Maalim Seif Sharif Hamad: Msome hapa ujifunze jambo

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Dondoo:
1.Alikubali kutokwenda chuo kikuu na kwenda kufundisha shule za sekondari.

2. Ni msomi wa Shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala,UDSM 1975.

3. Alishika ngazi mbalimbali za uongozi kiserikali na kichama akiwa CCM hadi alipotimuliwa mwaka 1988.

4. Alikamatwa na kuwekwa kizuizini kuanzia Mei 1989 hadi November 1991 kwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali.

5. Pamoja na waliokuwa wanachama wengine wa CCM,walianzisha CUF mwaka 1992.

6. Ameshagombea Urais wa Zanzibar mara tano.

7. Amekuwa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Zaidi: Seif Sharif Hamad - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ametengenezwa na JKN hadi hapo alipo! Misimamo yake ndio ilimponza tangu awali na mapema.......alipomgeuka Aboud Jumbe 1983/84 kuhusu suala nyeti la Muungano! Kuanzia hapo hawamuamini tena! Anaweza kufanya lolote wakati wowote! Pia anapendwa sana na wananchi wake! Na ana uvumilivu wa hali ya juu kabisa!!

Uko sahihi kwa asilia kubwa mkuu
 
De facto president hili halina ubishi.
Maalim Seif.....Maalim Seif....Maalim Seif!
 
Back
Top Bottom