Mabraza wa Kariakoo na dili zao

INAENDELEA...........!!!!!!
Basi wale jamaa zangu wakasogea kwa wale asikari waliokua pale porini wamesimama.....wakanifanyia ishara na mimi kiziwi nisogee pale.
Jamaa zangu wakatua mizigo chini,na wakaambiwa kwa kilugha kua wafungue mabegi yao.
Mimi na Ndagara tumevaa makoti yetu tumeficha madini yetu......na Ndagara amebeba kidumu cha maji,ambacho kimegawanywa mara mbili na huwezi kujua.Sehemu ya juu maji na sehemu ya chini nafasi ya kuweka kile kifurushi cha dhahabu ya unga unga.
Kumbe jamaa ndani ya mabegi yao walikua wameweka vipodozi,losheni,sabuni za kuogea, na makorokoro mengine ya kuuza kwa rejareja.
Baada ya wao kugaguliwa ikafuata zamu yetu mimi na Ndagara.
Tukavua makoti yetu na kuyaweka mikononi na tukaanza kukaguliwa.....na mda wote huo wanajua mimi kiziwi sisikii lolote.
Cha ajabu hawakukagua makoti yetu hata kidogo na wala lile dumu la maji hawakulishika.
Wale wanajeshi wakawauliza mnatokea wapi na nyinyi ni akina nani???
Basi wale jamaa zetu wakasema sisi wafanyabiashara tunawauzia vitu wanyarwanda.
Wale wanajeshi wakawaambia kwa kilugha wawape hela zao za mauzo ya bidhaa walizodai wanauza na wapotee mara moja.....!!!
Sasa mm nikabaki nimesimama.....basi wakawaambia jamaa zangu kua mshitueni kiziwi wenu muondoke hapo.....🤣🤣🤣 wakanishitua basi tukaondoka pale tulipokuwepo!!!!!
Baada ya kutoka pale basi wale jamas zetu wawili waongozaji wakaamua tupitie ndani kabisa porini sababu hata zile njia za panya zilikua zimeshavurugika
Na ikumbukwe kule nyuma tumeshapotezana na wale jamaa kumi na kenda waliokua wamebeba silaha na walikua wanadai,wanatusogeza sogeza ili kutulinda......lakini nyuma ya pazia nadhani walikua na misheni zao.
Wale wakongomani walicheka sana mimi nilipozuga na kujifanya kiziwi....eti sisikii 🤣🤣🤣 wakawa wananiambia kua nyie baswahili mnakuraga na mapulemeeee mengi mengi 🤣🤣
Basi tukaendelea na safari mpaka,tukafika kwenye kile kijiji kilichotelekezwa na waasi wa kibangu bangu,ambao mara nyingi hupigana na majeshi ya serikali.Na ni kijiji ambacho tulikipita mara ya kwanza wakati tunaenda kule milimani kutafuta madini na kuangalia sample tukitokea mji wa MIDUHA.Basi pale kijijini waongozaji wetu wakasema tutafanya kambi mpaka asubuhi,maana tumechoka ili kesho tuendelee na safari yetu ya kuutafuta mpaka wa burundi na DRC.Jamaa zetu wakatuambia kua yale mabegi yao na makorokoro waliyabeba kimakusudi ili kuzuga na pia cha muhimu kwao ni madini ambayo sisi tumebeba.Na pia wakasema kua wale wenzao waliokimbilia upande mwingine,watakua wameenda kutoa taarifa kwa wengine,ili likitokea lolote msaada upatikane.Basi tukalala pale kwenye ile kambi mpaka asubuhi....afu safari yetu ikaendelea kusogelea vijiji ambavyo vipo karibia na mpaka wa burundi....umbali wa kilomita 27 hv kufika mpakani,kwenye uelekeo wa mji wa MIDUHA.
Basi wale jamaa zetu wakatuweka chini na kuanza kutupa somo kuhusu eneo hilo hatarishi kuvuka mpaka kuingia Burundi.
Kabla ya kutupa somo basi wakatupa dawa za kunywa na kupaka kwa ajili ya usalama wetu.......na hizo dawa zilikua na utaratibu wake wa kufuata mpaka tutakapofanikiwa kuvuka mpaka kuingia burundi.......maana lile eneo lilikua eneo hatarishi,hasa kwa watu wanaojihusisha na biashara za madini.
Hizo dawa zilikua na utaratibu ufuatao:
A: Hakuna kuoga hadi tuvuke mpaka.
B:Hakuna kuruka maiti hadi tuvuke.
C:Hakuna kutazama nyuma tulipotoka
D:Hakuna kutema mate chini
E:Hakuna kutazama juu.
F: Hakuna kutazama jua
G:Hakuna kunuia kinyume na tarajio
H: Hakuna kuubeba uchawi mwingine mfukoni.....mpaka uchawi waliotupaka tuwarudishie.......maana walisema huo uchawi kwenye hatari ya makusudi inakufanya usionekane machoni pa adui wako au mtu anaetaka kukudhuru.
SOMO TULILOPEWA
1: TUSIZUNGUMZE KISWAHILI CHA TANZANIA KWA SAUTI.
2: TUSIWE NA HARAKA YA KUJIBU CHOCHOTE HATA KAMA TUTAKUTANA NA WANAJESHI WA MPAKANI.
3: IKITOKEA TUMEKUTANA NA WANAJESHI WA JESHI LA FARDC AU WAASI WANAOWAUNGA MKONO NA KAMA IKITOKEA WAKATUNYANGANYA MADINI,BASI TUSIWE WABISHI MAANA UHAI NI MUHIMU KULIKO MADINI.
4: PALE MPAKANI WANAJESHI WA BURUNDI WAPO DORIA MASAA ISHIRINI NA NNE WANAWASAKA WAASI WANAOTAKA KUIPINDUA SERIKALI YAO.
5: KAMA IKITOKEA TUKAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA MADINI WA KINYARWANDA NA KIGANDA PALE MPAKANI MWA BURUNDI NA DRC AU UPANDE WA PILI WA MJI WA MIDUHA.BASI TUSIWAAMINI KATIKA LOLOTE LILE,HASA KATIKA BIASHARA
6: TUKIFANIKIWA KUVUKA MPAKA NA KUINGIA MJI WA BURUNDI WA MIDUHA,TUSIADITHIE MTU YOYOTE KUHUSU MAMBO TULIOYAONA TULIPOKUA KIVU KUSINI.
7: MADINI TULIYOYABEBA NI SAMPLE ZA KUANGALIA UPEPO WA BIASHARA HIVYO TUSIFIKIRIE KUWADHULUMU WALIOTUPATIA...SABABU KAMA TUKIWA WAAMINIFU TUTAPATA HELA NYIINGI SANA...HILI LILIKUA SOMO LA UAMINIFU.
8: PIA TULIPEWA SOMO LA SIASA ZA DRC NA SISI TULITAKIWA TUSIJADILI KABISA SIASA ZA DRC NA MTU YOYOTE YULE HATA TUKIVUKA NA KUINGIA MIDUHA BURUNDI
9: PIA TULIPEWA SOMO LA KUTOJIFANYA WAJUAJI WA BIASHARA YA MADINI.....TUJIFANYE WAJINGA ILA KILA KITU WATAMALIZA WENYEJI WETU TULIOWAACHA KULE BURUNDI
10: PIA TULIPEWA SOMO LA KUWA SMART SAFARI YA PILI TUTAKAYORUDI BURUNDI.NA TUTUMIE PASSPORT HALALI NA NJIA HALALI ZA KUINGIA BURUNDI........SABABU WAKONGOMANI NI RAHISI SANA KUFANYA BIASHARA NA WATU AMBAO WAPO SMART KIMAVAZI NA KIMUONEKANO WANAPOKUA KATIKA MIJI MIKUBWA....ILA PORINI WAKATI WA KUTAFUTA MADINI USMART NI MWIKO...SABABU MAZINGIRA HAYARUHUSU.
Bas tukaanza safari ya kwenda mpakani,na tulizidi kupitia njia za msitu kwa msitu........tukiwa tunakwepa makundi ya waasi yanayowaunga mkono wanajeshi wa FARDC....maana kazi yao kubwa pale mpakani ni kuwaibia walanguzi wa madini....mawe yao.
Tulitembea kwa utaratibu mpaka tukafika sehemu,kwa mbele kuna kijiji kinaitwa IYENJE......wale waongozaji wetu wakashauri tuingie pale ikiwezekana tulale pale mpaka kesho......ili tuangalie utaratibu wa kuja kuvuka mpaka,ambao upo mbele maili sio nyingi.
Lakini tulipoingia tu barabarani isiyo rasmi kuelekea kijijini IYEJE kwa mbele tukaona ila kwa mbali..........umbali wa yadi mia mbili hivi.
Walikua ni wanajeshi wa FARDC na walikua wameweka road block ya kienyeji na walikua wamefunga na hema lao pembeni ya hiyo barabara.
Walikua pia wamesimamisha magari mawili ya land cruser pick up zilikua zimefungiwa machine gun.Na walikua kwa idadi ya haraka haraka kama wanajeshi thelathini na mbili hv.
Sema hawa askari.....inaonekana tayari walikua wameshalewa na kuvuta bangi.
Ni jambo la kawaida kwa askari wa FARDC kulewa pombe au kuvuta bangi wakati wa kazi.
Sasa kabla hatujawafikia......yule mmoja wa waongozaji wetu wale wawili aliyekua nyuma yangu akaingia kichakani akajificha.
Nikabaki mimi na ndugu yangu Ndagara na jamaa yetu mmoja aliekua anatuongoza.....yeye kabeba begi lake.....afu mm sina kitu.....nimechakaa na vumbi.....na ndugu yangu Ndagara amebeba dumu lake la maji......na wote chini tumevaa katambuga,suruali zetu na mashati yetu na makoti yetu vimechoka balaa.
Na ni vigumu mno kwa mtu kutuhisi kama tumebeba madini ya aina yoyote na yenye thamani kubwa mno au tumebeba unga pure wa dhahabu...tulionekana kama walugaluga flani hv tunaokimbia,vita vya waasi na vurugu zao zisizoisha.
Tukawa hatuna jinsi ila tukaanza taratiibu kuisogelea ile road block ya kienyeji pale barabarani.
Yule muongozaji wetu akatupa ishara tutulie na mm akanikumbushia kwa ishara niendelee kujifanya kiziwi ili nisishitukiwe na wale askari wa kikongo.
ITAENDELEA.............!!!!
 
Alostooooo 😫
 
INAENDELEA.............!!!!!
Bas kimoyomoyo nikawa nasema duuuh hii kutafuta hela itakuja kunitokea puani.Nikasurvey mazingira ya pale nikaona kua katika ile njia ya kuiendea road block yadi kama mia hv mbele yetu.......pande zote mbili za kushoto na kulia kuna vichaka vinene....na hata sisi tumetokea kwenye vichaka vile vile,na ile tu tunaingia barabarani ndio tunakutana na ile road block.
Nikawaangalia wale wanajeshi almost 34 ni kama wamelewa hv......na mkuu wao sikumuona kwa wakati ule maana alikua ndani ya hema.
Akili ikanijia.....nikajisemea moyoni......kimoyo moyo*Sisi si tumepakwa dawa labda tutakua hatuonekani ngoja nipite moja kwa moja hata kama hawa wenzangu wawili watasimama lakini nikakumbuka somo tulilopewa na nikawa mpole***
Ikumbukwe tulikua watu watatu tu.......baada ya jamaa yetu kujificha kule vichakani......na tulitakiwa tusigeuke nyuma kumtazama,ili tusivunje masharti ya madawa ya kienyeji waliyotupaka wenyeji wetu.
Mazingira ya ile road block yalikua hv.
1: Ni kizuizi cha mda....maana ile njia sio rasmi.
2: Ni kama sehemu inayotumika kuwanyanganya raia mali zao....kwa kisingizio cha kusaka waasi.
3: Ni kama kituo cha kulewa pombe maana asilimia 60% ya wale wanajeshi,kimuonekano tu walionekana kama wamelewa.
4: Kipo juu mlimani na sisi tulitokea chini....kwa sababu kijiji cha IYENJE kipo kwa juu mlimani....na ni kijiji maarufu tu,kati ya mji wa pembezoni mwa uelekeo wa mji wa Kitenge.
**NAJIFANYA KIZIWI TENA
Bas tukasogea taratibuu mpaka pale juu kilimani kwenye ile road block ambayo ilikua pale......road block yenyewe ni miti pembeni na katikati ni kamba.Jamaa yetu yupo mbele na begi lake afu nafuatia mimi na nyuma yupo Ndagara.
Askari mtoto aliyekuepo pale akazungumza kwa kilugha na jamaa yetu......afu jamaa yetu akawa anamjibu huku anatuangalia....na kutunyoshea vidole na kumpa utambulisho wetu.
Ndagara nae akawa anaulizwa maswali anajibu....ila mm hakuniuliza chochote sababu nadhani walimwambia jamaa kiziwi.
Baada ya maongezi kidogo,bas jamaa yetu akatua begi chini na wakaanza kumkagua.......wakati huo ndagara kanipa lile dumu la maji nilishike mimi.Nikawa nawaza moyoni huku nikitamani kucheka*Maisha bhana hawa majamaa hawajui tumebeba unga pure wa dhahabu almost karibia kilo moja kasoro na madini ya ruby pure ya blue*
Nikawa nawaza kama wakitaka kulikagua koti langu na koti la Ndagara basi hatuna budi lazima tuwaachie madini......nikakumbuka somo.
Maaskari walipomaliza kukagua lile begi....ikumbukwe hiyo ilikua saa nane kasoro mchana....siku ya tatu ya safari yetu .. na ilikua tukitoka hapo Iyenje.....mpaka wa burundi ni kilometa 7 mbele.
Bas walipomaliza kukagua lile begi la jamaa yetu na kwa jinsi muonekano wetu ulivyokua na tulivyokua tumechoka kimuonekano...jamaa akaongea kwa kilugha tupelekwe kwa kamanda wao,ndani ya lile hema....pembeni mwa barabara.
Jamaa yetu akamweleza kua mm ni kiziwi na wao ni wakongomani ambao wanajishugulisha na biashara ndogo ndogo,na wanatoka huko maporini kuwauzia wanyarwanda na wabangubangu bidhaa.
Kamanda akawa anaingea nao kwa kilugha afu ananigeukia mimi.
Jamaa kumbe alikua anamwambia kua yule ni mdogo wangu ambae ni kiziwi na anaongozana na mimi katika biashara sababu ninamsaidia saidia baadhi ya mambo.
Kumbe kile kitendo cha jamaa kusema mimi ni kiziwi na ninajishugulisha.......kikamfanya yule kamanda anionee huruma...na jinsi nilivyokua na mavumbi na madai yetu ya kua tumenyanganywa hela na wanajeshi waasi vikamfanya atuonee huruma zaidi.Na tulimdanganya safari yetu inaishia Uvira.......ila akamkataza jamaa yangu kua nyakati nyingine asinibebe kwenda na mm maporini sababu ni hatari kweli,kweli kwa mtu mwenye mapungufu kama mimi.Ila wale asikari ni walevi balaa maana mda wote wapo tungi......hawazimi ila mtu aliyekunywa pombe kikawaida anajulikana....na wengine ni asikari watoto kabisa kimaumbo na kisura.Afu hawana maneno maneno mengi.....walikua watu wa kufuata amri za mkuu wao kila akipowaagiza.....pamoja na yote na ukarimu woote waliotuonyesha,jamaa zangu walisema kua......kama wangegundua tumebeba madini na tumewaficha basi hiyo ingekua habari nyingine kabisa maana majamaa ni makatili sana ukifunua upande wao wa pili.
Akamuuliza jamaa yetu.
KAMANDA: MMEKULA???
JAMAA YETU: HAPANA.
NDAGARA: HAPANA.
KAMANDA: TUTAWAPIKIA CHAKULA MLE NA MLALE HAPA,AFU KESHO MTAENDELEA NA SAFARI YENU.....AU TUTAWATAFUTIA USAFIRI WA MSAADA WA KUWAFIKISHA UVIRA.
NDAGARA: ASANTE SANA KAMANDA.
JAMAA YETU: ASANTE SANA KAMANDA.
*MAPUMZIKO NA FARDC
Basi wale wanajeshi wa FARDC wakatupeleka mpaka nyuma ya lile hema la kamanda wao,kulikua na vibanda vya nyasi.....tukakaa pale na kupumzika....!!!
*Ikumbukwe kua,kuna watu waliwapa tips kuhusu walanguzi wa madini ila kwa muonekano wetu,wala hawakutufikiria kabisa kua tunaweza kua sisi au watu wowote wanaopita njia hii ya porini.Na tuliwaambia kua tumeibiwa mzigo yetu na pesa na waasi,na ndio maana walituonea huruma sana
Ilipofika mida ya saa tisa ugali wa dona na dagaa walioungiwa mawese ukaletwa na vipande vikavu vya nguruwe pori.Pia tukapewa vipande vya matikikiti maji.
Tukala na tukapumzika pale chini kwenye viroba.......KUSEMA KWELI WALE WANAJESHI WALIKUA WAUNGWANA NA WALITUONEA HURUMA SANA......NA SISI TUKAJIFANYA WANYONGEE KUPITILIZA HASA MIMI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Tulilala pale mpaka asubuhi......na wale asikari wakatuaga na kutufungia mikate mikavu na ndizi na dumu letu walijaza maji na kutuasa tuwe waangalifu njiani,sababu ile njia ya karibu na mpaka wa Burundi ni mbaya kiusalama......tukaanza kuondoka kuelekea uelekeo wa kijiji cha IYENJE ambacho kipo ubavuni mwa karibia na mpakani mwa burundi......basi baada ya mda wa masaa manne jamaa yetu yule mwingine akajitokeza mbele yetu tena......na mabegi yake mgongoni......na akasema alikua anatufuatilia.Akawa anacheeka kila walipokua wanamuambia kua nilijifanya kiziwi tena siku nzima.
Huyu jamaa na mwenzake nilikuja kujua kua ni walinzi waliopewa tenda na wale jamaa wa machimboni,kua watulinde mpaka tutakaporudi Miduha salama
Tukashukuru Mungu tumevuka salama hicho kizingiti na safari yetu ikaendelea.....uelekeo wa mpakani na tulikua na makadirio kua kufikia jioni tutakua ndani ya mji wa Miduha nchini Burundi.
Na tutakaribishwa kwa madaha na vifijo na watu wetu tuliowaacha mjini Miduha,wakati sisi tulipoamua kijasiri kuvuka mpaka na kuingia DRC kwenda kuiona hiyo fursa.
ITAENDELEA......!!!!!
 
Akili ikanijia.....nikajisemea moyoni......kimoyo moyo*Sisi si tumepakwa dawa labda tutakua hatuonekani ngoja nipite moja kwa moja hata kama hawa wezangu wawili watasimama lakini nikakumbuka somo tulilopewa na nikawa mpole***

Kumbe kile kitendo cha jamaa kusema mimi ni kiziwi na ninajishugulisha.......kikamfanya yule kamanda anionee huruma...na jinsi nilivyokua na mavumbi na madai yetu ya kua tumenyanganywa hela na wanajeshi waasi vikamfanya atuonee huruma zaidi.Na tulmdanganya safari yetu inaishia Uvira.......ila akamkataza jamaa yangu kua nyakati nyingine asinibebe kwenda na mm maporini sababu ni hatari kweli,kweli kwa mtu mwenye mapungufu kama mimi.Ila wale asikari ni walevi balaa maana mda wote wapo tungi......hawazimi ila mtu aliyekunywa pombe kikawaida anajulikana....na wengine ni asikari watoto kabisa kimaumbo na kisura.Afu hawana maneno maneno mengi.....walikua watu wa kufuata amri za mkuu wao kila akipowaagiza.....pamoja na yote na ukarimu woote waliotuonyesha,jamaa zangu walisema kua......kama wangegundua tumebeba madini na tumewaficha basi hiyo ingekua habari nyingine kabisa maana majamaa ni makatili sana ukifunua upande wao wa pili.
Akamuuliza jamaa yetu.
KAMANDA: MMEKULA???
JAMAA YETU: HAPANA.
NDAGARA: HAPANA.
KAMANDA: TUTAWAPIKIA CHAKULA MLE NA MLALE HAPA,AFU KESHO MTAENDELEA NA SAFARI YENU.....AU TUTAWATAFUTIA USAFIRI WA MSAADA WA KUWAFIKISHA UVIRA.
NDAGARA: ASANTE SANA KAMANDA.
JAMAA YETU: ASANTE SANA KAMANDA.
*MAPUMZIKO NA FARDC
Basi wale wanajeshi wa FARDC wakatupeleka mpaka nyuma ya lile hema la kamanda wao,kulikua na vibanda vya nyasi.....tukakaa pale na kupumzika....!!!
*Ikumbukwe kua,kuna watu waliwapa tips kuhusu walanguzi wa madini ila kwa muonekano wetu,wala hawakutufikiria kabisa kua tunaweza kua sisi au watu wowote wanaopita njia hii ya porini.Na tuliwaambia kua tumeibiwa mzigo yetu na pesa na waasi,na ndio maana walituonea huruma sana
Ilipofika mida ya saa tisa ugali wa dona na dagaa walioungiwa mawese ukaletwa na vipande vikavu vya nguruwe pori.Pia tukapewa vipande vya matikikiti maji.
Tukala na tukapumzika pale chini kwenye viroba.......KUSEMA KWELI WALE WANAJESHI WALIKUA WAUNGWANA NA WALITUONEA HURUMA SANA......NA SISI TUKAJIFANYA WANYONGEE KUPITILIZA HASA MIMI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Tulilala pale mpaka asubuhi......na wale asikari wakatuaga na kutufungia mikate mikavu na ndizi na dumu letu walijaza maji na kutuasa tuwe waangalifu njiani,sababu ile njia ya karibu na mpaka wa Burundi ni mbaya kiusalama......tukaanza kuondoka kuelekea uelekeo wa kijiji cha IYENJE ambacho kipo ubavuni mwa karibia na mpakani mwa burundi......basi baada ya mda wa masaa manne jamaa yetu yule mwingine akajitokeza mbele yetu tena......na mabegi yake mgongoni......na akasema alikua anatufuatilia.Akawa anacheeka kila walipokua wanamuambia kua nilijifanya kiziwi tena siku nzima.
Huyu jamaa na mwenzake nilikuja kujua kua ni walinzi waliopewa tenda na wale jamaa wa machimboni,kua watulinde mpaka tutakaporudi Miduha salama
Tukashukuru Mungu tumevuka salama hicho kizingiti na safari yetu ikaendelea.....uelekeo wa mpakani na tulikua na makadirio kua kufikia jioni tutakua ndani ya mji wa Miduha nchini Burundi.
Na tutakaribishwa kwa madaha na vifijo na watu wetu tuliowaacha mjini Miduha,wakati sisi tulipoamua kijasiri kuvuka mpaka na kuingia DRC kwenda kuiona hiyo fursa.
ITAENDELEA......!!!!!
kagame siku uje ufanye survey kijiji cha sinai kipo mufindi kuna dhahabu nyingi kwa fununu ila wataalamu hakuna kuna milima miwili naifahamu haijaguswa ila kuna kitu siwezi kusema sana
 
INAENDELEA.............!!!!!
Bas kimoyomoyo nikawa nasema duuuh hii kutafuta hela itakuja kunitokea puani.Nikasurvey mazingira ya pale nikaona kua katika ile njia ya kuiendea road block yadi kama mia hv mbele yetu.......pande zote mbili za kushoto na kulia kuna vichaka vinene....na hata sisi tumetokea kwenye vichaka vile vile,na ile tu tunaingia barabarani ndio tunakutana na ile road block.
Nikawaangalia wale wanajeshi almost 34 ni kama wamelewa hv......na mkuu wao sikumuona kwa wakati ule maana alikua ndani ya hema.
Akili ikanijia.....nikajisemea moyoni......kimoyo moyo*Sisi si tumepakwa dawa labda tutakua hatuonekani ngoja nipite moja kwa moja hata kama hawa wenzangu wawili watasimama lakini nikakumbuka somo tulilopewa na nikawa mpole***
Ikumbukwe tulikua watu watatu tu.......baada ya jamaa yetu kujificha kule vichakani......na tulitakiwa tusigeuke nyuma kumtazama,ili tusivunje masharti ya madawa ya kienyeji waliyotupaka wenyeji wetu.
Mazingira ya ile road block yalikua hv.
1: Ni kizuizi cha mda....maana ile njia sio rasmi.
2: Ni kama sehemu inayotumika kuwanyanganya raia mali zao....kwa kisingizio cha kusaka waasi.
3: Ni kama kituo cha kulewa pombe maana asilimia 60% ya wale wanajeshi,kimuonekano tu walionekana kama wamelewa.
4: Kipo juu mlimani na sisi tulitokea chini....kwa sababu kijiji cha IYENJE kipo kwa juu mlimani....na ni kijiji maarufu tu,kati ya mji wa pembezoni mwa uelekeo wa mji wa Kitenge.
**NAJIFANYA KIZIWI TENA
Bas tukasogea taratibuu mpaka pale juu kilimani kwenye ile road block ambayo ilikua pale......road block yenyewe ni miti pembeni na katikati ni kamba.Jamaa yetu yupo mbele na begi lake afu nafuatia mimi na nyuma yupo Ndagara.
Askari mtoto aliyekuepo pale akazungumza kwa kilugha na jamaa yetu......afu jamaa yetu akawa anamjibu huku anatuangalia....na kutunyoshea vidole na kumpa utambulisho wetu.
Ndagara nae akawa anaulizwa maswali anajibu....ila mm hakuniuliza chochote sababu nadhani walimwambia jamaa kiziwi.
Baada ya maongezi kidogo,bas jamaa yetu akatua begi chini na wakaanza kumkagua.......wakati huo ndagara kanipa lile dumu la maji nilishike mimi.Nikawa nawaza moyoni huku nikitamani kucheka*Maisha bhana hawa majamaa hawajui tumebeba unga pure wa dhahabu almost karibia kilo moja kasoro na madini ya ruby pure ya blue*
Nikawa nawaza kama wakitaka kulikagua koti langu na koti la Ndagara basi hatuna budi lazima tuwaachie madini......nikakumbuka somo.
Maaskari walipomaliza kukagua lile begi....ikumbukwe hiyo ilikua saa nane kasoro mchana....siku ya tatu ya safari yetu .. na ilikua tukitoka hapo Iyenje.....mpaka wa burundi ni kilometa 7 mbele.
Bas walipomaliza kukagua lile begi la jamaa yetu na kwa jinsi muonekano wetu ulivyokua na tulivyokua tumechoka kimuonekano...jamaa akaongea kwa kilugha tupelekwe kwa kamanda wao,ndani ya lile hema....pembeni mwa barabara.
Jamaa yetu akamweleza kua mm ni kiziwi na wao ni wakongomani ambao wanajishugulisha na biashara ndogo ndogo,na wanatoka huko maporini kuwauzia wanyarwanda na wabangubangu bidhaa.
Kamanda akawa anaingea nao kwa kilugha afu ananigeukia mimi.
Jamaa kumbe alikua anamwambia kua yule ni mdogo wangu ambae ni kiziwi na anaongozana na mimi katika biashara sababu ninamsaidia saidia baadhi ya mambo.
Kumbe kile kitendo cha jamaa kusema mimi ni kiziwi na ninajishugulisha.......kikamfanya yule kamanda anionee huruma...na jinsi nilivyokua na mavumbi na madai yetu ya kua tumenyanganywa hela na wanajeshi waasi vikamfanya atuonee huruma zaidi.Na tulimdanganya safari yetu inaishia Uvira.......ila akamkataza jamaa yangu kua nyakati nyingine asinibebe kwenda na mm maporini sababu ni hatari kweli,kweli kwa mtu mwenye mapungufu kama mimi.Ila wale asikari ni walevi balaa maana mda wote wapo tungi......hawazimi ila mtu aliyekunywa pombe kikawaida anajulikana....na wengine ni asikari watoto kabisa kimaumbo na kisura.Afu hawana maneno maneno mengi.....walikua watu wa kufuata amri za mkuu wao kila akipowaagiza.....pamoja na yote na ukarimu woote waliotuonyesha,jamaa zangu walisema kua......kama wangegundua tumebeba madini na tumewaficha basi hiyo ingekua habari nyingine kabisa maana majamaa ni makatili sana ukifunua upande wao wa pili.
Akamuuliza jamaa yetu.
KAMANDA: MMEKULA???
JAMAA YETU: HAPANA.
NDAGARA: HAPANA.
KAMANDA: TUTAWAPIKIA CHAKULA MLE NA MLALE HAPA,AFU KESHO MTAENDELEA NA SAFARI YENU.....AU TUTAWATAFUTIA USAFIRI WA MSAADA WA KUWAFIKISHA UVIRA.
NDAGARA: ASANTE SANA KAMANDA.
JAMAA YETU: ASANTE SANA KAMANDA.
*MAPUMZIKO NA FARDC
Basi wale wanajeshi wa FARDC wakatupeleka mpaka nyuma ya lile hema la kamanda wao,kulikua na vibanda vya nyasi.....tukakaa pale na kupumzika....!!!
*Ikumbukwe kua,kuna watu waliwapa tips kuhusu walanguzi wa madini ila kwa muonekano wetu,wala hawakutufikiria kabisa kua tunaweza kua sisi au watu wowote wanaopita njia hii ya porini.Na tuliwaambia kua tumeibiwa mzigo yetu na pesa na waasi,na ndio maana walituonea huruma sana
Ilipofika mida ya saa tisa ugali wa dona na dagaa walioungiwa mawese ukaletwa na vipande vikavu vya nguruwe pori.Pia tukapewa vipande vya matikikiti maji.
Tukala na tukapumzika pale chini kwenye viroba.......KUSEMA KWELI WALE WANAJESHI WALIKUA WAUNGWANA NA WALITUONEA HURUMA SANA......NA SISI TUKAJIFANYA WANYONGEE KUPITILIZA HASA MIMI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Tulilala pale mpaka asubuhi......na wale asikari wakatuaga na kutufungia mikate mikavu na ndizi na dumu letu walijaza maji na kutuasa tuwe waangalifu njiani,sababu ile njia ya karibu na mpaka wa Burundi ni mbaya kiusalama......tukaanza kuondoka kuelekea uelekeo wa kijiji cha IYENJE ambacho kipo ubavuni mwa karibia na mpakani mwa burundi......basi baada ya mda wa masaa manne jamaa yetu yule mwingine akajitokeza mbele yetu tena......na mabegi yake mgongoni......na akasema alikua anatufuatilia.Akawa anacheeka kila walipokua wanamuambia kua nilijifanya kiziwi tena siku nzima.
Huyu jamaa na mwenzake nilikuja kujua kua ni walinzi waliopewa tenda na wale jamaa wa machimboni,kua watulinde mpaka tutakaporudi Miduha salama
Tukashukuru Mungu tumevuka salama hicho kizingiti na safari yetu ikaendelea.....uelekeo wa mpakani na tulikua na makadirio kua kufikia jioni tutakua ndani ya mji wa Miduha nchini Burundi.
Na tutakaribishwa kwa madaha na vifijo na watu wetu tuliowaacha mjini Miduha,wakati sisi tulipoamua kijasiri kuvuka mpaka na kuingia DRC kwenda kuiona hiyo fursa.
ITAENDELEA......!!!!!
Hili dude noma masela hili dude nomaaaaa
 
Iseee! Patel kama ndo wenyewe hao mbona ulichukua pesa ndogo sana. Hapa code inazingatiwa maaana kuna vitu nikiconnect balaa.
Nikapata mchongo unatofautiana kidogo sana na huo basi muhindi akaruka hewani anatafuta mtu wa kusafirisha madini kutoka congo mpk tz hapo kumbuka wajomba zangu kitambo wako kwenye hizo mishe na ndio walioniunganisha na muhindi na wao wako Congo, kiufupi nilienda kwa lori sikupata shida mpk wakati wa kurudi mzigo ninao naambiwa kuwa makini madini huwa yana harufu. Basi nikajibebisha kwa dereva aliekua anarudi bongo ili yangu yaende bwana eee kadri nilivyokua naisogelea bongo shetani ananimbia utajiri huo unao toroka..... Sikua na simu lakini kila mji nilikua na maelekezo yake na kumbe kuna mtu sikuwa najua kama ananifatilia kila steps! Nafika mpkaani nikapanda bus mpka dar ile kufika tu wazee hawa hapa nikatoa mzigo nikapewa changu kwa usalama wangu sikwenda hotel walinitafutia night club asubuhi nikarudi zangu kwangu na maokoto kusubiri madili mengine. Umenikumbusha moja ya harakati zangu...... Siku nikipata muda ntaongeza manjonjo na viuongo kuficha id yangu nielezee vizuri. jf kuna watu wengi
Ko dereva lazima aliterezesha
 
Back
Top Bottom