Hahahaa aho chakichaki hambu kitivo
Ni kweli kabisa, na kabla yake hushindishwa na njaa siku tatu akipewa maji tuu
duniani kuna mambo sana aiseeWanataka aflash choo chote sijui logic ninini
haya machache yanatosha aisee.Na ukifanikiwa kuyajua japo nusu tu unawehuka
Wanataka aflash choo chote sijui logic ninini
Kufanya hivyo ni kupunguza bacterial load mwilini na hapo utapata nyama nzuri isiyoharibika mapema. Na hii ainatakiwa kufanyika kwa wanyama wote wanaotakiwa kuchinjwa. Ukienda machinjio za ng'ombe, mbuzi kuna sehemu inaitwa Lairage ambapo wanyama wanahifadhiwa hapo kwa masaa kadhaa (yasiyopungua 12) wakinywa maji tu kabla ya kuchinjwa. Bahati mbaya slaughter houses/slabs hapa nchini hazina hiyo sehemu.