Mabinti wadogo maziwa "kudondoka" mapema: What has gone wrong?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Sijui ni huu uzee?

Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?

Ni "climate change" pia au kuna "genetic disorder" katika kizazi hiki - in last two decades?

Nimefikiri sana lakini sipai jibu!
 
I think wanaanza mambo ya kikubwa mapema. zamani ilikuwa lazima kuona kilicho kwenye packing material, siku hizi hakuna hiyo.
 
suala la maziwa kudondoka halihusiani na kuanza mambo ya kikubwa mapema unaweza ukaanza mapema lakini chuchu zikabaki sa6 hadi unaponyonyeha,mimi nafikiri ni zile homon za ukuaji pamoja na nature ya mtu
 
Fatakiiii nakuaminia
sijui ni huu uzee?

Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?

Ni "climate change" pia au kuna "genetic disorder" katika kizazi hiki - in last two decades?

Nimefikiri sana lakini sipai jibu!
 
Sijui ni huu uzee?

Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?

Ni "climate change" pia au kuna "genetic disorder" katika kizazi hiki - in last two decades?

Nimefikiri sana lakini sipai jibu!

Kufikia kuwaona mabinti wadogo wa umri ulioutaja kuwa sehemu zao za ndani ya nguo ziko hivyo inamaanisha wewe una tabia ya kuchungulia a.k.a kupiga chabo mabint wakiwa bafuni; au unalala na hao mabinti.

Wewe ni fataki full stop
 
Kufikia kuwaona mabinti wadogo wa umri ulioutaja kuwa sehemu zao za ndani ya miili yao iko hivyo inamaanisha wewe una tabia ya kuchungulia a.k.a kupiga chabo mabint wakiwa bafuni; au unalala na hao mabinti.

Wewe ni fataki full stop

Hivi neno FATAKI maana yake nini?
 
Hivi unahitaji "Microscope" kuona status ya "Matiti" au "Maziwa" ya binti?
 
Maumbile tu, hakuna uhusiano wowote na kuanza hayo mambo mapema, ila Baba _Enock kiboko, umewaonaje? Usije ukawa umeanza kuchungulia watoto bafuni!
 
sijui ni huu uzee?

Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?

Ni "climate change" pia au kuna "genetic disorder" katika kizazi hiki - in last two decades?

Nimefikiri sana lakini sipai jibu!
we unataka sa 6 au nane kwa ajili ya nini>?mnunulie za kichina zinatusaidia sana sie na huwezi jua na azina madhara kabisa.na kama yapo basi ni kama vitu vingimne vilivyo na madhara.
 
Maumbile tu, hakuna uhusiano wowote na kuanza hayo mambo mapema, ila Baba _Enock kiboko, umewaonaje? Usije ukawa umeanza kuchungulia watoto bafuni!

Hivi wale mabinti wanaopita jukwaani kwenye mashindano ya Urembo (Lundenga and Co.)unahitaji miwani yenye lens ipi kujua "size" zao? hau wale wanaopita jukwaani kwenye maonyesho ya mavazi (Hadija, Hassanali, e.t.c) huwa hamuwaoni?

Vipi kue Coco-Beach? Kila sikukuu kunakuwa na daladala zinamwanga watoto wa kike wakiwa na BIKINI! hawa nao hawaonekani?

Labda niulize tu : Is it a sin to look at the ladies "morphology"?
 
Hivi unahitaji "Microscope" kuona status ya "Matiti" au "Maziwa" ya binti?

kiongozi tupo pamoja!kama ni maumbile basi kwanini wale wanawake waliozaa au wenye umri mkubwa matiti yao yameshalala!kwanini nao wasiwe na matiti yaliyosimama???hawa watoto wameanza kungonoka mapema tu bila shaka, wao wanadai ni fasheni!!!
 
Hivi wale mabinti wanaopita jukwaani kwenye mashindano ya Urembo (Lundenga and Co.)unahitaji miwani yenye lens ipi kujua "size" zao? hau wale wanaopita jukwaani kwenye maonyesho ya mavazi (Hadija, Hassanali, e.t.c) huwa hamuwaoni?

Vipi kue Coco-Beach? Kila sikukuu kunakuwa na daladala zinamwanga watoto wa kike wakiwa na BIKINI! hawa nao hawaonekani?

Labda niulize tu : Is it a sin to look at the ladies "morphology"?

Macho hayana pazia
 
kwani mkuu unahitaji kutumia nguvu kuona hata hivyo vifua vyao????mbona nguo zao tu wanazovaa siku hizi hata kama una miwani ya mbao unayaona tu matiti walivyoyaanika nje!
 
we unataka sa 6 au nane kwa ajili ya nini>?mnunulie za kichina zinatusaidia sana sie na huwezi jua na azina madhara kabisa.na kama yapo basi ni kama vitu vingimne vilivyo na madhara.

kwani wewe dada Joyce ya kwako ni ya saa ngapi za jioni?
 
Sijui ni huu uzee?

Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?

Ni "climate change" pia au kuna "genetic disorder" katika kizazi hiki - in last two decades?

Nimefikiri sana lakini sipai jibu!

Uchunguzi wangu usio rasmi ni kwakuwa wanapenda sana Chipsi mayai a.k.a zege mayai yenyewe ya kichina china
 
Hivi wale mabinti wanaopita jukwaani kwenye mashindano ya Urembo (Lundenga and Co.)unahitaji miwani yenye lens ipi kujua "size" zao? hau wale wanaopita jukwaani kwenye maonyesho ya mavazi (Hadija, Hassanali, e.t.c) huwa hamuwaoni?

Vipi kue Coco-Beach? Kila sikukuu kunakuwa na daladala zinamwanga watoto wa kike wakiwa na BIKINI! hawa nao hawaonekani?

Labda niulize tu : Is it a sin to look at the ladies "morphology"?

Maumbile tu ndugu, na je hujawahi kuwaona ambao hata wameshanyonyesha lakini wala hayo maziwa hayajadondoka? Mmmh, sorry, hawa na hakika wala huwatupii jicho....haa haaa (joke)
 
Back
Top Bottom