Maandamano ya wafanyakazi wa migodini Afrika Kusini na Jeshi la Polisi la Tanzania.

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
Leo wakati naangalia taarifa ya habari channel e niliona habari ambayo ilinivutia. Kulikuwa na mamia kadhaa ya waandamanaji ambao walikuwa wakisindikizwa (in fact being closely watched) na mamia ya askari wakiwa na silaha (armed police officers). Walikuwa wakiwa wanawatizama tu na wange-intervene pale tu kungejitokeza vitendo vya kihuni.

Waliwasindikiza kwa zaidi ya kilometa 4. Hii pia naionaga hata nchi za Ulaya na Marekani yaani Polisi kulinda waandamanaji na si kuvunja maandamano kama ilivyo Policcm. Kama syllabus ya CCP haina kitu kama hii naomba waiweke yaani jinsi ya kusindikiza maandamano.
 
Back
Top Bottom