Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mimi ninayo psoriasis yaani fungers long time back lakini sijapata dawa maalum...na nahisi iko vile vile
kwani dawa aina yingi nimetumia...nipeni ushauri wa dawa nzuri ya kutumia.
psoriasis siyo fungus ni ugonjwa ambao kinga ya mwili inashambulia mwili. tiba yake iko serious inahitaji dermatologist.
 
Habari za masiku wanajamii?

Nina ndugu yangu anasumbuliwa na fangasi kwenye via vyake vya uzazi, ameitibu mara nyingi hospitalini inakuwa kama imepona lakini inarudi tena. Anatoa vitu vyeupe ukeni.

Naomba mwenye kujua tiba yake anisaidie.
 
Kwanini umsingizie mtu. We sema tu ni wewe ushauriwe.

Nenda Hospital kaeleze watakupa dawa
 
Inatakiwa akapate ushauri wa dkt.
Km ni mfuatiliaji kuna post alipost Joyce kiria akiwa na tatizo hilo hadi akapata kansa ya kizazi. So dkt as possible
 
Nilishawahi kuwa na mwanamke wa namna hii. yaani alikuwa ni mzuriii, wengi wa wanaopata fangus ni wale wazuri sana. na wanakuwa ni watu ambao wanafanya ngono na watu wengi tofautitofauti. Au kama ameolewa ujue mumewe amepata fangus toka nje akamletea, tena zile sugu ambazo zilishatibiwa sana huko na yeye akaletewa.

Zikiendelea huwa zinapanda hadi kwenye figo na kufanya ugonjwa wa figo kama hautatibu mapema. nilipotezana naye kwa muda wa miaka mitatu, nilipokuja kukutana naye tena nimemkuta na uji uji uleule. yeye ni mweupee sana na anatoa ute mweupe mwingii kama wazungu.

Wakati mwingine ute unasaidia sana kulainisha k, lakini akimaliza tu sita kwa sita anaenda kunawa na kujipulizia k inawaka moto anavyosema. Nilimtibu lakini bado tu, ameshaolewa kwingine. Ajabu yake kwa jinsi alivyokuwa mzuri wa umbo, nilikuwa naingia hadi chumvini.

Kuna mwingine yupo hapa mtaani, ni mzuri sanaaa, mweupee namba nane, lakini anatoa rangirangi kwenye key, maji yenye rangirangi. hao wanawake wazuri sana hao wengi wana matatizo ndio maana wengi utakuta hawaolewi kwasababu wamefanya sana ngono na watu wengii. Kitu kizuri hutongozwa sana hivyo kinaweza kuwa kinakubali kwa watu wengi kwa udhaifu wa wanawake, na wengi wana matatizo.

Nakushauri fanya umuone daktari au hospitali bora hata kama ya garama utibu. Huwa zinapona. kabla hazijashambulia maeneo mengine.

Pia hivyo vyoo mnakojoa mkojo unaruka mnaambukizana sana nyie wanawake.
 
Hapo ni kwasababu either wanatreat the wrong disease au anatibiwa lakini hawajaeliminate risk factors,

mfano watu wenye kisukari hua wanapata sana hizo fungus kwasababu sukari ni kirutubisho kinachowafanya hawafungus wakue so kuzuia kujirudia rudia inabidi acontrol sukari yake kama ana kisukari,

pili ni tabia ya kujisafisha sana huko kwenye sehemu za siri wanaita douching, hii hupelekea kuua bacteria(normal flora) ambao wanatakiwa wawepo huko kwaajili ya ulinzi na mazingira salama na kufanya vijidudu wabaya waweze kukua mfano hao fangus so inabidi aangalii jinsi ganii anavyofanya usafii huko chini....

Lakini pia kama nilivyosema hapo juu kwamba anatibiwa ugonjwa ambao sio....candiadiasis, bacteria vaginosis , trichomoniasis zote hizi huleta dalili kama hizo na zote zina tiba yake tofauti!!

sasa Iliapone inabidi aende kwa gynacologist wakafanye swab na kuinvestigate either kwa culture au microscopy ili kugundua vijidudu sahihi vinavyo msumbua!!

Ila akiona shida kwenda huko kwa gyna,... mtaani hua tunatreat hiyo kitu syndromically!!...aende duka la dawa wampe dozi ya hizi dawa zifuatazo; (azithromycin + fluconazole + metronidazole) TABLETS dose wanajua huko huko....
 
Mashauri amuone mshauri huyu wa afya atamaaidia sana me nilikuwa nayo alinisaidia ikaisha kabisa no yake 0758768855 yupo ubungo
 
fidelis zul zorander
sawaaa...( azythromycin+ fluconazole+metronidazole) naona umempga TREATMENT MACHINE GUN...ant fungal....ant protozoa+ ant bacteria
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi unavoeleza, tatizo si kwenda hospital bali hospital ipi na kumwona daktari yupi.
 
tumia chlorofenical vidonge 7 na limao.

chukua juice ya limao 2 au 3 weka kwenye glas pamoja na vidonge hivyo kisha kunywa.

inatibu magonjwa yote ya zinaa yanayotibika pamoja na fangasi za via vya uzazi.
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom