jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,324
Una masikio, unasikia lakini huelewi, ili neno lililonenwa na manabii lipate kutimia.Sasa kama mtu amepewa mwanamke mzuri na anaempenda, kuna kosa akitoa utukufu kwa bwana?
Una masikio, unasikia lakini huelewi, ili neno lililonenwa na manabii lipate kutimia.Sasa kama mtu amepewa mwanamke mzuri na anaempenda, kuna kosa akitoa utukufu kwa bwana?
Kwani kanisani tunafata mafunzo ya mtume?
Yesu alifunga bila kula cku 40 wewe ulishawahi funga hata cku 5 tu bila kula?
Nchi za Kiafrika huwa tunajifanya tunazijua dini sana kiasi kuliko ambao walituletea (wamishenari aka wakoloni)
Hata hiyo nyingine haimhusu, hakuna muumin anaye fanya anayo fanya !Ifike mahala kila mmoja wetu aheshim dini ya mwingine upumbavu wa ku-cross mstari unaacha dini yako unafanyia mzaha dini za wengine nikukosa hekima,
kukosa adabu na
kudhalilisha imani ya wenzako.
Kwanini kaamua kuparamia dini isiyomhusu?
Upole wenu ulimpoza Yesu, akala kibano msalabani.Wakristo sisi wapole sana! We jaribu hata kupita na kitoto cha nguruwe maeneo yao
Katika kila komenti yako unapoutaja Msikiti na waislamu naona huwa unapotosha mfano wko na wala huwa hauendan, msiktin km hujui hakuna hayo huyasemayo, eti bakora? How comes,? Pambana tu na hallelujah yako acha kuutaja Msikiti ktk mazingira yafujo kana kwmba unaitaja guantanamo, msiktin ni amani, upendo na kumcha الله, kama hujui procedures bc utafundshw na kuelekezwa, husipotoshe wt eti vboko..ww hoja yko nzuri stick kwny imani yko husiseme husilolijua...Anatoa sifa katika mazingira ya dhihaka? Uchi na paspo na staha
Nenda msikitini bila kutawaza na ukaswali bila kufuata procedures.... Utapata kufundwa kama sio kufunzwa kwa bakora
Katika kila komenti yako unapoutaja Msikiti na waislamu naona huwa unapotosha mfano wko na wala huwa hauendan, msiktin km hujui hakuna hayo huyasemayo, eti bakora? How comes,? Pambana tu na hallelujah yako acha kuutaja Msikiti ktk mazingira yafujo kana kwmba unaitaja guantanamo, msiktin ni amani, upendo na kumcha الله, kama hujui procedures bc utafundshw na kuelekezwa, husipotoshe wt eti vboko..ww hoja yko nzuri stick kwny imani yko husiseme husilolijua...
Hiyo sawa kabsa aseeWakristu hatuna hayo mambo.
Ukitamka haleluya wakati ukiwa humaanishi mambo ya mungu basi haina maana yoyote, linakuwa ni neno tu na halina utukufu wowote wa kimungu. Ni sawa na wanaovaa misalaba au rozari ambazo hazijabarikiwa, inakuwa ni urembo tu.
Hatuna tatizo na hilo.
Na mie nina imani pia ila soma kwa makini hao wanaoamini alafu kila mmoja fanya kuchukua sample kwa kuangalia contribution zao za nyuma ndo utanielewa namaanisha nini vinginevyo hutanielewaImani hubakia valid kwa anayeamini
Kama huamini ni void na null.... Waachie wenyeimani zao, wala hutapungukiwa na chochote.
Nikwel haifai kudhihaki imani ya mtu,,sisi ktk imani yetu tunahusiwa sana kuongea jambo ambalo una elimu nalo, kama jambo hauna elimu nalo bc tunakemewa vikali sana kutolizungumzia, sina tatzo na hoja yko,, kama uyo muimbaji amekosea lzma akemewe,.nlichojarb kukukumbsha tu kuhusu msikti, maana hadi me mwnyew najikuta yani naingia uoga jinsi unvyopaelezea,.ilo ndio tatzo ykuelezea kitu husichokijua, km muimbaji unayemshutumu pengne nae hata hakujua maana ya ilo neno kakurupuka tu....!!Inawezekana tusikubaliane kwa hoja ukweli hujieleza wenyewe na mtunzi anafaham kwanini.
Amuulize kofii alomide yaliyomkuta kuchezeachezea imani za watu. Mpaka leo alomide ananidham maana alionja machungu yakudhihakisha imani ya watu.
Ukweli unabakia kisichomhusu mtu asikizihaki.
Mawazo ya mjinga.... Unanisemea? unauthibitisho kuyathibisha usemayo?