Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,568
Dhambi ya kuuziana UDA kwa bei chee itawamaliza CCM
wanararuana kweli
Dhambi ya kuuziana UDA kwa bei chee itawamaliza CCM
Wazungu wanatushauri eti serikali isifanye biashara, ikatufanya yuze UDA , mbona wenyewe wazungu serikali zao zinafanya biashara na Serikali zetu za kiafrika?