Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,383
mzee wa Kuwait angeingia mitini...
Kingereza chake ni kibovu kabisa hebu achaneni na Mahaba, hebu ona mfano mmoja tu aliotoa mleta mada unaweza pata picha ya interview nzima!. Ila point tu ni kuwa yeye ni kiongozi wa waswahili hakiihitaji saana hicho kiingeraza cha ki- Malkia Elizabeth wa Uingereza, alichonacho kinamtosha. Ila kujichora huko kwa wageni hajui kama wenzao wamekwishamkubali Magufuli na Shein anajichora tu. AgrrrAmeongea kiingereza kizuri. Acha uongo kijana.Huwezi kumfananisha na naniliu hata kidogo
Mzee Tupatupa
Yaani wewe umesema kweli. Penye ukweli pasemwe. hebu fikiria mfano tu wa Mleta bada vite vote vote, direct translation! Labda tu useme kwa kuwa anaongoza waswahili basi kinamtosha!Mim Mwenyew nimemsikiliza jamaa, English ni tatizo kwa wote
Kwan ukitaja jpm una maana ni rahs mbona hata mm abrv za majina yang n jpmMkuu una millioni 7? Ha ha ha haaaaaaaaaa
Ndugu zangu Watanzania hiki kiswahili cha Dunia (English) kweli kinatutesa na hasa Viongozi wetu wakubwa wa kisiasa! Na hii ni kutokana na tabia zetu za "kiswahili" za kutopenda kujisomea ! Viongozi wetu hawana "eloquency" ,viingereza vyao vikavu kuliko Ma- engineers waliohitimu kutoka vyuo vikuu vya Arabuni! Nimefuatilia mahojiano ya Shaka Sali na Maalim Seif voice of America hivi punde,haeleweki ,hoja zake hazishikiki sababu ya lugha sijui! Mfano amesema," people were given booklets to vote vote vote..! hivi katika uchaguzi kuna booklets! Angepaswa kusema "electorates were given ballot papers to cast their votes repeatedly ! Ni aibu kwenye international political arena ku-vibrate with such a poor english! Ingekuwa ni interview ya kiswahili tungeona povu jingi kweli!!! Mwisho napendekeza hata Bunge letu la Jamuhuri ya Muungano liendeshwe kwa lugha ya Kiingereza ili kuleta utulivu na kupunguza hoja za kipuuzi kutoka kwa baadhi ya Wabunge!
Ni rahisi sana kulaumu, lakini unashindwaje kuweka ushahidi wako uwanjani hapa watu wakauhakiki. Sijui shule gani ulokwenda wewe ilokusomesha English ambayo sisi wengine tusiijuwe? Never underestimate someone you do not know!Pointless,maneno mengi kumbe division 5 ,Rudi kasome Articles upya ili ujue zaidi matumizi ya "a" "an" & "the"! Sehemu ya pili inaonyesha tu ulivyobobea kwenye "kiingereza cha kiswahili" ! Nyie ndo wale wa "kujibrothersugarcane"= kujikakamua!
Ipo siku watanzania mtajitambua kuwa kiingereza ni Lugha na sio maarifaNdugu zangu Watanzania hiki kiswahili cha Dunia (English) kweli kinatutesa na hasa Viongozi wetu wakubwa wa kisiasa! Na hii ni kutokana na tabia zetu za "kiswahili" za kutopenda kujisomea ! Viongozi wetu hawana "eloquency" ,viingereza vyao vikavu kuliko Ma- engineers waliohitimu kutoka vyuo vikuu vya Arabuni! Nimefuatilia mahojiano ya Shaka Sali na Maalim Seif voice of America hivi punde,haeleweki ,hoja zake hazishikiki sababu ya lugha sijui! Mfano amesema," people were given booklets to vote vote vote..! hivi katika uchaguzi kuna booklets! Angepaswa kusema "electorates were given ballot papers to cast their votes repeatedly ! Ni aibu kwenye international political arena ku-vibrate with such a poor english! Ingekuwa ni interview ya kiswahili tungeona povu jingi kweli!!! Mwisho napendekeza hata Bunge letu la Jamuhuri ya Muungano liendeshwe kwa lugha ya Kiingereza ili kuleta utulivu na kupunguza hoja za kipuuzi kutoka kwa baadhi ya Wabunge!
Which Error I made or you are among of them!Naona hata wewe upo kwenye kozi ya kiingereza. Jitahidi ili uwafikie hao uliowataja.
I know English is our 3rd language to Us but it won't Certify any stupidity won't secure you from critics resulted from Poor English after a Careful listening between two politician I learned Seif spoken English is better than JPM.
It is not news JPM in his more than 7 month serving as POT haven't taken any Foreign Travel although . Tanzania is a Beggar Country but i also Congratulate him for taken evening Classes he is learning hardly since he came into power may be early 2017 he shall start travelling.
N.B Rwanda I assumed as a Local nation bordering TANZANIA Paul Kagame also speaks Swahili.
Which Error I made or your among of them!
Sio lazima uwe na kosa mkuu wakiamua wameamuaKwani kosa langu nn hapo?
Rasi simba amesema labada azaliwe upya UKI know English is our 3rd language to Us but it won't Certify any stupidity won't secure you from critics resulted from Poor English after a Careful listening between two politician I learned Seif spoken English is better than JPM.
It is not news JPM in his more than 7 month serving as POT haven't taken any Foreign Travel although . Tanzania is a Beggar Country but i also Congratulate him for taken evening Classes he is learning hardly since he came into power may be early 2017 he shall start travelling.
N.B Rwanda I assumed as a Local nation bordering TANZANIA Paul Kagame also speaks Swahili.