Maandamano Arusha Lema yuko huru

Picha mkuu!! Crashwine keshatoa ndondoo keshaachiwa na watu wameshasambaa kitambo! sasa unasema maandamano yametoka wapi?
 
Picha mkuu zitanogesha post yako,fanya kama watu wa Mbeya tulipata mambo katika picha pia,tupe update na mambo yalikuwaje na nani amemwekea dahamana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom