Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
- Thread starter
- #21
CUF wameshashinda Unguja na Pemba majimbo mengi tu MjiKongwe, Bumbwini (kwa Mamkwe) na majimbo ambayo uhakika wa kushinda bila jasho ni Tumbatu, Bububu, Mlandege, Magogoni, Mpendae n.k CCM haijapata kushinda jimbo kipande Pemba, kwa hiyo chama gani ni cha upande mmoja??? utajaza......!!!Sivyo Hivyo ukweli ni kuwa Hapa Zanzibar sewhemu amabayo CUF inaweza kushinda ni Wilaya ya Micheweni, Wilaya ya Wete na Wilaya ya Chake. Wilaya ya Mkoani inagawana majimbo nusu kwa nusu na wapinzani wake. Unguja haiwezi kushinda katika Wilaya yoyote ya huko.