Mabint wanaobeba MIMBA...makusudi kama kigezo cha Kuolewa..!!!!!!

Kuhusu mtoto , damu yangu haiwezi potea kirahisi au kuikana ,nitaitunza
ila KAMWE usitegemee nikuoe kwa sababu tu , ya tumepata mtoto.

Lakini kwa nini tunachukulia kuwa jukumu la kuzuia mimba isiyotakikana ni la mwanamke pekee?! ni kweli kuwa Mwanaume hana role katika kuhakikisha kuwa haleti kiumbe ambacho hajakipangia humu duniani?

ni jukumu la mwanamke kuzuia mimba kwa sababu yeye ndiyo mzazi haswa! Vinginevyo kama kuna kesi ya kubaka hapo ni mwanamume anaweza kuwa kachangia.

Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..

Nadhani humu ndani kuna baadhi ya wanaume ambao mnanikera na tabia zenu za kizamani na ukoloni ambao mlirithi kwa baadhi ya baba zenu waliowafunza au kwa alivyokuwa anamtendea mama husika au kwa kukwambia kwamba duniani wanawake ni vyombo vya starehe.

HIVI WEWE MWANAUME MZIMA UNAYEJIITA RIJALI UNAWEZAJE KUMVUA NGUO MWANAMKE WA AINA YOYOTE ILE UKAMFANYA NA KUMGEUZA MITINDO YOTE NA MABUSU KIBAO UKIWA HAUJATUMIA KINGA WALA TAHADHARI YOYOTE HALAFU UNAKUJA JAMVINI HUMU KUSEMA HAUTAKI MTOTO NA BINTI AMEJILETA MAKUSUDI? Kifupi ni hivi kwanza mwanamke anayeamua kuzaa na wewe kwa makusudi anakuwa amekuamini na kukuthamini kuwa unaweza kuwa baba wa mtoto wake na ukawajibika zaidi sana amekupenda na hata kama ukimkataa yeye yuko tayari kulea mimba na kujifungua bila msaada wako na maisha yakaendelea bila wewe.

Kuhusu mtoto , damu yangu haiwezi potea kirahisi au kuikana ,nitaitunza

ila KAMWE usitegemee nikuoe kwa sababu tu , ya tumepata mtoto.

Kaka unastahili hongera. Kidogo nifikirie wote wanaafikiana na mawazo mgando ya Data.
Tekeleza mama ila kamwe usitekeleze damu yako.
Sie ni binadamu with logic na sio mbuzi.
Data mindset yake si ya kibinadamu.

Wanaume kaeni mkijuwa kuwa kutunga mimba iko juu yenu! Therefore before doing it, think kama binadamu and f**k responsible.
Ukishindwa tumia condom, hakikisha you don't ejaculate inside. Short of that, prepare to be a father whether you like it or not.

Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..

..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)

HIVI KULELEWA NA MAMA TU NDO KUWA MTOTO WA MTAANI?

Mwanamke ndie mwenye maamuzi yote kama abebe mimba ama asibebe coz yeye ndo anaejua cycle yake na sio mwanaume

Lizzy anaonekana ni muhanga wa kutegesha mimba na kutelekezwa. Wapo wasichana wengi tu wanajibebesha mimba toka maboyfriend wao hata kabla hawajakubaliana kuoana.Suala la kutumia kondomu hata wanawake wengi hawapendi.Wanadai ukitumia kondomu humpendi hasa kama ni mtu wako wa zaidi ya miezi 3. Mnang'ang'ania kondomu kondomu, tafiti kwenye nyumba za wageni (ninayo moja) inaonyesha wapenzi wengi hawatumii kondomu. Wanaingia nazo na kuziacha vyumbani hazijatumika. Mwenye jukumu la kuzuia mimba ni mwanamke takeni msitake. Ila mtoto sharti ahudumiwe na pande zote after kupima DNA. Nina experience na hili pia ila nilipotaka DNA msichana akakataa kabisa. Ni pm nikupe data zaidi.

Kwa uelewa wangu mimi, mwanamke anayeufahamu vzur mzunguko wake hata kama kuna flactuation ya siku, hawezi kupata mtoto bila kuamua/ kujua. Tatizo ni kuufahamu vzur huo mzunguko.
Swala la kujilengesha kwa mabinti huwa lipo. Na linasababishwa na mambo mengi. Kwanza anaamini unampenda na yeye anakupenda. Anafikiri unafaa kuwa mume wake na baba wa mtoto wake. Na huwezi kumkataa/kumtosa.
Vilevile kuna baadhi yao ambao wanapata maumivu makali sana wakati wa hedhi na ushauri wa madaktari wetu ni kuzaa ndio kutaliondoa au kupunguza tatizo. Na tatizo hili huwa linaongezeka na umri. Hivyo akiona unaweka mapozi, anakulengesha kwanza, mambo mengine ni mbele ya safari.
Wengine wanakuwa desperate. Umri unamtupa mkono, wenzie wameshaolewa na wana watoto, wewe hunaleta pozi. Kwahiyo anatumia shortcut.
All in all, mimba ikishatungwa hadi mtoto akishazaliwa pa1 na malezi yake yote, baba huwezi kukacha. Ni mwanao na kumtosa ni kutomtendea haki. Haijalishi umelengeshwa au mlipanga!

asante sana.. Wewe umekua wa msaada mkubwa saana.. Ktk maisha ya kileo mabinti wengi tena wasomi.. Utawaskia wakisema.. "mie nashida na mtoto 2 bas..kufungwa ctak mie".. Sasa uwa najiuliza hyo mtoto atampataje pataje.. Ndo inakuja hiyo ishu..!

You are never smart out of us (MEN)...but you know what to get what u wish from us...

ndo usmart wenyewe uo...

ukiwa ***** uwez kupata unachokitaka/kumrubuni mtu au kufanya manuva yoyote yale ili lengo litimi9e it needs akili iwe sharp..

Kwa uelewa wangu mimi, mwanamke anayeufahamu vzur mzunguko wake hata kama kuna flactuation ya siku, hawezi kupata mtoto bila kuamua/ kujua. Tatizo ni kuufahamu vzur huo mzunguko.
Swala la kujilengesha kwa mabinti huwa lipo. Na linasababishwa na mambo mengi. Kwanza anaamini unampenda na yeye anakupenda. Anafikiri unafaa kuwa mume wake na baba wa mtoto wake. Na huwezi kumkataa/kumtosa.
Vilevile kuna baadhi yao ambao wanapata maumivu makali sana wakati wa hedhi na ushauri wa madaktari wetu ni kuzaa ndio kutaliondoa au kupunguza tatizo. Na tatizo hili huwa linaongezeka na umri. Hivyo akiona unaweka mapozi, anakulengesha kwanza, mambo mengine ni mbele ya safari.
Wengine wanakuwa desperate. Umri unamtupa mkono, wenzie wameshaolewa na wana watoto, wewe hunaleta pozi. Kwahiyo anatumia shortcut.
All in all, mimba ikishatungwa hadi mtoto akishazaliwa pa1 na malezi yake yote, baba huwezi kukacha. Ni mwanao na kumtosa ni kutomtendea haki. Haijalishi umelengeshwa au mlipanga!

Huwa sielewi kitu kimoja ..............kwanini wanaume wengi wa leo wamekuwa ni watu wa kukimbia majukumu yao

asante sana.. Wewe umekua wa msaada mkubwa saana.. Ktk maisha ya kileo mabinti wengi tena wasomi.. Utawaskia wakisema.. "mie nashida na mtoto 2 bas..kufungwa ctak mie".. Sasa uwa najiuliza hyo mtoto atampataje pataje.. Ndo inakuja hiyo ishu..!

Data acha kudata bwana, we kama umetegeshewa mimba ni uzembe wako wa kuruhusu hisia zikutawale kuliko akili. Amua moja kumuoa huyo aliejibebesha mimba wala si lazima, usiniambie na hilo pia utategeshewa. tunza hiyo mimba na mtoto na hata ukiacha kumtunza mtoto atakua bila hata msaada kutoka kwako na mbele ya safari utakuja jijutia.

Huwa sielewi kitu kimoja ..............kwanini wanaume wengi wa leo wamekuwa ni watu wa kukimbia majukumu yao
aksante Chauro kwa kuliona hili yaani imenibidi nikae kimya!! Hivi kweli mwanaume kama hutaki kuzaa na binti na uko serious juu ya hilo, hutokuwa na jukumu lolote kuhakikisha huzai nae kweli?!
Kwangu ni sawa na kwenda vitani kisha umkabidhi adui yako silaha utegemee utashinda vita!!

• Thanks
Reactions: Mbu
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..

...ujinga wa mwanaume.

kwani alilazimishwa kutembea nae huyo mdada bila condom?
wanaume hebu na tuache kukimbia majukumu yetu kwa kisingizio
cha eti mwanamke amekusakizia ujauzito...

...ni akili gani hiyo unapanda mbegu ardhini, na maji unamwagilia,
halafu patapoota mmea ukaukataa ati hukutegemea ile mbegu ingechipua?
kuna sababu za msingi, nje ya hii mada kidogo naweza zikubali mwanaume kupata
mashaka juu ya uhalali wa mtoto kwake,...si hili lililo direct namna hii.

jibu kwa swali la msingi;....
...kumpa mimba/kuzaa na mtu sio lazima kuoana nae, ndoa na mtoto ni vitu viwili tofauti.

hatuwezi kwasababu... twategemea ninyi mwatueleza nini From the very first tym... You know what I mean.. ur cycle!!!!!

kinachoogopeka ni mimba tu, virus sawa?...mhh hivi mnakutanaje bila condom jamani,mnajiamini nn na haya maradhi?

• Thanks
Reactions: Mbu
kinachoogopeka ni mimba tu, virus sawa?...mhh hivi mnakutanaje bila condom jamani,mnajiamini nn na haya maradhi?

...hili swali lako linakwenda deep sana....

sitawalaumu wanao take chances kwenye mambo haya iwapo lengo nia na madhumuni ya sexual intercourse hiyo ni long term relationship. Hapa nawazungumzia wale ambao wameaminiana na wapo tayari kuishi pamoja kama marafiki, wachumba na hatimaye kuzaa na kuishi pamoja kama mume na mke.

kwa wale short timers/one night stands, nitakuwa naomba kutofautiana nao hoja.

...ujinga wa mwanaume.

kwani alilazimishwa kutembea nae huyo
mdada bila condom?
wanaume hebu na tuache kukimbia majukumu yetu kwa kisingizio
cha eti mwanamke amekusakizia ujauzito...

...ni akili gani hiyo unapanda mbegu ardhini, na maji unamwagilia,
halafu patapoota mmea ukaukataa ati hukutegemea ile mbegu ingechipua?
kuna sababu za msingi, nje ya hii mada kidogo naweza zikubali mwanaume kupata
mashaka juu ya uhalali wa mtoto kwake,...si hili lililo direct namna hii.

jibu kwa swali la msingi;....
...kumpa mimba/kuzaa na mtu sio lazima kuoana nae, ndoa na mtoto ni vitu viwili tofauti.

atleast hapa mdada tutasema alikuwa na lengo lake, mkaka je? eti jukumu ni kukumbuka condom ni la mwanamke, ovyo!...mie nakumbuka ckuwahi kufanya matuc bila kinga mpaka nilivyoanza kufanya tendo la ndoa nikatupilia mbali hayo mamipira, yalinisaidia sana,nilikuwa cna hofu ya mimba czizo na mpango etc...cjui vijana wa kileo wanafikiria nn kwa kweli....tabu tupu.

• Thanks
Reactions: Mbu
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..

Walaumiwe wote, wote wanasex bila kinga unategemea itoke friji? halafu mwanaume gani ategewe mimba?kwanini usisitize kutumia kinga hata kama mwanadada anakuwa anafahamu vizuri mzunguko wake?
Kwanini ulizimishwe kumuoa mtu kisa kabeba mimba? huna maamuzi yako? ina maana hata kama hujampenda utamuoa tu hivyohivyo?!!!

...hili swali lako linakwenda deep sana....

sitawalaumu wanao take chances kwenye mambo haya iwapo lengo nia na madhumuni ya sexual intercourse hiyo ni long term relationship. Hapa
nawazungumzia wale ambao wameaminiana na wapo tayari kuishi pamoja kama marafiki, wachumba na hatimaye kuzaa na kuishi pamoja kama mume na mke.

kwa wale short timers/one night stands, nitakuwa naomba kutofautiana nao hoja.

2po pa1...hata mie hao cna nao mashaka, tabu yangu ni ya watu kama hawa kwenye thread...halafu alikuwa naasubiria mwanamke amwambie cycle yake inakwendaje....inachekesha/huzunisha kwa kweli.....mtakufa kama kuku wa kideri.

Back
Top Bottom