Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
Hii habari imeshaletwa na kujadiliwa hapa sijaona sababu ya wewe kuianzisha upya, kwa kifupi Mabere Marando anafuata "ethics" kumbuka yeye ana practice sheria na binadamu wote wanahitaji hiyo huduma kwani ni huduma ya msingi kama ilivyo huduma ya utabibu. Unafikiri daktari anaweza akagoma kumtibu mgonjwa kwa tuhuma?................................................................... Fikiria mkuu...