Mabinti wengi wanaomeza p2 ukiwaoa bila kuwatia mimba mnaweza kuzeeka bila watoto, kwa zama hizi ukioa bila kuthibitisha imekula kwako

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !!

Piga sana karanga mbichi, piga sana mtingi, kunywa sana mchuzi wa pweza lakini wapi.

Vijana muweni makini, hali ya sasa inakulazimu uwe na ushahidi kabla hujaoa
 
nawaonea huruma sana kwa wagonjwa wa nguvu za kijinsia....

nawaombea sana Kwa Mungu uponyaji wa madhara yanayosababishwa na natumizi holela ya vidhibiti mimba baada ya kupata tamaa ya kunyanduana na watu amabao hawana mipango nao kimaisha...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !!

Piga sana karanga mbichi, piga sana mtingi, kunywa sana mchuzi wa pweza lakini wapi.

Vijana muweni makini, hali ya sasa inakulazimu uwe na ushahidi kabla hujaoa
Vipi kuhusu vijana wenye gono na kaswende sugu maana nao hamna kitu
 
Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !!

Piga sana karanga mbichi, piga sana mtingi, kunywa sana mchuzi wa pweza lakini wapi.

Vijana muweni makini, hali ya sasa inakulazimu uwe na ushahidi kabla hujaoa
Hahahahaha..ukimkimbia anakua single maza huyo
 
Back
Top Bottom