MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,014
- 16,749
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea.
Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana anawafanya atakavyo, anafunga na anawadharau vile vile katika Interviews zake.
Namkumbuka mno Mwalimu wangu wa Kucheza Rafu Kali na zilizoenda Shule kwa Wachezaji (hasa Washambuliaji viherehere kama Mayele) Marehemu Said Mwamba Kizota a.k.a Baba Tosha kwani alikuwa akimalizana nao vizuri sana na Wachezaji wengi walimuogopa isipokuwa kwa Mmoja tu mbabe Mwenzake Mtoto wa Temeke na Morogoro Beki Fikiri Magoso a.k.a Tusker Lager.
Natamani nirejee Ujanani ili nitafute Namba katika hivi Vilabu vya Ligi Kuu ya NBC ili nimnyooshe ipasavyo Mshambuliaji ambaye hanikeri kwa anavyofunga Magoli yake ila ananikera zaidi na Ushangiliaji wake ambao bahati mbaya hata wana Familia wangu wanaupenda na wanauiga kila mara pindi wakiniona tu.