Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,088
Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !!
Piga sana karanga mbichi, piga sana mtingi, kunywa sana mchuzi wa pweza lakini wapi.
Vijana muweni makini, hali ya sasa inakulazimu uwe na ushahidi kabla hujaoa
Piga sana karanga mbichi, piga sana mtingi, kunywa sana mchuzi wa pweza lakini wapi.
Vijana muweni makini, hali ya sasa inakulazimu uwe na ushahidi kabla hujaoa