Maana ya sharubaro!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?
 
Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?

Na anae jishebedua na kudeka deka ovyo

Ila kwa kibongo bongo ni bitoz
 
nimesikia sehemu maana yake ni sehemu ya kutolea haja kubwa ya nyani, sijui kama ina ukweli wowote.
 
Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?

Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine.
 
Check hiyo video mtoto wa kiume analembua
 
Last edited by a moderator:
Ebwana eeh!!wabongo wana tabia za kuiga na kulipuka.NENO SHAROBARO NI MASHOGA WA ULAYA WALIO KUBUHU,AU WALIYO BOBEA.shit
 
Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine.

NI mchanganyiko wa maneno mawili KINGELEZA-shallow ikiwa na maana juu juu (kidogo) na KINYAKYUSA -bhuaro ikiwa na maana kuendesha (kuh"#*r^isha)

Kwa hiyo neno zima lina maana KUHARISHA KIDOGO... inategemea umefanya wapi ila kuna sehemu nyingina inaleta maana nyingi mno.
 
Bwanaeee!namanisha sharobaro,manake mashoga wa ulaya walio kubuhu,ua walio bobea.kwanza comment yako ni negative read.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom