Maandamano makubwa nchi nzima

mtanzania07071989

Senior Member
Aug 12, 2012
153
20
Jamani kama kuna wakati wa kuonyesha uzalendo kama watanzania ndio sasa,tuungane wote kupinga upuuzi huu wa wabunge kulipwa milioni 160,hilo ni ongezeko la zaidi ya asilimia 200,kutoka milioni 43 walizokuwa wakilipwa mwanzo kama mafao ya kustaafu ubunge baada ya miaka mitano.CHADEMA,CUF,NCCR,TLP na vyama vingine vya upinzani tuungane TUFANYE MAANDAMANO NCHI NZIMA kupinga unyonyaji huu.Vinginevyo nitawaona wote wanafiki,wachumia tumbo.
 
nyinyi ni chura tu hamumzuii tembo kunywa maji, mbona hata zile dv 5 mlisema mtaandamana mpaka leo wolllllaaaa
 
hahahahaha,

hapo mbowe na lema lazima wakufukuze uanachama kwa kosa la kutaka kupunguza mapato ya wakuu

kijana wangu nina wasiwasi na historia ya ukoo wenu,

naamini utakuwa huna unasa.ba na mzee wako ambaye ni mtulivu sana!
 
Hahahahaha,

Hapo Mbowe na Lema lazima wakufukuze uanachama kwa kosa la kutaka kupunguza mapato ya wakuu

Hatuungi mkono CCM wakileta noti zao twazila, kwani hata tukizikataa hazifanyi kazi yoyote.

CC: Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kama kuna wakati wa kuonyesha uzalendo kama watanzania ndio sasa,tuungane wote kupinga upuuzi huu wa wabunge kulipwa milioni 160,hilo ni ongezeko la zaidi ya asilimia 200,kutoka milioni 43 walizokuwa wakilipwa mwanzo kama mafao ya kustaafu ubunge baada ya miaka mitano.CHADEMA,CUF,NCCR,TLP na vyama vingine vya upinzani tuungane TUFANYE MAANDAMANO NCHI NZIMA kupinga unyonyaji huu.Vinginevyo nitawaona wote wanafiki,wachumia tumbo.

Ningekuona wa maana kama tungeanzia kwenye kupanda kwa gharama za umeme kitu ambacho kinamgusa kila Mtanzania hili la Kiinua mgongo kinavyoonekana bado ni tetesi na serikali inaweza kukana maana hadi sasa hakuna aliyetuwekea uthibitisho hapa jamvini juu ya ongezeko hili la Mafao ya wabunge.
 
Hahahahaha,

Hapo Mbowe na Lema lazima wakufukuze uanachama kwa kosa la kutaka kupunguza mapato ya wakuu

Wewe ndugu ni mpuuzi Kwelikweli,mafao hayo yameandaliwa na kupitishwa na CHADEMA??!!,sishangai kusikia ulishawahi kuugua kichaa!! Mwezi mchanga ushaandama kwani kesho ni tarehe 1 February!!
 
Hahahahaha,

Hapo Mbowe na Lema lazima wakufukuze uanachama kwa kosa la kutaka kupunguza mapato ya wakuu

Hivi rambirambi za mjane wa Mwongosi hazikupungua?

Kama hazikupungua mbona kuna wanaokiri zililiwa?

Naomba mwongozo wako kwa mujibu wa kanuni ya 64 ya kanuni za kudumu za bunge
 
Jamani kama kuna wakati wa kuonyesha uzalendo kama watanzania ndio sasa,tuungane wote kupinga upuuzi huu wa wabunge kulipwa milioni 160,hilo ni ongezeko la zaidi ya asilimia 200,kutoka milioni 43 walizokuwa wakilipwa mwanzo kama mafao ya kustaafu ubunge baada ya miaka mitano.CHADEMA,CUF,NCCR,TLP na vyama vingine vya upinzani tuungane TUFANYE MAANDAMANO NCHI NZIMA kupinga unyonyaji huu.Vinginevyo nitawaona wote wanafiki,wachumia tumbo.

sasa hvyo vyama ulivyovihorodhesha unadhan wao wanapinga hilo ongezeko? Hapo hamna cha upinzani wote walikubaliana. Ushaskia hata kwenye mikutano ya cdm wanagusia au kulalamikia hlo? Nao wachumia tumbo v
 
Kwa mara ya kwanza Chadema wanaoyaona maandamo machungu.

Angalizo pro-Chadema yeyote atakayeshiriki haya maandamao atafukuzwa na atavuliwa uanachama na atakuwa msaliti.

Mimi Ritz tashiriki haya maandamano.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha,

Hapo Mbowe na Lema lazima wakufukuze uanachama kwa kosa la kutaka kupunguza mapato ya wakuu

cris lukosi nadhani huna akili timamu,nimefuatilia posts na replies zako nikagundua ni mpuuzi tena mjinga mno.haiwezekani thread inazungumzia uzalendo wewe unaleta uchama hapa!acha upu.mbav wewe ni mtu mzima unajifanya ccm wakati hiyo ccm wapo zaidi yako lakini wanasena ukweli inapobidi wewe kikaragosi tu!hebu nibie ktk post hii cdm inakujaje?kila jambo wewe cdm haitusaidii kenge wewe,leo watu wanalia si wa cdm waka ccm au cuf wote wanalalamikia 160m kwa wabunge wewe umekalia mbowe;slaa,shit!huna mchango go to toilet ----in man.
 
hapo hakuna cha chadema, nccr, cuf wa TLP wabunge wote lao moja nimemsikia mbatia akiunga mkono ongezeko hilo
 
Back
Top Bottom