Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Natamani sauti zifike hadi magogoni,


powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
nampigia kura lowasa siku ya uchaguzi, hata akiwa mahututi mwimbili

hahahaaaaa! Umenifurahisha mkuu,maana hawa magambazzz kwa kumsimanga lowasa wetu acha tuuu,jana hadi nimelia kuona mtu anamsema vibaya.

Hii ndiyo umma yenyewe.
 
11902260_10152955434106105_768426387404044328_n.jpg
 
wanaotupiga leo watatulinda kesho na watawala leo ndio wapinzani kesho tukutane ock 25
 
Dr slaa hakupuzwa bali alinunuliwa na ccm akawa anajishutukia mwenyewe, nguvu za umma zilimtisha kuhamia ccm moja kwa moja, Membe alimpatia Dola million 2 toka kwenye mapesa ya marehemu Gadafi.
Dr Slaa hajapuuzwa, hajanunuliwa na ccm, bali alifanya maamuzi magumu na ya busara sana ya kustep-down kama Baba wa Taifa, Hayati Mwl JKN, alivyong'atuka mwaka 1985 baada ya kuona mafuriko ya mageuzi ya kutoka uchumi wa kijamaa kwenda uchumi wa soko huria hayazuiliki. Dr Slaa ameona mafuriko ya mabadiliko kwa kutumia 'ndege za kivita' kutoka upande wa adui ni ngumu kwake kuzisimamia kwa ufanisi, basi akaona awapishe wengine wafanye kazi hiyo. Ni uamuzi wa busara na atakumbukwa na kuheshimiwa kama Baba wa Mabadiliko. Go UKAWA, Go Lowassa.
 
Watakua Live siku ya Kesho wakileta Moja kwa Moja Kinachojiri Kiwanjani Jangwani.

CC. TUMAINI MAKENE, CHADEMAKWANZA, MOLEMO NA STANDALONE
 
nchi ina utaratibu......na sheria zifwatwe

Hivi hizi sheria na taratibu huwa hazifuatwi tu na UKAWA? jamani hivi hawaoni aibu kila siku kukimbizana na UKAWA? huu ni uonevu sasa.mnataka UKAWA waende wakafanyie wapi kampeni zao kama si humu humu nchini? kwa kweli mmeshikwa pabaya
 
Mimi binafsi ningependa kusikia yafuatayo

Namna ya kupunguza deni la taifa na utegemezi kutoka nje.

Namna ya kushusha bei ya mafuta na gharama za maisha.

Kuimarisha dhamani ya shilingi.

Kuboresha huduma za afya, na maji vijijini na mjini.

Wazee na walemavu wasio jiweza wawe wanalipwa kila mwezi na serikali.

Kulinda na kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha wtnz wote

Namna ya kutengeneza ajira kwa vijana.

Na Wewe Pendekeza Yako,
Asante.
 
Hivi kama UKAWA hiyo kesho pale Jangwani wakiamua kuwajibu CCM kwa kuzidisha muda wa kuzindua kampeni kama walivyofanya CCM last week na pia wakiamua kuwatolea CCM lugha za matusi na kejeli kama walivyofanya wao CCM kwa kuwaita watu wapumbavu na malofa, unategemea NEC watatoa kauli gani? Kila mwana JF atoe maoni yake hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom