labda tatizo la usafiri litapungua manake yanaonekana yanauwezo wa kubeba abiria wengi kuliko daladala nyingine zilizopo.
Na tren za mwakyembe zitakapo anza, then na mabasi ya mwendo kasi nadhani tatizo litaisha kabisa.
Yapo kama elfu hivi.....
Hapo UDA nawasifu japo wamechelewa, kuachia usafiri kwa 100% watu binafsi ni serikali kukosa fikra ni hatari sana wakigoma uzalishaji unazorota. Wayalete hizi daladala za vigogo zinatukera sana, wanakiburi, matusi, wacha wapaki pembeni wash***z sana hawa.
UDA, TRENI, MABAYA FASTA FANYENI CHAP TUNANYANYASWA SANA NA MADALADALA YA VIGOGO!!!
Wamesikia train za dr mwakyembe nao wamenunua mabasi mapya
mimi nitapanda train ni safe ajari si nyingi
Yapo kama elfu hivi.....
kampeni 2015 hatudanganyiki hata mkianzisha treni za umeme na kuchimba barabara zote dar mnajifanya mko bise mabadiliko ni lazimaYapo kama elfu hivi.....
Ni utekelezaji wa sera tu!