RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
Swal la USENGE makanisani ni kansa kubwa na inaathiri jamii na kuongeza kasi za ukimwi na pia nikosa la kuenda jela!
Chakushangaza makanisa wamelikalia kinymwa swalal hili la laana, sio tu nilaana kwa dini ya ukiristo bali pia kwa taifa, niwajibu wao watoe waraka mkubwa wa kuwaelimisha wachristo athari na laana ya usenge, badala ya kutoa nyaraka za kisiasa kila baada ya miezi sita na huku kanisa likigawanyika kuhusu mchezo huu wa usenge.
Wako wenye mawazo pungufu hapa jf, tukiongelea swala la usenge kanisani wanasema tunatukana, tuna mapepo, Je wale wachungaji walio jadili wakafanya kikao kikubwa Tanzania 2009 na huku wakitumia gharama kubwa hivi nao wanamapeop?
Say samething church, Shame on you !!!!!!!!
utaeleweka vizuri tu ukitumia lugha ya kistaarabu,tumia neno SHOGA badala ya hilo unalolitumia kwa herufi kubwa.
kanisa katoliki hawasupport ushoga,hao priests waliofanya hivyo vitendo ni individuals sio imani ya kanisa kwa ujumla,kuna masheikh wengi tu wanaendekeza ushoga lakini hilo halimaanishi msikitini wanaruhusu hali hio.
Back to the point,WARAKA ni muhimu kuelimisha wapiga kura bila kujali unatoka wapi.
jaribu kujadili waraka ndio thread hii lengo lake, au anzisha thread nyingine ujadili ushoga kama uko interested sana na hio mada ya ushoga.