Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Ila usidanganye wadogo zako humu eti, umepitia njia ngumu kuwin kama anayosimulia kakako hapa, wewe ni umekwiba.
Hata kama nikiiba au niliiba sioni tatizo kikubwa nilimaliza matatizo yangu kwa wakati huo, halafu nilikoment baada ya kuwa nimehamasishwa na story ya mdogo wangu hapo juu maana kuna baadhi ya vitu alivyoandika navjiua na nilipita humo.
Hata ivo hio hata robo haifiki kwa niliyofanya ili mradi mkono uende kinywani, naanzaje kuwa malaika wakati toka niko darasa la nne sina muongozo, sina wazazi, ndugu hakuna anaejali? Huko kuiba ndio kumenifanya niepukane na umalaya pamoja na ukimwi.
 
Umeongea point mno sista
 
NAENDELEA.........!!!!!
Bas baada ya kuwasubiri wale wadau wetu pale kambini kwa mda mrefu....hatimae baada ya wiki tano walirejea kutoka huko porini kwao na madini mkononi.
Yale mawe yalikua ya blue blue hivi na mengine yalikua yamesagika kabisa unga unga.....hizi zilikua dhahabu,zimefungwa kwa ujazo wa kikubwa sana ni robo kilo.....vingine ni vifurushi vidogo vidogo vya ujazo wa kiberiti.....vyote vimefungwa kwenye mifuko ya nailoni.
Jamaa wakatuita pale kambini na kutuambia"'Baswahili mumeona madini"""....tukajibu ndio.
Wakasema hivyo vifurushi 17 vyenye ujazo wa kiberiti ni unga pure wa dhahabu.
Na hicho kifurushi kikubwa cha robo kilo ni unga pure wa dhahabu....na hayo mawe ya blue blue makubwa ni madini aina yake nimeisahau kidogo.....maana kwa kilugha chao walikua wanayaita YAMBE sijui kwa kiswahili tuite rubi.
Wakasema hii ni sample tu,ila kama tukifanya nao biashara vizuri basi watatuletea mzigo wa pure dhahabu hadi kilo hamsini,kama tukiwatafutia soko la uhakika.
Sasa hizo sample turudi nazo Burundi afu tuwaonyeshe wale wafanyabiashara wa kenya na watulipe kwa dola za kimarekani cash.
Kama ni wafanyabiashara wa uhakika basi biashara ianze mara moja na sisi ndio tutakua watu wa kati.
Huo mzigo waliotupa kama sample wakasema tukiwauzia basi asilimia 40% ni yetu afu asilimia inayobakia ni yao...!!!
Wakatuambia kua,wao madini wanayo ila tatizo soko na hawataki tena kufanya biashara na wanyarwanda na waganda sababu ni wadhulumati.
Jamaa wakasema watatusindikiza mpaka mpakani mwa Burundi afu tutaingia Burundi kwa njia za panya kama tulivyokuja.
Pale kambini tulikaa wiki tano na tulikua wenyeji ila cha ajabu wakati wa kuondoka,tuliondoka usiku wa manane tena kimya kimya bila kumuaga mtu.
Msafara wetu wa watu saba kama tulivyokuja pale kambini.
Sasa matatizo yalianzia wakati tunarudi.
MATATIZO NA VIKWAZO
1: Jeshi la serikali ya DRC liitwalo FARDC lilikua katika oparesheni za usalama katika hilo jimbo la Kivu kusini na lilikua linashirikiana na wanamgambo au waasi au makundi ya wahuni wenye silaha ambao wanaiunga mkono kinafiki serikali ya Kinshasa.
2: Waasi wa kinyarwanda na kikongomani ambao wanaipinga serikali walikua wanavamia makazi ya watu na kuiba na kuua watu...pia wanaziba barabara zoote ili kupora watu madini......kumbuka kule kila mtu anajichimbia madini.
3:Kuna watu walituchoma kwenye rada za FARDC hivyo tulikua tumewekewa mtego bila kujua ili watunyanganye yale madini tuliobeba.
4: Tulifananishwa na waasi wa MAKEMBA BUKENE ambao ni kweli wanaiba madini na kuwauzia Waganda na Wanyarwanda na hawalipi kodi serikalini......na pia hawaiungi mkono serikali ya kinshasa.
5:Lugha nayo ilikua tatizo.......tulikua tu tunaongea lugha rasmi ila sio za makabila ya kule.
Tuliongea KINGEREZA,KIFARANSA,KISWAHILI.
6:Hali ya hewa ya mvua pia ilikua kikwazo kikubwa kwetu kwa safari ya kurudi mpakani mwa Burundi.
7:Kutokupitia njia rasimi nacho kilikua kikwazo kikubwa sana maana mnakua mnazunguka na kukwepa kwepa watu porini mkihofia msikutane na asikari wa FARDC.
8:Uchovu wa kutembea usiku kucha nao kulikua kikwazo kikubwa kwetu wakati wa kurudi mpakani mwa Burundi,mimi na jamaa yangu NDAGARA.
9:Kikwazo kingine ni cha sisi......namaanisha mimi na Ndagara kutembea na kiasi kikubwa cha madini yenye thamani,ilikua inatufanya tuwe na kitete....katika safari yetu ya kurudi Burundi.
10:Kikwazo cha mwisho kilikua ni namna ambavyo wakati tunarudi tulikua tunasikia milio ya risasi kwenye ile milima ya waasi....tuliowakuta mwanzoni mwa safari wakati tunaenda wanapigana.
Sasa walikua wameanza kupigana tena....na hivyo mfumo wa wale jamaa zetu kuwategemea watusafishie njia nzima mpaka mpakani mwa Burundi ukafa.......maana miongoni mwao walikuepo wale mbilikimo wazee wa intelejinsia na kupeleleza hali ya usalama........hivyo tukawa na kikwazo cha kupata taarifa sahii kwa wakati kuhusu usalama wakati wa kurudi Burundi...!!!
Wale jamaa zetu mpaka tunaacha milima waliyokua wanaumiliki,walikua wanapigana wao kwa wao..........nadhani walikua wanagombania mashimo mapya ya kuchimba dhahabu.
SIJAWAHI KUONA WATU WANAOPENDA KUPIGANA KAMA WALE JAMAA,AFU WENGINE WAPO UCHI WA MNYAMA 🤣🤣 NA WENGINE VIFUA WAZI,WANAKATIKA NA KUIMBA NA KUCHEZA HUKU WANARUSHIANA RISASI 🤣🤣,AFU MULE PORINI BANGI INALIMWA NA WAASI WENYEWE NA MDA WOTE WANAVUTA BANGI,NA BANGI YA KULE NI KAMA YA MALAWI SABABU INALIMWA MILIMANI NA INASTAWI MNO SABABU YA HALI NZURI YA HEWA*********
Hivyo ndivyo vikwazo kumi tulivyokumbana navyo wakati wa kurudi mpakani Burundi.
SAFARI YA KURUDI BURUNDI
Tumetoka usiku tupo mdogo mdogo mpaka porini mbali kabisa na ile kambi ya wahutu wa FDLR na wala hatukumuaga mtu yoyote.....kumbuka kua mzigo yoote wamebeba jamaa,ila sisi tumebeba tu zile dhahabu na yale mawe kwenye makoti yetu.
Tulipofika katikati ya msitu kule porini,wakaongezeka watu kumi wenye silaha........wote walikua jamaa za wale wadhirika wetu na tukawa runapita pori kwa pori kuutafuta mpaka wa Burundi.
Ikumbukwe pia.....pale mpakani mwa Burundi na DRC kuna wanajeshi wa Burundi wanawasaka waasi wa kitusi wa Burundi wanaosumbuana nao daily........!!!!!
Sasa kabla hata hatujafika mpakani vikwazo vikaanza.
Kule porini kumbe kwa nyuma tukawa tunafuatiliwa na wanajeshi wa FARDC ili watukamate sababu wameshapata taarifa zetu.. ...na walikua wanadhani sisi ni waganda walanguzi wa madini.
Sasa bila kutegemea mara tunasikia risasi zinaanza kulia mfululizo"""Paaah paaah tuuuh ttuuuh""""" Jamaa zetu nao wakaanza kujibu na ilibidi sisi tukimbilie uelekeo mwingine na wale jamaa zetu wawili,na waliobakia wakakimbilia upande mwingine huku wanapiga risasi hewani kuwapoteza maboya wale asikari.
Kumbe tulipokimbilia ndio tunakimbilia upande walipo wale askari wa vikosi vya waasi vinavyoiunga mkono serikali kupambana na waasi wengineo.
Tukasikia""""""SIMAMA""""mnatoka wapi huku porini.......wanaongea kwa kilugha na wale jamaa zetu wawili wakawajibu kwa kilugha,kua sisi ni wachuuzi wa bidhaa ndogo ndogo.
Na kumbe mle ndani ya mabegi waliobeba jamaa zangu,kuna sabuni za unga,sabuni za kuogea,vipodozi vya kujichubua,dawa za meno na losheni za kikawaida.
Lakini madini tulikua tumeyaficha sisi ndani ya makoti.....!!!
Wakaongea na kilugha ila jamaa wakakomaa kua lazima watukague watu wote wanne...isije kua tuna silaha na sisi ni waasi wa Makemba bukene.
Uzuri wale jamaa zangu hawakubeba kabisa silaha.
Na pale wale asikari walikua wengi......zaidi ya 17...,..na wana silaha kamili kamili,ikabidi tuwe wapole...!!
Sasa wakaongea kilugha SOGEENI HAPA......mimi sikusogea nimesimama tu......ila Ndagara na wale majamaa wawili wakasogea.
Ikabidi wawaulize huyo jamaa vipi.....ndipo wakawajibu huyu ndugu yetu kiziwi hasikii kabisa.
Na mm akili ya haraka haraka ikanijia kuchwani,kwa sababu hapa ni lugha gongano wacha nijifanye kiziwi 🤣🤣
ITAENDELEA...........!!!!!!
 
Bado haujaiva kwenye maeneo haya
1. Utunzi ( utunzi wako ni mwepesi)
2. Uandishi ( bado hujajua kuchagua maneno mazuri kisha unacheka cheka sana. Nadhani ukitaka hii iwe kichekesho au ukidhani ndo watu watapenda.

3. Uhalisia ( bado ni story nyepesi ambayo mwandishi hujatumia akili kutunga umesikia tu kwa watu ukaunganisha unganisha matukio na kuifanya yako

USHAURI; JITAHIDI USIKATE TAMAA ILA ZINGATIA HAYO NLIYOKUAMBIA. PIA PUNGUZA KUCHEKA CHEKA au KUTAKA IWE KICHEKESHO WAKATI HAKUNA KINACHOCHEKESHA. NI UJINGA UJINGA TU.
Ujuaji wa kila jambo nayo ni matatizo ya akili
 
NAENDELEA.........!!!!!
Bas baada ya kuwasubiri wale wadau wetu pale kambini kwa mda mrefu....hatimae baada ya wiki tano walirejea kutoka huko porini kwao na madini mkononi.
Yale mawe yalikua ya blue blue hivi na mengine yalikua yamesagika kabisa unga unga.....hizi zilikua dhahabu,zimefungwa kwa ujazo wa kikubwa sana ni robo kilo.....vingine ni vifurushi vidogo vidogo vya ujazo wa kiberiti.....vyote vimefungwa kwenye mifuko ya nailoni.
Jamaa wakatuita pale kambini na kutuambia"'Baswahili mumeona madini"""....tukajibu ndio.
Wakasema hivyo vifurushi 17 vyenye ujazo wa kiberiti ni unga pure wa dhahabu.
Na hicho kifurushi kikubwa cha robo kilo ni unga pure wa dhahabu....na hayo mawe ya blue blue makubwa ni madini aina yake nimeisahau kidogo.....maana kwa kilugha chao walikua wanayaita YAMBE sijui kwa kiswahili tuite rubi.
Wakasema hii ni sample tu,ila kama tukifanya nao biashara vizuri basi watatuletea mzigo wa pure dhahabu hadi kilo hamsini,kama tukiwatafutia soko la uhakika.
Sasa hizo sample turudi nazo Burundi afu tuwaonyeshe wale wafanyabiashara wa kenya na watulipe kwa dola za kimarekani cash.
Kama ni wafanyabiashara wa uhakika basi biashara ianze mara moja na sisi ndio tutakua watu wa kati.
Huo mzigo waliotupa kama sample wakasema tukiwauzia basi asilimia 40% ni yetu afu asilimia inayobakia ni yao...!!!
Wakatuambia kua,wao madini wanato ila tatizo soko na hawataki tena kufanya biashara na wanyarwanda na waganda sababu ni wadhulumati.
Jamaa wakasema watatusindikiza mpaka mpakani mwa Burundi afu tutaingia Burundi kwa njia za panya kama tulivyokuja.
Pale kambini tulikaa wiki tano na tulikua wenyeji ila cha ajabu wakati wa kuondoka,tuliondoka usiku wa manane tena kimya kimya bila kumuaga mtu.
Msafara wetu wa watu saba kama tulivyokuja pale kambini.
Sasa matatizo yalianzia wakati tunarudi.
MATATIZO NA VIKWAZO
1: Jeshi la serikali ya DRC liitwalo FARDC lilikua katika oparesheni za usalama katika hilo jimbo la Kivu kusini na lilikua linashirikiana na wanamgambo au waasi au makundi ya wahuni wenye silaha ambao wanaiunga mkono kinafiki serikali ya Kinshasa.
2: Waasi wa kinyarwanda na kikongomani ambao wanaipinga serikali walikua wanavamia makazi ya watu na kuiba na kuua watu...pia wanaziba barabara zoote ili kupora watu madini......kumbuka kule kila mtu anajichimbia madini.
3:Kuna watu walituchoma kwenye rada za FARDC hivyo tulikua tumewekewa mtego bila kujua ili watunyanganye yale madini tuliobeba.
4: Tulifananishwa na waasi wa MAKEMBA BUKENE ambao ni kweli wanaiba madini na kuwauzia Waganda na Wanyarwanda na hawalipi kodi serikalini......na pia hawaiungi mkono serikali ya kinshasa.
5:Lugha nayo ilikua tatizo.......tulikua tu tunaongea lugha rasmi ila sio za makabila ya kule.
Tuliongea KINGEREZA,KIFARANSA,KISWAHILI.
6:Hali ya hewa ya mvua pia ilikua kikwazo kikubwa kwetu kwa safari ya kurudi mpakani mwa Burundi.
7:Kutokupitia njia rasimi nacho kilikua kikwazo kikubwa sana maana mnakua mnazunguka na kukwepa kwepa watu porini mkihofia msikutane na asikari wa FARDC.
8:Uchovu wa kutembea usiku kucha nao kulikua kikwazo kikubwa kwetu wakati wa kurudi mpakani mwa Burundi,mimi na jamaa yangu NDAGARA.
9:Kikwazo kingine ni cha sisi......namaanisha mimi na Ndagara kutembea na kiasi kikubwa cha madini yenye thamani,ilikua inatufanya tuwe na kitete....katika safari yetu ya kurudi Burundi.
10:Kikwazo cha mwisho kilikua ni namna ambavyo wakati tunarudi tulikua tunasikia milio ya risasi kwenye ile milima ya waasi....tuliowakuta mwanzoni mwa safari wakati tunaenda wanapigana.
Sasa walikua wameanza kupigana tena....na hivyo mfumo wa wale jamaa zetu kuwategemea watusafishie njia nzima mpaka mpakani mwa Burundi ukafa.......maana miongoni mwao walikuepo wale mbilikimo wazee wa intelejinsia na kupeleleza hali ya usalama........hivyo tukawa na kikwazo cha kupata taarifa sahii kwa wakati kuhusu usalama wakati wa kurudi Burundi...!!!
Wale jamaa zetu mpaka tunaacha milima waliyokua wanaumiliki,walikua wanapigana wao kwa wao..........nadhani walikua wanagombania mashimo mapya ya kuchimba dhahabu.
SIJAWAHI KUONA WATU WANAOPENDA KUPIGANA KAMA WALE JAMAA,AFU WENGINE WAPO UCHI WA MNYAMA 🤣🤣 NA WENGINE VIFUA WAZI,WANAKATIKA NA KUIMBA NA KUCHEZA HUKU WANARUSHIANA RISASI 🤣🤣,AFU MULE PORINI BANGI INALIMWA NA WAASI WENYEWE NA MDA WOTE WANAVUTA BANGI,NA BANGI YA KULE NI KAMA YA MALAWI SABABU INALIMWA MILIMANI NA INASTAWI MNO SABABU YA HALI NZURI YA HEWA*********
Hivyo ndivyo vikwazo kumi tulivyokumbana navyo wakati wa kurudi mpakani Burundi.
SAFARI YA KURUDI BURUNDI
Tumetoka usiku tupo mdogo mdogo mpaka porini mbali kabisa na ile kambi ya wahutu wa FDLR na wala hatukumuaga mtu yoyote.....kumbuka kua mzigo yoote wamebeba jamaa,ila sisi tumebeba tu zile dhahabu na yale mawe kwenye makoti yetu.
Tulipofika katikati ya msiru kule porini,wakaongezeka watu kumi wenye silaha........wote walikua jamaa za wale wadhirika wetu na tukawa runapita pori kwa pori kuutafuta mpaka wa Burundi.
Ikumbukwe pia.....pale mpakani mwa Burundi na DRC kuna wanajeshi wa Burundi wanawasaka waasi wa kitusi wa Burundi wanaosumbuana nao daily........!!!!!
Sasa kabla hata hatujafika mpakani vikwazo vikaanza.
Kule porini kumbe kwa nyuma tukawa tunafuatiliwa na wanajeshi wa FARDC ili watukamate sababu wameshapata taarifa zetu.. ...na walikua wanadhani sisi ni waganda walanguzi wa madini.
Sasa bila kutegemea mara tunasikia risasi zinaanza kulia mfululizo"""Paaah paaah tuuuh ttuuuh""""" Jamaa zetu nao wakaanza kujibu na ilibidi sisi tukimbilie uelekeo mwingine na wale jamaa zetu wawili,na waliobakia wakakimbilia upande mwingine huku wanapiga risasi hewani kuwapoteza maboya wale asikari.
Kumbe tulipokimbilia ndio tunakimbilia upande walipo wale askari wa vikosi vya waasi vinavyoiunga mkono serikali kupambana na waasi wengineo.
Tukasikia""""""SIMAMA""""mnatoka wapi huku porini.......wanaongea kwa kilugha na wale jamaa zetu wawili wakawajibu kwa kilugha,kua sisi ni wachuuzi wa bidhaa ndogo ndogo.
Na kumbe mle ndani ya mabegi waliobeba jamaa zangu,kuna sabuni za unga,sabuni za kuogea,vipodozi vya kujichubua,dawa za meno na losheni za kikawaida.
Lakini madini tulikua tumeyaficha sisi ndani ya makoti.....!!!
Wakaongea na kilugha ila jamaa wakakomaa kua lazima watukague watu wote wanne...isije kua tuna silaha na sisi ni waasi wa Makemba bukene.
Uzuri wale jamaa zangu hawakubeba kabisa silaha.
Na pale wale asikari walikua wengi......zaidi ya 17...,..na wana silaha kamili kamili,ikabidi tuwe wapole...!!
Sasa wakaongea kilugha SOGEENI HAPA......mimi sikusogea nimesimama tu......ila Ndagara na wale majamaa wawili wakasigea.
Ikabidi wawaulize huyo jamaa vipi.....ndipo wakawajibu huyu ndugu yetu kiziwi hasikii kabisa.
Na mm akili ya haraka haraka ikanijia kuchwani,kwa sababu hapa ni lugha gongano wacha nijifanye kiziwi 🤣🤣
ITAENDELEA...........!!!!!!
Nimecheka hapo wacha nijifanye kiziwi na hao majamaa wanapigana uchi huku wanakatika 🤣😂
 
Back
Top Bottom