda kesi hiyo na ikatokea CCM wanapora jimbo wao NCCR wataweka wapi sura zao? Watajiteteje kuwa sio sisiemuB?

Naomba mh Machali ufunguke macho. Hata hapa huoni mbatia anafanya kazi ya CCM? Kwa mazingira haya ni mgonjwa wa akili pekee atashindwa kuamini kuwa kesi hii ya Mbatia katumwa na CCM.
Mbatia-mrs QUARESI
 
Mi nitakusaidia tu kutafsiri Bwabwa,
Wajua linatokana na neno Ubwabwa,
Sasa Ubwabwa haupatikani bila mchele ambao chanzo chake ni Mpunga.
Sasa kwakua herufi "u" imeondolewa katika neno ubwabwa na kubaki bwabwa, hivyo herufi "m" lazima nayo iondolewe katika neno mpunga ili kwenda sawa, so inabaki "Punga",
So kama jamaa ni "bwabwa" means jamaa ni "Punga",
Umeelewa sasa mkuu???
Mie ngoja niongezee hapo hapo.
Ukiwa na mkasi ili ufanye kazi ni lazima uutie vidole viwili nyuma ili ukate vizuri kitu.
 
Mi nitakusaidia tu kutafsiri Bwabwa,
Wajua linatokana na neno Ubwabwa,
Sasa Ubwabwa haupatikani bila mchele ambao chanzo chake ni Mpunga.
Sasa kwakua herufi "u" imeondolewa katika neno ubwabwa na kubaki bwabwa, hivyo herufi "m" lazima nayo iondolewe katika neno mpunga ili kwenda sawa, so inabaki "Punga",
So kama jamaa ni "bwabwa" means jamaa ni "Punga",
Umeelewa sasa mkuu???

Kaka nimecheka sana na hii encyclopedia, alieuliza lazma kaelewa manake hta mim sikua nafaham uhusiano na origine ya hayo maneno mawili
 
Machali amewahi kusema kuwa katika kutimiza malengo yao, Kafulila & Co waliwezeshwa kifedha na watu ambao hawakutajwa. Isije kuwa wawezeshaji ni hawahawa wabaya wetu kina Lowasa.
 
Kafulila je ingekuwa ni wewe wananchi watangaziwa kuwa wewe ni m-cameroon usingechukuwa hatua? Na kwa kuchafuliwa kwake ndiko ilisababisha wananchi kuogopa kumpa kura. Mdee atatoka tu kwenye Ubunge ajifunze HOJA na sio matusi wakati wa kuomba kura. Acha wakose wote ndio WATAHESHIMIANA. Sawa Mh Kafulila?
Hata Mh Lema wa Arusha atatoka naye kwa kummiminia Batilda matusi ya nguoni wakati wa kuomba kura. Eti ana mimba nje ya ndoa, mbona mpaka leo hajajifungua? Watu wote walioomba kura kwa kudhalilisaha wenzao waondolewa.
 
Nimesoma kwenye mtandao wa tanuru la fikra. David Kafulila anasema mh Machali anafanya kazi ya kuhamisha mjadala kutoka hoja ya wajumbe kukosa imani na Mbatia kama mpinzani.

Katika maelezo yake Kafulila anasema mfano mdogo wa kupima kama mbatia sio mpinzani ni kesi ya kawe. Kwamba alimshauri afute kesi kwa maslahi ya chama lakini akagoma kwa hoja kuwa Mdee alimchafua sana. Kafulila anaendelea kusema kuwa walimwambia Mbatia kama hoja nikuchafuliwa afungue kesi ya kudhalilishwa badala ya kesi ya kupinga matokeo. Lakini Mbatia amegoma.

Hapa kwakweli ndipo naona Machali anapomtetea mwana ccm Mbatia bila kujijua. Kafulila kwenye ujumbe huo anasema Mbatia akishinda kesi hiyo na ikatokea CCM wanapora jimbo wao NCCR wataweka wapi sura zao? Watajiteteje kuwa sio sisiemuB?

Naomba mh Machali ufunguke macho. Hata hapa huoni mbatia anafanya kazi ya CCM? Kwa mazingira haya ni mgonjwa wa akili pekee atashindwa kuamini kuwa kesi hii ya Mbatia katumwa na CCM.

Kafulila ana ajenda ya Siri. Au anataka arudi chama yake ya zamani.

Mwacheni Mbatia abanane na huyo binti bega kwa bega mpaka sheria ichukue mkondo wake na haki kutendeka.
 
Kafulila je ingekuwa ni wewe wananchi watangaziwa kuwa wewe ni m-cameroon usingechukuwa hatua? Na kwa kuchafuliwa kwake ndiko ilisababisha wananchi kuogopa kumpa kura. Mdee atatoka tu kwenye Ubunge ajifunze HOJA na sio matusi wakati wa kuomba kura. Acha wakose wote ndio WATAHESHIMIANA. Sawa Mh Kafulila?
Hata Mh Lema wa Arusha atatoka naye kwa kummiminia Batilda matusi ya nguoni wakati wa kuomba kura. Eti ana mimba nje ya ndoa, mbona mpaka leo hajajifungua? Watu wote walioomba kura kwa kudhalilisaha wenzao waondolewa.

mzee usiniambie kuwa huijui issue ya 'Baraaani' na mwanasiasa mmoja mwenye nguvu kisiasa huko arusha, kwamba ni wapenzi tena wa muda mrefu tu ingawa huyo mama ni mke wa mtu.........acha uzandiki. kama kiongozi wa kisiasa ni mzinzi kiasi hicho atawezaje kuielimisha jamii anayoiongoza hasa ktk zama hizi za ukimwi?

Huo ucameroon wa mbaa tiia mbona ni issue inayojulikana tangu zamani tu, wala hajadhalilishwa, ni ukweli mtupu ndugu
 
Back
Top Bottom