Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,663
- 16,023
Inasikiitisha sana wakati huu ambao mabwawa yanayozalisha umeme yote yamejaa maji lakini bado kuna katizo la umeme.
Hivi ni kua mnawaona watanzania ni wajinga au? Maana mwanzo sababu ilikua maji ni kidogo kuzalisha umeme hivi sasa tatizo ni nini?
Watanzania tumekua wapole sana kiasi kwamba sasa serikali inatudanganya inavojisikia.
Upuuzi wa awamu ya 6!