Maandamano makubwa jijini Arusha dhidi ya serikali

nimepishana nao kuanzia daraja la kijenge mpaka karibu na kibo palace kuna idadi kubwa ya wazee,kinamama na watoto ila intelejensia ilikuwa imefunga barabara pale kibo magari yote yanaelekezwa kupitia corido spring hadi fire.

nilikuwa na haraka kidogo sijui intelejensia wameruhusu?

ritz,rejao,jeykey kazi ya propaganda si mchezo endeleeni kutumikia kibarua chenu.:poa
 
Unajua hii issue ni kama miaka 5 iliyopita serikali imezuia mashamba yetu halafu isitoshe wameamuru tusilime wala kujenga! Ni mazungumzo gani ya miaka mitano ambayo hayajapatiwa ufumbuzi??
 
Tunavyozungumza wananchi wa kata za moshono na mlangarini wapatao 5000 Wanaandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa arusha kufuatia kunyanga'nywa ardhi yao na JWTZ bila fidia kama walivyoafikiana awali.polisi hawana taarifa ila ndo wanatamalaki kufunga mandela road moshono kuelekea kijenge..updates

He he heeee wanalichokoza jeshi, ngoja uone watakacho fanyiwa tupo hapa

 
Wananchi wametawanyika baada ya mkuu wa mkoa kuteta nao kwa tabu bila masikiliza,wamenoti tar 20 kama mkuu mkoa alivyoahidi kama hakuna jibu la uhakika watajua watakachokifanya
 
Ahadi ni deni! Kama tuliweza kusubiri miaka 5 tarehe 20 ni kesho tu narudi zangu Moshono.
 
He he heeee wanalichokoza jeshi, ngoja uone watakacho fanyiwa tupo hapa


Madume ya mbegu huwa sio waoga yaani unadhulumiwa haki yako unaogopa kudai eti kisa jeshi we kuna uwezekano mkubwa mkeo akaliwa mbele yako na mjeda halafu ukawa unachekelea tu coz ya kuwaogopa wanajeshi. Shame on people like u!
 
KUTATUA HILO TATIZO NI KAZI NDOGO SANA

ILA THITIEM HAWANA WAZO HILO, WANAWAZA JINSI YA KUIBA KURA NA UFISADI TU.


ARUSHA KUNA ARDHI KUBWA NA HAO WANANCHI WANGEWEZA KUPEWA.

TATIZO HIYO ARDHI WANAGAWANA VIGOGO NA KUUZA KWA WAWEKEZAJI (10%)

TENGERU NA USA KUNA ARDHI KUBWA, ILA VIGOGO WAMEGAWANA NA WAWEKEZAJI.

WANANCHI WANAKUWA WATUMWA KATIKA NCHI YAO.

SHAME TO YOU tHITHIEM
 
Back
Top Bottom