Mabati ya dragon

B Prosper

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
2,182
3,543
Habari wakuu, aliyewahi kununua mabati ya dragon vipi yapo vizuri? Nataka niende huko
 
bati ni bati tu mkuu... kwani kuna mtu huwa anatembea juu ya bati ukiezeka!?

tunajijaza vitu kichwani tu.... bati ni bati
nimefurahia jibu! Kiuhalisia wengi hukwama Kwa kulazimisha Kuna bati zenye gharama kubwa bila kuangalia budjet, mwisho wa siku nyumba haisishi mpaka bati kupauka!

My take! Fanya ujenzi ulio ndan ya bajet uhamie Kwa wakati

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom