raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 9,140
- 26,567
Hiyo ngalangala na hayo mazingira kweli dar imetoka mbaliMzee wa ku...like leo umekomenti😁😁😁

Hiyo UDA YA UBUNGO KKOO MKUUHiyo ngalangala na hayo mazingira kweli dar imetoka mbali
Sasa hivi kuna hadi pass overs kweli Ccm imeitoa nchi hii mbali 😄Hiyo UDA YA UBUNGO KKOO MKUU
Hii kubwa sana brother, wachache sana tunaokuelewa.EXTRA:
Kabla sijaendelea ningependa kidogo niwajuze kitu...Unajua watu hasa watoto wa mama hawaelewi baadhi ya vitu wanachukulia maisha poa hasa wakiwaona mabraza na madogo wa DOWNTOWN.
1:WEWE KAMA MPAKA LEO WAZAZI WAPO SHUKURU MUNGU
2:WEWE KAMA HUJAWAHI KUA TEJA SHUKURU MUNGU
3: WEWE KAMA HUJAWAHI KWENDA JELA SHUKURU MUNGU
4: WEWE KAMA HUJAWAHI KULALA NJAA SHUKURU MUNGU.
5: WEWE KAMA UNA AFYA NJEMA SHUKURU MUNGU.
6:WEWE KAMA UNA MKE MWELEWA SHUKURU MUNGU
7: WEWE KAMA UNA WATOTO SHUKURU MUNGU.
Watoto wa downtown hatukupenda kua wezi au majambazi au vibaka au matapeli...Hatukupenda kila siku kukinzana na vyombo vya sheria.hatukupenda kua wahalifu au makahaba au malaya na hatuna excuse yoyote ile.
Lakini maisha wewe yasikie kwa mwenzio omba yasikukute.
Hatukuzaliwa familia bora hivyo ilitubidi tupambane kuanzia kwenye kusoma mpaka kutafuta chaneli za kutoka.
Hatukutokea familia zenye uwezo au wazazi wetu kua na ajira rasmi....tulitokea maisha ya watu wa daraja la chini.
UNAJUA KWANINI????
1: TULIUZA NGADA.
2: TULIUZA SIGARA PORI.
3: TULIKUA MARIOO.
4: DADA ZETU KUA MAESCORT NA MAKAHABA NA MAPROSTUTE UGHAIBUNI.
5: WADOGO ZETU KUKATAA SHULE ILI KUSAKA MAHELA WAKITUIGA SISI.
6:WAZAZI WETU KUTUKOMAZA KABLA YA WAKATI.
7: NA WALIMU WETU WA SEKONDARI KUTUSUSA TUJIFUNDISHE WENYEWE NA TULIFAULU KIBISHI.
Maisha wakuu na yalitufanya tupambane na ni Mungu tu ndio ametuweka hai mpaka leo""TULIKUA WADOGO NA TULIHITAJI UPENDO NA UANGALIZI ILA JAMII ILITUTENGA MABRAZA WAKACHUKUA JUKUMU LA KUTULEA KIMTAA MPAKA TUNAKOMAA NA MAISHA.
HAKUNA KIONGOZI WA SERIKALI KUANZIA NGAZI YA KITAIFA MPAKA MTAA ALIYEWAHI KUTUPA SAPOTI YA VITENDO ZAIDI YA MANENO......NI MUNGU TU ALITUONEA HURUMA.
1: TUSHAKABA.
2:TUSHADHULUMU.
3:TUSHATAPELI.
4:TUSHANUSURIKA KUFA ILA HATUKUWAHI KUTAKA KUUA SABABU YA PESA""DAMU NZITO.
5:TULITOKA MBALI MPAKA HUKO MBALI HATUPAKUMBUKI TENA.
6: TUSHAJIKANA UTU WETU KATIKA HARAKATI KWA KUWEKA REHANI ROHO KWA DILI HATARI ZA KWENYE BLACK MARKET'S WORLDWIDE.
7:TUSHAPOTEZA HISIA ZA KUKASIRIKA AU KUSUSA AU KUNYONGONYEA.
Mtaani unaamka asubuhi baba anakuangalia na mama anakuangalia na wadogo zako wanakutazama.,....utafanyaje na umetokea maisha ya tabaka la chini????
THAT'S WHY WE BECOME FIRST DOPE NIGGA,S IN (EA) ENZI HIZO ZA MID 1980,S AND 1990,S...!!USIPOTOKA MAISHA YANAKUTOKEA WEWE
Mabraza walitufundisha roho ngumu.....ya kwamba dili halali fanyia mwangani na haramu fanyia gizani....Hata ulaya tulikataa kwenda bila mipango maana tulikua na ndoto kubwa kuliko uhalisia wenyewe...!!!
Kutokana na ndoto kubwa kuliko uhalisia kitaani tuliwapoteza hawa wana.....maisha ni kujaribu bahati nasibu ni kama kamari...kuna kula au uliwe...!!
RIP : NGUZO YOSSO A.K.A BOSS
RIP : ORIGINAL MUBANDA A.K.A NYERERE
RIP : JEBBY YOSSO A.K.A MTIKILA
RIP : MEDDY YOSSO A.K.A MTEMVU
RIP : MUNDENDE YOSSO A.K.A SOKOINE
RIP : KITWANA YOSSO A.K.A SALMINI
RIP : AFIZI YOSSO A.K.A KARUME
RIP : KIPEPE YOSSO A.K.A MALICHELA
RIP :MALI YA MUNGU A.K.A KAMBONA.
Watoto wa downtown tulipambana wenyewe hatukupambaniwa na hata nyumba za urithi hatukuhesabiwa sababu koo zetu za kiafrika tunazijua wenyewe.
Tofauti na sasa enzi hizo pamoja na tofauti zetu ugomvi kuibiana na kudhulumiana ila mwisho wa siku tulipeana chaneli.....za aina zote na kizazi chetu kilikua mfano wa kuigwa.. !!!Unajua watu wengi waga wanachukulia watoto wa downtown kama watoto wa kishua ila asilimia 80% ni watoto wa watanzania wenye kipato cha chini.Hivyo ukiona watoto wa downtown wamefanikiwa waheshimu""WAMEPAMBANA""
KATI YETU KUNA WALIOPO JELA MPAKA LEO KAMA AKINA...!!!
MUBABA 27yrs.....anatoka 2032
NONDO Life sentence
KIBAKULI SR Life sentence
BAKULE 17 years,,,anatoka 2026
Y2K 9 years anatoka mwaka huu 2024.....Hao wote wapo jela za ughaibuni na kuna wengine walishatoka kama akina
LUNYAMILA alikaa jela miaka 9
MEJA alikaa jela miaka 6
SHOKISHUGI alikaa jela miaka 4....na wengine weengi nimeshawasahau...wote walipata majanga katika kutafuta maisha
Maisha yanaenda kwa kasi na uzee unakuja ila kumbukumbu ni kama jana tu......enzi hizo watu wachache downtown....leo hii downtown pekee watu karibia laki nne wanaingia na kutoka city center kila baada ya masaa mawili.
Kwahiyo ukiona wazee wa downtown wana maisha yao basi wape heshima....mjini bila akili ya kiroho na kimwili hauwezi kufanikiwa kwa lolote na chochote.
MWISHO WA EXTRA
TUTAENDELEA NA SIMULIZI.....!!!
Soda ya fahari nakumbuka ilikuwa ina ladha fulani hivi nzuri sana sijui ilikuwa kampuni gani ileSoda ya fahari nimekunywa, umenikumbusha rafiki wa dada yangu anaitwa sesi dada mmoja kwao ilikua mwenge mlalakua! Alizamia na hatukusikia tena habari zake mpka leo na aliemfanyia na kumpa ramani zote ni mmoja wapo hao kina yosso.
huu utoto peleka Facebook.sawa mkuu ila kuna mwamba kanitus sana sijapenda,, nimeahid lazima nimtafute nimvalie condom hawez kuninanga vile yaan anasahau kama mimi popobawa kwakwer toka niwe popobawa sijawah kudharauliwa na binadamu kama alivyo nidharau kale kajamaa we ngoja mbona katanogaaa, kanajua wote binadamu kanasahau huu mtandao tunautumia viumbe wengi oya maxmelo., niongeze cheo hiyi expert members wadau wananidharau,, sasa turud kwenye hoja huyu mtoa mada nimemwelewa na kinachokuboa wewe ni kuweka story ndefu na amaliz ila kwa niaba ya vichaa wote tunaotoka muhimbili namwombea kwa vichaa wenzangu kama wewe, na chizi maarifa tumsamehe mana anasimulia kwa uchungu,, ila yule mwamba alie nitus mwambien namnunulia redbull, baadae namtembelea

Dah hii ni Extra Miles Bruh ... Nimewakumbuka ma bro wa TMK, tembea Tandika yote ile tena shuka mpaka Yombo huko Relini, Mnanda daily Mtaani tena hapo Mateja KibaooooEXTRA:
Kabla sijaendelea ningependa kidogo niwajuze kitu...Unajua watu hasa watoto wa mama hawaelewi baadhi ya vitu wanachukulia maisha poa hasa wakiwaona mabraza na madogo wa DOWNTOWN.
1:WEWE KAMA MPAKA LEO WAZAZI WAPO SHUKURU MUNGU
2:WEWE KAMA HUJAWAHI KUA TEJA SHUKURU MUNGU
3: WEWE KAMA HUJAWAHI KWENDA JELA SHUKURU MUNGU
4: WEWE KAMA HUJAWAHI KULALA NJAA SHUKURU MUNGU.
5: WEWE KAMA UNA AFYA NJEMA SHUKURU MUNGU.
6:WEWE KAMA UNA MKE MWELEWA SHUKURU MUNGU
7: WEWE KAMA UNA WATOTO SHUKURU MUNGU.
Watoto wa downtown hatukupenda kua wezi au majambazi au vibaka au matapeli...Hatukupenda kila siku kukinzana na vyombo vya sheria.hatukupenda kua wahalifu au makahaba au malaya na hatuna excuse yoyote ile.
Lakini maisha wewe yasikie kwa mwenzio omba yasikukute.
Hatukuzaliwa familia bora hivyo ilitubidi tupambane kuanzia kwenye kusoma mpaka kutafuta chaneli za kutoka.
Hatukutokea familia zenye uwezo au wazazi wetu kua na ajira rasmi....tulitokea maisha ya watu wa daraja la chini.
UNAJUA KWANINI????
1: TULIUZA NGADA.
2: TULIUZA SIGARA PORI.
3: TULIKUA MARIOO.
4: DADA ZETU KUA MAESCORT NA MAKAHABA NA MAPROSTUTE UGHAIBUNI.
5: WADOGO ZETU KUKATAA SHULE ILI KUSAKA MAHELA WAKITUIGA SISI.
6:WAZAZI WETU KUTUKOMAZA KABLA YA WAKATI.
7: NA WALIMU WETU WA SEKONDARI KUTUSUSA TUJIFUNDISHE WENYEWE NA TULIFAULU KIBISHI.
Maisha wakuu na yalitufanya tupambane na ni Mungu tu ndio ametuweka hai mpaka leo""TULIKUA WADOGO NA TULIHITAJI UPENDO NA UANGALIZI ILA JAMII ILITUTENGA MABRAZA WAKACHUKUA JUKUMU LA KUTULEA KIMTAA MPAKA TUNAKOMAA NA MAISHA.
HAKUNA KIONGOZI WA SERIKALI KUANZIA NGAZI YA KITAIFA MPAKA MTAA ALIYEWAHI KUTUPA SAPOTI YA VITENDO ZAIDI YA MANENO......NI MUNGU TU ALITUONEA HURUMA.
1: TUSHAKABA.
2:TUSHADHULUMU.
3:TUSHATAPELI.
4:TUSHANUSURIKA KUFA ILA HATUKUWAHI KUTAKA KUUA SABABU YA PESA""DAMU NZITO.
5:TULITOKA MBALI MPAKA HUKO MBALI HATUPAKUMBUKI TENA.
6: TUSHAJIKANA UTU WETU KATIKA HARAKATI KWA KUWEKA REHANI ROHO KWA DILI HATARI ZA KWENYE BLACK MARKET'S WORLDWIDE.
7:TUSHAPOTEZA HISIA ZA KUKASIRIKA AU KUSUSA AU KUNYONGONYEA.
Mtaani unaamka asubuhi baba anakuangalia na mama anakuangalia na wadogo zako wanakutazama.,....utafanyaje na umetokea maisha ya tabaka la chini????
THAT'S WHY WE BECOME FIRST DOPE NIGGA,S IN (EA) ENZI HIZO ZA MID 1980,S AND 1990,S...!!USIPOTOKA MAISHA YANAKUTOKEA WEWE
Mabraza walitufundisha roho ngumu.....ya kwamba dili halali fanyia mwangani na haramu fanyia gizani....Hata ulaya tulikataa kwenda bila mipango maana tulikua na ndoto kubwa kuliko uhalisia wenyewe...!!!
Kutokana na ndoto kubwa kuliko uhalisia kitaani tuliwapoteza hawa wana.....maisha ni kujaribu bahati nasibu ni kama kamari...kuna kula au uliwe...!!
RIP : NGUZO YOSSO A.K.A BOSS
RIP : ORIGINAL MUBANDA A.K.A NYERERE
RIP : JEBBY YOSSO A.K.A MTIKILA
RIP : MEDDY YOSSO A.K.A MTEMVU
RIP : MUNDENDE YOSSO A.K.A SOKOINE
RIP : KITWANA YOSSO A.K.A SALMINI
RIP : AFIZI YOSSO A.K.A KARUME
RIP : KIPEPE YOSSO A.K.A MALICHELA
RIP :MALI YA MUNGU A.K.A KAMBONA.
Watoto wa downtown tulipambana wenyewe hatukupambaniwa na hata nyumba za urithi hatukuhesabiwa sababu koo zetu za kiafrika tunazijua wenyewe.
Tofauti na sasa enzi hizo pamoja na tofauti zetu ugomvi kuibiana na kudhulumiana ila mwisho wa siku tulipeana chaneli.....za aina zote na kizazi chetu kilikua mfano wa kuigwa.. !!!Unajua watu wengi waga wanachukulia watoto wa downtown kama watoto wa kishua ila asilimia 80% ni watoto wa watanzania wenye kipato cha chini.Hivyo ukiona watoto wa downtown wamefanikiwa waheshimu""WAMEPAMBANA""
KATI YETU KUNA WALIOPO JELA MPAKA LEO KAMA AKINA...!!!
MUBABA 27yrs.....anatoka 2032
NONDO Life sentence
KIBAKULI SR Life sentence
BAKULE 17 years,,,anatoka 2026
Y2K 9 years anatoka mwaka huu 2024.....Hao wote wapo jela za ughaibuni na kuna wengine walishatoka kama akina
LUNYAMILA alikaa jela miaka 9
MEJA alikaa jela miaka 6
SHOKISHUGI alikaa jela miaka 4....na wengine weengi nimeshawasahau...wote walipata majanga katika kutafuta maisha
Maisha yanaenda kwa kasi na uzee unakuja ila kumbukumbu ni kama jana tu......enzi hizo watu wachache downtown....leo hii downtown pekee watu karibia laki nne wanaingia na kutoka city center kila baada ya masaa mawili.
Kwahiyo ukiona wazee wa downtown wana maisha yao basi wape heshima....mjini bila akili ya kiroho na kimwili hauwezi kufanikiwa kwa lolote na chochote.
MWISHO WA EXTRA
TUTAENDELEA NA SIMULIZI.....!!!
Dah kitambo kile keep in resting bro Afizi yosso , MUBABA we always pray for you na tunakusubiri kitaa .EXTRA:

Kampuni sijui nakumbuka jina la soda tuSoda ya fahari nakumbuka ilikuwa ina ladha fulani hivi nzuri sana sijui ilikuwa kampuni gani ile
Yeah mkuu singida hiyoKweli life noma Yaani ulifika mpaka kaselya kwa kujificha tu...
Blood unatisha winga kichiziNAENDELEA........!!!!
Nilikua kimya kidogo sababu nilikua kwa wabangubangu huko nafuatilia dili flani afu tukadakwa na masoja wahuni waliopinda balaa wa FARDC katika road block ya barabarani kati ya mji wa Lellwa na Kamombo wakitudhania sisi ni wahalifu tunawauzia silaha banyamulenge,silaha za kutokea Uganda au tunanunua madini ya vikundi vya waasi na kuyavusha ziwa Tanganyika mpaka Burundi.
Ikabidi tukae ngomeni.......mpaka pale wadau walipokuja kututolea dhamana
NAPOMAANISHA DHAMANA NI KWAMBA WADAU WALIVAMIA NGOME NA KUZICHAPA MCHANA KWEUPE WAKIDAI WANAWATAKA WASWAHILI WAO ESPECIALLY MIMI WALIEKUA WANANIITA KALULU MTOTO YA ZANZBAR NA LILIKUA SHAMBULIZI LA SUPRISE SO IKABIDI TUACHIWE HURU MAANA MASOJA WALIKIMBIA NA KUTELEKEZA KAMBI AMBAYO ILIKUA KAMA KITUO KIDOGO CHA KUKAGULIA MAGARI BARABARANI KATI YA MJI WA LWELLA NA KAMOMBO BASI WADAU WAKATUTOA KINGUVU SISI NA WASHIRIKA WAO WENGINE WALIOKAMATWA KIPINDI HICHO*
Ila wale manjagu wahuni wa FARDC walitupukutisha mzigo wote wa mawe tuliopewa kuupeleka BURUNDI kimagendo kwa kuuvusha ziwani....na mpaka mda huu nipo na ugomvi na MWANANGU NDAGARA....maana alidai mm nina roho nyepesi sana ndio maana wale wanoko wa FARDC wamechukua mawe yetu......SASA NIPO SEHEMU SALAMA NIMETULIA ngoja niwape story kidogo...!!!
Kuna braza wetu mmoja wa kuitwa. ""NDAGARA""" yeye amezaliwa katika mji mmoja wa mpakani mwa DRC na Burundi ambao unaitwa MIDUHA....anaishi Nairobi alikuja masikani na dili la kuchukua mawe kinyemela kutoka DRC na kuyavusha Burundi....afu baada ya hapo""YANAUZIKA BILA KUKATWA KODI""".
Braza akasema ni issue ya wiki tatu tu tunamaliza kila kitu....mchawi pesa ya mtaji tu...
Akasema ameshawapanga watu wake Burundi na DRC na mizigo wanayo.....kwahiyo ni sisi tu...twende MIDUHA au tumtumie hela amalize kila kitu.......TUKAPIGIANA HESABU ZINAHITAJIKA MILIONI 60 ZA KIBONGO.....KWA KUANZIA AMBAZO ZITAZAA MILIONI 314 KAMA MZIGO UKIVUSHWA SALAMA BURUNDI......!!!
Kama mnavyojua ndugu yenu napenda hela.....afu hapa nilipo nimepigika na mwaka ndio unaanza.....nikaona hii fursa ngoja nichungulie........
Kama kweli unaweka milioni 60 na unapata 314 ndani ya wiki tatu.....basi mchawi mtaji...ngoja mtaji utafutwe hata kwa kukopa.
Hapa town sisi watoto wa mjini hatuna hela.....ila hela ya kula sio issue na hela za kukopa sio issue wala kupata asset za kuweka bondi sio issue"""""MAANA TUNAAMINIKA""".
Unajua TANZANIA kuna watu wana hela ila kama hawakujui hawawezi kukukopesha sababu pesa nyingi zinapitia mlango wa nyuma kuingia mifukoni mwa watu....
Safari hii nikawacheki wahindi mabraza zangu wa migodini huko kwa wasukuma""BIG UP BRAZA PATEL""" ....nikampa mchongo wanikope hela afu bondi nawaachia gari na trekta la kulimia vikae yadi mpaka hela itakapoanza kurudi.
Tukahesabiana siku 60 bila riba
WANA FAMILIA HATUTOZANI RIBA
Hela ikapatikana ikawekwa kibindoni sehemu salama ambayo mimi niliyekopwa na mkopeshaji tunaijua afu ndio nikakaa mezani kusikiliza hilo dili.....maana lilivutia.
NDAGARA: Mpango upo hivi...ni kwamba kule DRC hasa maeneo ya KIVU KUSINI hasa miji ya LUBENGA,KASABA,MALUNGU,KAHOLOLO, KILEMBWE NA TULAMBO....kuna mawe ya kumwaga ni sisi kununua tu na kuyavushia ITARA au KAKAMBA na kuyauzia MIDUHA kwa wadau wa kununua mawe.....kila kitu kipo under control.....na biashara ikiwa nzuri tutahamishia makazi BUJUMBURA kwa mda ili tupige hela..!!!
MIMI: Mkuu hii dili unachosema nakuelewa ila sasa kuna risk kubwa...afu mtaji wakuanzia milioni 60 tena za kukopa ni mdogo mno,......afu hapo hatujaweka gharama za usafiri na mambo mengine ya kibiashara...
MIMI: Kwanini tusijipe wiki mbili twende kigoma afu tuvuke ziwa tuingie burundi then tufuatilie soko sisi wenyewe kwa kutazama na sio kuambiwa.....MAANA MANENO YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO.
NDAGARA: Dogo sikia unachosema mimi nakuelewa.....wewe tafuta milioni sitini ya mtaji wako na mimi nina pesa ya mtaji wangu milioni sitini.
Hatutoingia kwenye biashara mpaka tufanye uchunguzi....ili tuone maneno niliyoambiwa ni kweli....
Gharama za kwenda safari yetu ya kuchunguza nadhani itatugharimu milioni mbili za kitanzania kila mmoja......sababu kule Burundi mimi ni nyumbani....na nina wadau wengi kwahiyo kwa kule gharama hazitokuwepo.
*NDAGARA ALIPOSEMA WADAU ALIMAANISHA WAASI WA MSITUNI KULE KONGO AMBAO WANATAFUTA MASOKO MAZURI YA KUUZIA MADINI YAO....SABABU HAWATAKI KUWAUZIA WANYARWANDA NA WAGANDA WAKIDAI WANAWAPUNJA MGAO
NDAGARA alinificha mengi ili nimpe kampani ila niliyajua nilipofika BURUNDI na kukutana na wazee wa kazi.....!!!!
Kesho yake asubuhi
Ndagara katoka Nairobi kaja dar afu tukakaa chini na kupangiana mipango ya kwenda kuchungulia fursa na ikiwa nzuri tunajitosa hivyo hivyo kila mtu na mtaji wa kukopa....
Mimi nikamcheki braza PATEL na kumwambia zile siku 60 asizihesabu maana bado sijaanza hiyo biashara rasmi,na kama ni biashara ya uhakika nitamuingiza na yeye aongeze mtaji.....ngoja nikaichungulie kwanza.....na katika zile milioni 60....tutoe milioni mbili za safari afu zingine akae nazo kwanza mpaka mimi nikiona biashara ipoje ndio nimwambie.
Na zile bondi zangu arudishie wadau wangu wakae nazo zisikae yard tena,sababu biashara bado kuanza.
Mimi naingia kigoma mara moja....kisha navuka ziwa naingia Burundi kibishi kuchungulia fursa na kukutana na wadau wa huko.
Jamaa yangu Ndagara kanihakikishia hao wadau wana mizigo ya kutosha ila tatizo ni wanunuzi tu wa kimagendo wa kuaminika na wao.
Fasta nikakamata gari mpaka kahama....pale kahama nikakamata gari mpaka Nyakanazi.....pale Nyakanazi nikakamata gari mpaka Kakonko......Kibondo........Kasulu....rhen nipo town Kigoma ....mji wenye kumbukumbu nyingi na mimi since 1996............!!!
Ndagara tunakutana Kigoma mjini mitaa ya Mwanga afu tunakaa chini kupanga mpango kazi wa kukutana na wadau wenye mzigo....na namna ya kuvuka ziwa kimya kimya mpaka upande wa Burundi.....either tushukie mji wa KABEZI au GITAZA .....kule juu Bujumbura wachawi wengi ni noma!!!!
KUMBUKA SIKUJUA WADAU KAMA NI WABABE WA VITA HUKO DRC WATU WALIOPINDA BALAA*
Kaa chonjo nije nikupe kilichoendelea huko maana vita wewe visikie tu ila usiombe vikukute....!!!
ITAENDELEA................!!!!
Nipo cuzin.....Nilikua nimedakwa na wabangubangu 🤣🤣
Pole sana aiseeNipo cuzin.....Nilikua nimedakwa na wabangubangu