Maaskofu kuliombea Bunge

Kuna habari kuwa maaskofu wa kinachoitwa makanisa yasiyofungamana na upande wowote wamemwandikia spika wa bunge barua wakiomba kupewa nafasi ya kwenda Dodoma kuliombea Bunge ili lisikumbwe na mauzauza ya unga unga tena.

Pili kanisa limeamua kumrudishia Rostam sadaka yake leo .....

Mwanzo wa drama ama mwisho wa picha?

more news to come later.

Basi,
wewe usiwaombee watu hawa,
wala usiwapazie sauti yako,
wala kuwaombea dua, wala
usinisihi kwa ajili yao; kwa
maana sitakusikiliza.
(Soma Yeremia 7:16)

Sawa kabisa maaskofu wa tanzania.

Mafisadi wanatumia nguvu za giza kuwapumbaza watanzania ili wasiwe wakali.

Kuna habari kuwa maaskofu wa kinachoitwa makanisa yasiyofungamana na upande wowote wamemwandikia spika wa bunge barua wakiomba kupewa nafasi ya kwenda Dodoma kuliombea Bunge ili lisikumbwe na mauzauza ya unga unga tena.

Pili kanisa limeamua kumrudishia Rostam sadaka yake leo .....

Mwanzo wa drama ama mwisho wa picha?

more news to come later.

source?Hatujadili umbea hapa!!Na kama nikweli basi hao maaskofu wamekosa kazi na njaa zao ndo zinawasumbua yaani wameshindwa kuwaombea Watanzania wanaoteseka na Maisha magumu huku chanzo kikiwa ni híi serikali legelege wabunge wanagawana posho kila siku Dodoma hawataki hata kumaliza hivyo vikao ili waendelee kuwakamua Watanzania hadi damu ya mwisho hawa Wabunge wa namna hii wanaong'ang'ani posho wanastahili kuombewa laana na sio kuombewa baraka.

Back
Top Bottom