Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

je unapatikana wapi best yangu

Mimi nipo Sinza kwa Remmy jirani na Jaji Mstaafu Makanja. Ukifika Sinza kwa Remmy kuna bar maarufu inaitwa "B" Bar, unaingia kwenye kinjia hicho kilicho ubavuni mwa B Bar na unakuja moja kwa moja mpaka mwisho wa njia, gate linalokutazama ikiwa unakuja ni la Jaji Makanja, kulia kwako ukiwa unalitazama hilo geti ndiyo nyumbani kwangu. Opposite na container la Twitter.

Namba zangu ni 0689771331 na ukinikosa piga 0756803528 (usishtuke akijibu mume wangu, babu Abdul, ni namba yake hii) na sehemu zingine unazopatikana ni hizi:

Dar es Salaam

Dar Home Delivery: Yakoub = 0655798139

Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069 na Joyce Mchagga - 0719024967.Pemba Street House No 12 Karibu na Msimbazi Police.

Magomeni = Dina - 0714222237

Ilala kwa Masai Kimako = Mwanahamisi Saloon 0718775220

Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi ya Makumbusho - 0757176678 / 078476678 / 071576678 / 0776154933

Sinza = Aunt Zainab - 0769302206

Zanzibar (Unguja)

Dr. S. Shafi 0754650480

Arusha

Mama Aida -0754445733

Dodoma

Rukia - 0653249898


Lindi

Nuru - 0717461575

Mbeya

Haule - 0756994850 na 0784658349

Mwanza

Mama Alex / Bonge 0768545736 na 0765072213

Morogoro

Lina Mafwere - 0754297319 Boma Road.

Tanga

Farouq - 0719190000

Bei za wasambazaji zitatofautiana na bei zetu za promotion kwa sasa, kwani kuna gharama wanazoingia za usafirishaji na faida yao.

Kwa maelezo yoyote ya ziada wasiliana na Aunt Zainab 0769302206 au babu Abdul 0756803528

Update: 08-04-2015

Bei za Promotion zimekwisha rasmi 31-03-2015 kwa sasa bei zetu hazitotafautiana na Mawakala, Recommended Retail Price ni 3,500 kwa paketi moja (reja reja).

Asante
Zainab
 
apart.from dawa za hospital,lifestyle ya mhusika inaweza changia kumaliza au ku prolong tatizo,
usivae nguo za kubana,kuwa.makini na vyoo vya public,beware na kutumia toilet paper sana,usiku lala bila under wear,pia jisafishe vizuri ukiwa washroom na ukauke ndo vaa chupi, nk nk
 
Twanga kitunguu thomu kisha ujipake na unawe baada ya dakika 20-30
 
Kuna dawa inaitwa ladywash ambayo imesaidia wanawake. Ukioga unajisafisha nayo vizuri. Fungus ni tatizo kubwa kwa wanawake kwa sababu ya maji na washrooms ambazo tunashare. 0716768855 kama ungependa maelezo na msaada kutoka kwa mtaalamu
 
Dawa ya kutibu Fangasi mbona Ma-Hospitalini ipo bibie? Dawa ya kutibu Maradhi ya UTI na

Maradhi ya Fangasi na Minyoo Dawa ya Tiba Mbadala ni Kitunguu Saumu. Unatumia njia hii hapa chini:

Unapo amka Asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili

ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili

vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.


Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza

tapika.(Mara chache

sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kawaida.Baada ya SIKU 7 ,utaona Minyoo,UTI na

hakuna tena fungus wote

wamekauka!Kwisha kabisa!!!!


Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na

kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha! Tumia kisha uje unipe feedback.


View attachment 156805

hivo vitunguu nakunywa siku ngapi ??..?msaada tafadhali
 
Na hivi vijipele vidogo ambavyo vinatoa kama tuuchafu tweupe ukibonya nazo ni fungus? Maanamm nina hilo tatizo mgongon. Kifuan na usoni
 
Jamani nini dawa ya kumaliza kabis tatizo la fangas sehem za siri make zinawasha mno ni hatariii, so naombeni msaada juu hili watalaam wa maswala ya uzazi
 
hivo vitunguu nakunywa siku ngapi ??..?msaada tafadhali
Unakunywa siku 21 utakuwa umepona kabisa hata kama utafikisha siku 7 umepona endelea na dozi yako mpaka yhakikishe siku 21 umemaliza utakuwa huna tena Fangasi mwilini mwako. Kwa mtu Mwenye Fangasi Sugu,Vidonda vya Tumbo,Kansa ya aina yoyote ile,Ukimwi Aka HIV, Maradhi ya figo ya aina yoyote ile na Maradhi ya ugonjwa wa Hepatit B Virus Dawa ninayo ninawezakumtibu na kupona ukinihitaji mimi nikutibie Maradhi yako bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Habari wana JF,

Nimepata tatizo hili baada ya kufanya deep kissing na my new girlfriend.

Msaada, nitumie dawa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom