Mabandar ya pesa za kigeni yakutwa Nyumba ya alokuwa Rais wa Tunisia hizo ni dani tu

Duuh aisee hii kiboko...! Kuna msemo unasema "money is not everythig but, lack of it is". Huyu Rais wa Tunisia alipata hela zote alizotaka lakini mwishowe ukweli unabaki, hela sio kila kitu...!

Kweli sijui ni lini viongozi wetu wataamka na kuacha tamaa kama hii...!
 
hata viongozi wetu wako hivyo hivyo-ndo maana wengine bilioni 2 waliona ni vijisenti; wengine bilioni 94 za dowans wakasema ni mapato yao ya wiki ya biashara zao. We acha tu, tanzania ki kichwa cha mwenda wazimu. ukweli utabainika baadae hadi watanzania watakapobaini maisha duni yanasababishwa na viongozi wabinafsi.
 
Kweli Nyerere alituacha Masikini lakini tulibaki na Mali zetu na Madini Yetu; alitupa upendo na amani

Kweli Mwinyi alituletea utamu wa utajiri asilimia chache wamechota pesa mama Mwinyi kiongozi; Mwinyi yeye anaonekana Mdini

Kweli Mkapa alikuza uchumi lakini tumbo lake lilikuwa haswa hadi Mkwewe

Na Ni kweli Ikulu sasa hivi ni chombo cha wizi Rais huyu ni utamu wa $$$ hatutashangaa kama kuna makabat ya $$$ Ikulu
 
Duh!!! Hii kali aisee pesa pesa kweli sabuni ya roho pamoja na miaka yote ya utawala lakini mtu bado anakuwa hatosheki
 
Back
Top Bottom