Mabinti wadogo maziwa "kudondoka" mapema: What has gone wrong?

swala si kuwaonaje, nadhani swala ni umejuaje kuwa yamelala au yamesimama?? hili swala ni la kifalsafa zaidi, hivi kama ulimchungulia wakati anaokota kitu chini jamani si lazima yataonekana tu? But kujua kwamba yamesimama au yamelegea, kwangu mimi naona ni hado uyaguse, na kama uliyagusa, basi utueleze ulikuwa unatafuta nini huko kwenye vifua vya watoto wetu? Wewe hukuyaona bali naamini uliyatomasa na ndipo uka-prove ulichokiandika, kwamba hili limelegea na hili limesimama, ndipo ukafanya comparison ya umri kwamba mbona nilipomtomasa huyu wa miaka 14 mbona yalikuwa hivi na nilipomtomasa huyu nae yalikuwa hivi???

Mpwa, utafiti wako nautilia mashaka sawa na ule wa redet na mwenzie sina-nyeti sorry ni synovate
mtoa mada ni daktari kitengo cha saratani ya matiti pale Ocean Road ndio maana uwa anayagusa na kujua ni saa ngapi
 
BTHW-mimi isingekuwa mambo ya cancer na chinese tabs ningewashangilia wanaokwenda na '' double line ":sick:
 
Kweli lakini, mbona hamuulizi pia kuwa siku hizi wanaume wanapoteza 'chaji' mapema kuliko zamani? Yaani kuna watu kibao hawajafika hata 40 lakini mitarimbo ishakuwa doro, chaji kiduuchu, ikiwa 'on' kwa dakika 10 tu anahitaji mapumziko ya siku 2 ndipo chaji ijae tena! Na hii ndio chanzo cha kuwepo waganga kibao wanaotangaza dawa za 'kurejesha heshima', kuna magazeti fulani yanatoa hadi kurasa 2 nzima za katikati kwa ajili ya matangazo hayo tu!
 
Vyakula tunavyokula siku hizi vinachangiaq sana kupunguza nguvu na maumbile
 
Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?

Tafiti zinaonesha kuwa watoto wanabalehe/vunja ungo mapema zaidi katika nyakati za sasa. Kuna utafiti umewahi kufanywa na Chuo Kikuu Cha Bristol kuhusu hili. Katika sample yao ya watoto 14,000 waligundua kuwa mtoto mmoja katika kila sita, anavunja ungo akiwa na umri wa miaka nane. Miaka 40 iliyopita ratio ilikuwa mtoto mmoja tu kati ya 100 ndio anavunja ungo akiwa na miaka nane. Hii sio kwa wasichana tu, hata wavulana sasa wanabalehe mapema zaidi kuliko zamani. Mmoja kati ya watoto wa kiume kumi na nne anabalehe akiwa na miaka nane wakati miaka 40 iliyopita ilikuwa ni mmoja kati ya 150!

Kuna sababu kadhaa zinazochangia kubalehe/vunja ungo mapema: vyakula (vinavyoongeza uzito/fat), okosefu wa mazoezi, msongo wa mawazo na kemikali katika vyakula (kama kuku wa 'kisasa'!)

Naturally, matiti ni lazima 'yaanguke' kadri umri unavyokwenda. Ili tuweze kusema kwa uhakika kwamba yameanguka mapema au la, nadhani ni muhimu kujua yaliota lini. Sina uhakika inachukuwa muda gani kwa matiti 'kuanguka' tokea pale yalipoanza 'kuota' (if we isolate other contributing factors, tukaacha hiyo ya muda/umri pekee). Kama muda huu wa matiti kubakia yamesimama ni constant, then kama watoto wanavunja ungo mapema (ikiwa pamoja na kuota matiti mapema) tutegemee pia matiti hayo kuanguka wakati bado watoto hawa wakiwa wadogo.
 
Kweli lakini, mbona hamuulizi pia kuwa siku hizi wanaume wanapoteza 'chaji' mapema kuliko zamani? Yaani kuna watu kibao hawajafika hata 40 lakini mitarimbo ishakuwa doro, chaji kiduuchu, ikiwa 'on' kwa dakika 10 tu anahitaji mapumziko ya siku 2 ndipo chaji ijae tena! Na hii ndio chanzo cha kuwepo waganga kibao wanaotangaza dawa za 'kurejesha heshima', kuna magazeti fulani yanatoa hadi kurasa 2 nzima za katikati kwa ajili ya matangazo hayo tu!
hili nalo neno!!!
 
Msiwatetee hawa mabinti wanaanza ngono mapema tena na wazima kwa kohongwa magari,simu etc
Tena wameenda mbali zaidi kwa kugawa mpaka TIGO ili wapate dau kubwa.
Ivi nowdays kuna mtu amewai oa demu bikira?
 
Mi nadhan tatizo lipo kwenye MODERNIZATION. Mchicha unachukua siku chache, nyanya nazo mbio mbio toka kupandwa mpaka kuliwa! Kuku na mayai ya kisasa navyo vinachangia sana KUSHURUTISHA mfumo wa UKUAJI. SIMULIZI kali za mapenzi, TELEVISION, MIKANDA ya MAIGIZO ya kimahaba navyo huwakuza mabinti KIFIKRA kwa kuwapa MENTAL IMAGES, na mwisho wa siku wanaanza kupata NDOTO NYEVU ambazo hatma yake nayo si njema. Mwisho Huchoka kimaumbile na kama stamina ni ndogo, basi wanaonekana kama WANANYONYESHA! Utandawazi huu?!
 
Msiwatetee hawa mabinti wanaanza ngono mapema tena na wazima kwa kohongwa magari,simu etc
Tena wameenda mbali zaidi kwa kugawa mpaka TIGO ili wapate dau kubwa.
Ivi nowdays kuna mtu amewai oa demu bikira?

I am missing Rev hapo kwenye bold!
 
Back
Top Bottom